Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kuna dogo hapa ni mkurya wa kwanza kutokula nyama ya ng'ombe (haha natania lakini)
Sasa dogo alikuwa anakula nyama ya ng'ombe alipokuwa mtoto mdogo hadi pale siku moja alikuta ng'ombe alikuwa anachinjwa then dada yake akamwambia nyama tunayokula inatoka kwa ng'ombe huyu, dogo ni akashtuka na akapata hofu.
Ilipofika jioni, chakula kilikuwa ni nyama ya ng'ombe, dada yake akaja tena kumtisha kuwa unakula nyama ya dudu, dogo agaopa na akakataa kula nyama kabisa.
Zilipopita siku kadhaa alipokuja kula nyama ya ng'ombe aliumwa na mwili kuvimba. Walijua labda ni ugonjwa wa kawaida ila aliendelea kupata dalili zile zile pale alipogusa beef 🍖.
So wataalam, kibailoojia ilikuwakuwaje hapa hadi mwili wake ukatengeneza allergy ya nyama ya ng'ombe?
Or it is spiritually?