Is this biological or spiritual? Nisaidie kujua kuhusu issue ya huyu dogo

Kuna dogo hapa ni mkurya wa kwanza kutokula nyama ya ng'ombe (haha natania lakini)

Sasa dogo alikuwa anakula nyama ya ng'ombe alipokuwa mtoto mdogo hadi pale siku moja alikuta ng'ombe alikuwa anachinjwa then dada yake akamwambia nyama tunayokula inatoka kwa ng'ombe huyu, dogo ni akashtuka na akapata hofu.

Ilipofika jioni, chakula kilikuwa ni nyama ya ng'ombe, dada yake akaja tena kumtisha kuwa unakula nyama ya dudu, dogo agaopa na akakataa kula nyama kabisa.

Zilipopita siku kadhaa alipokuja kula nyama ya ng'ombe aliumwa na mwili kuvimba. Walijua labda ni ugonjwa wa kawaida ila aliendelea kupata dalili zile zile pale alipogusa beef 🍖.

So wataalam, kibailoojia ilikuwakuwaje hapa hadi mwili wake ukatengeneza allergy ya nyama ya ng'ombe?

Or it is spiritually?
Psychological trauma
 
Kawaida tu mbpna mm siku ya kwanza nlikula mkunga joka la baharini nikapata vipele mdomo mzima ila sikukoma saiv namla freshi tu hata tatizo sipati
🤣🤣🤣🤣
Bana bana Niliwahi kula Mkunga 🤣🤣🤣🤣
Niliota Mapele Mwili mzima Kama Nimeugua Surua Mpaka Leo hii Naoita Kando kabisa na Mkunga Japo Mimi Mpemba Haswaaa
 
Likimpata la kumpata utakuja kutoa msaada ?
HAiui
🤣🤣🤣🤣
Bana bana Niliwahi kula Mkunga 🤣🤣🤣🤣
Niliota Mapele Mwili mzima Kama Nimeugua Surua Mpaka Leo hii Naoita Kando kabisa na Mkunga Japo Mimi Mpemba Haswaaa
Me niliendelea kula tena nampenda japo mifupa midogomidogo mingi lakni huwa nampika supu namla na tatizo halijaendelea tena.sema yule ni nyoka wa majini sio samaki
 
Wallah Simli Tena maana Nilitoka Mapele hayo Diku nakuja Kuonyeshwa Naambiwa Unajua samaki aliyekufanya Uugue ni Yupi...

Nikaonyeshwa Picha nimeitunza mpaka Leo 🤣🤣
Yule ni nyoka..
Na nikaona Kama niliweza Kula Yule nyoka Ninashindwaje Kuwinda Sawaka na Chatu kuwala..
images (5).jpegimages (4).jpegimages (3).jpegimages (2).jpegimages (1).jpegScuticaria_tigrina.jpgimages.jpeg

images (1).jpeg

Scuticaria_tigrina.jpg

images (4).jpeg
 
Wallah Simli Tena maana Nilitoka Mapele hayo Diku nakuja Kuonyeshwa Naambiwa Unajua samaki aliyekufanya Uugue ni Yupi...

Nikaonyeshwa Picha nimeitunza mpaka Leo 🤣🤣
Yule ni nyoka..
Na nikaona Kama niliweza Kula Yule nyoka Ninashindwaje Kuwinda Sawaka na Chatu kuwala..
View attachment 3139840View attachment 3139841View attachment 3139842View attachment 3139843View attachment 3139844View attachment 3139845View attachment 3139846

View attachment 3139844
View attachment 3139845
View attachment 3139841
Ha ha ha sema nn bro mm sio muoga wa kula nyama ya mnyama yoyoye nshawahi pia kula nungunungu kwa babu mzaa mama nilimtembelea nikakuta kambanika nikala bibi na wajomba walikataaa nikala mm na babu.nungu ana miguu kama ya mtoto mchanga
 
😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌🙌
 
Kuna dogo hapa ni mkurya wa kwanza kutokula nyama ya ng'ombe (haha natania lakini)

Sasa dogo alikuwa anakula nyama ya ng'ombe alipokuwa mtoto mdogo hadi pale siku moja alikuta ng'ombe alikuwa anachinjwa then dada yake akamwambia nyama tunayokula inatoka kwa ng'ombe huyu, dogo ni akashtuka na akapata hofu.

Ilipofika jioni, chakula kilikuwa ni nyama ya ng'ombe, dada yake akaja tena kumtisha kuwa unakula nyama ya dudu, dogo agaopa na akakataa kula nyama kabisa.

Zilipopita siku kadhaa alipokuja kula nyama ya ng'ombe aliumwa na mwili kuvimba. Walijua labda ni ugonjwa wa kawaida ila aliendelea kupata dalili zile zile pale alipogusa beef 🍖.

So wataalam, kibailoojia ilikuwakuwaje hapa hadi mwili wake ukatengeneza allergy ya nyama ya ng'ombe?

Or it is spiritually?
spiritual uongo allergy ndiyo
 
Back
Top Bottom