Is this culture of impunity? Kwani kuna tofauti gani na uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho"?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
Good afternoon JamiiForums

Kwani kuna tofauti gani kati ya uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho" na mbunge "Condester Michael"?



Mimi binafsi ninafikiri spika Job Ndugai alikuwa sahihi sana kumtoa dada yangu mbunge Condester Michael kwa maana yeye amefanya maamuzi kwa kufuata muongozo wa sheria za kibunge kuhusiana na mavazi na siyo utashi wake binafsi.



Kama wabunge/wafuasi wa vyama vya siasa wanatafuta wa kumshambulia basi wazishambulie ama waombe mabadiliko ya sheria za bunge zinazohusiana na mavazi na sio kumlalamikia mzee Job Ndugai personally.

Ina maana watu wanataka kusema kwamba bungeni ni pahala patukufu sana kuzidi Ikulu? Mbona mke wa mchezaji Mamadou Sakho alivaa nguo zinazofanana na mbunge Condester Michael na bado maofisa wa Ikulu wakamruhusu kuingi pahala pale patukufu na watu hawakupiga kelele?

Ifike wakati watanzania tujifunze kusimami kanuni/sheria tulizozianzisha sisi wenyewe na sio kufanya "witchhunting" wakati wachawi ni sisi wenyewe tuliopitisha kanuni hizo. TII SHERIA BILA SHURTI.



USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Spika Job Ndugai ashambuliwe kwa hoja za kisiasa na sio masuala binafsi ya maisha/personal attacks
 
swali -Mke wa Sakho ni Mtanzania ?
Halafu katika mavazi ya mke wa Sakho ni ya kawaida katika halfa, hajavaa nguo ya kubana matako

Huyo Mbunge wa Viti maalimu nguo yake sio kitambaa ni kama jeans fulani hivi, yaani imebana matako.

mke wa Sakho huyu hapa bungeni leo Zanzibar.

pembeni haya ni mavazi yanayoruhusiwa ,zoom hiyo nguo ya huyo mbunge vizuri utaona kwenye miguu ni kama ameibana tena kwenye cherehani halafu ni kama jeans.



 
Wanaingia tu kaangalie secretary of state alukuwa anatinga tu hapo, na ndio maana nchi kama dubai hawana huu ushamba wa mavazi yenu ya kuletewa na waraabu wavaa vipedo na wafia dini , suruali ni moja ya mavaz mazuri kwa mwanamke na yamasitiri , huyo mzee mzinzi tu apigwe chini2025
 
Huyu Hussein Nassor Amar aliyemchongea huyu Dada ni mpuuuzi. Kwanza alikua anaangalia nini hadi kaona hilo. Pili nguo ya kawaida kabisa hiyo huyu mzee ana matatizo aseme kama katoswa sio kusingizia mavazi ya kubana.
 
Ndio Mwaka 2017 Melania Trump wakati yupo Saud Arabia hakuvaa kitu chochote cha kimfunika uso achalia mbali Hijab.
yan hata headscarf hakuvaa.
This was very disrespectful na ndio maana watu wengi walimpigia kelele na kumkosoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…