Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa Rais wa Marekani anaweza kuingia Ikulu ya nchi ya kiislamu kama vile Saudi Arabia/Turkey bila kuvaa Hijab?
Sawa anaweza lakini ni very undiplomatic and offendingAnaweza
Kwani hii ni mara ya kwanza mbunge kifukuzwa kwa kuzingatia itifaki ya uvaaji wa kibunge?Pamoja na kuvaa headscarf bado kichwa kipo wazi, lakini angekuwa mzawa wa Uturuki yangemkukuta ya kumkuta.
Alichokosea ni kuchukua kauli ya mtu mwingine bila kujidhihirisha pia alikuwa na nafasi ya kumpa onyo ikiwa nguo zake zilikuwa mbaya .
Huyo dada ashukuru hilo zogo limesaidia kumpaisha na kumtambulisha. sizani kama watu walimjua hapo kabla. Mi mwenyew ndo kwanza nimemskia leo.Good afternoon JamiiForums
Kwani kuna tofauti gani kati ya uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho" na mbunge "Condester Michael"?
View attachment 1804885
Mimi binafsi ninafikiri spika Job Ndugai alikuwa sahihi sana kumtoa dada yangu mbunge Condester Michael kwa maana yeye amefanya maamuzi kwa kufuata muongozo wa sheria za kibunge kuhusiana na mavazi na siyo utashi wake binafsi.
View attachment 1804886
Kama wabunge/wafuasi wa vyama vya siasa wanatafuta wa kumshambulia basi wazishambulie ama waombe mabadiliko ya sheria za bunge zinazohusiana na mavazi na sio kumlalamikia mzee Job Ndugai personally.
Ina maana watu wanataka kusema kwamba bungeni ni pahala patukufu sana kuzidi Ikulu? Mbona mke wa mchezaji Mamadou Sakho alivaa nguo zinazofanana na mbunge Condester Michael na bado maofisa wa Ikulu wakamruhusu kuingi pahala pale patukufu na watu hawakupiga kelele?
Ifike wakati watanzania tujifunze kusimami kanuni/sheria tulizozianzisha sisi wenyewe na sio kufanya "witchhunting" wakati wachawi ni sisi wenyewe tuliopitisha kanuni hizo. TII SHERIA BILA SHURTI.
View attachment 1804970
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Huyo muke wa sako mashalaah....daah kuna binadam wanakojoa sehem salama sana😋😋😋swali -Mke wa Sakho ni Mtanzania ?
Halafu katika mavazi ya mke wa Sakho ni ya kawaida katika halfa, hajavaa nguo ya kubana matako
Huyo Mbunge wa Viti maalimu nguo yake sio kitambaa ni kama jeans fulani hivi, yaani imebana matako.
mke wa Sakho huyu hapa bungeni leo Zanzibar.
pembeni haya ni mavazi yanayoruhusiwa ,zoom hiyo nguo ya huyo mbunge vizuri utaona kwenye miguu ni kama ameibana tena kwenye cherehani halafu ni kama jeans.
View attachment 1804973
View attachment 1804976
Daaah wee jamaa una kiswahili cha watoto wa mjini sana hahahahaaaHuyo muke wa sako mashalaah....daah kuna binadam wanakojoa sehem salama sana😋😋😋
Duuuh aisee basi sawa mkuu. Masuala yenu ya hazina hayo hakika sio mchezoHuyo mzungu hana tako la kushtua. Nguo ya mbunge akigeuka kwenye hazina mashalaaah
Waislam wanadhani Mavazi ndio utakatifu utakaowapeleka AkheraWanaingia tu kaangalie secretary of state alukuwa anatinga tu hapo, na ndio maana nchi kama dubai hawana huu ushamba wa mavazi yenu ya kuletewa na waraabu wavaa vipedo na wafia dini , suruali ni moja ya mavaz mazuri kwa mwanamke na yamasitiri , huyo mzee mzinzi tu apigwe chini2025
Huyo Hussein ana Uislam wa kinafiki sana, role model wake ni Sheikh KipozeoHuyu Hussein Nassor Amar aliyemchongea huyu Dada ni mpuuuzi. Kwanza alikua anaangalia nini hadi kaona hilo. Pili nguo ya kawaida kabisa hiyo huyu mzee ana matatizo aseme kama katoswa sio kusingizia mavazi ya kubana.
Wavae hata hijabu mi sijali, la msingi watumie akili bungeniGood afternoon JamiiForums
Kwani kuna tofauti gani kati ya uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho" na mbunge "Condester Michael"?
View attachment 1804885
Mimi binafsi ninafikiri spika Job Ndugai alikuwa sahihi sana kumtoa dada yangu mbunge Condester Michael kwa maana yeye amefanya maamuzi kwa kufuata muongozo wa sheria za kibunge kuhusiana na mavazi na siyo utashi wake binafsi.
View attachment 1804886
Kama wabunge/wafuasi wa vyama vya siasa wanatafuta wa kumshambulia basi wazishambulie ama waombe mabadiliko ya sheria za bunge zinazohusiana na mavazi na sio kumlalamikia mzee Job Ndugai personally.
Ina maana watu wanataka kusema kwamba bungeni ni pahala patukufu sana kuzidi Ikulu? Mbona mke wa mchezaji Mamadou Sakho alivaa nguo zinazofanana na mbunge Condester Michael na bado maofisa wa Ikulu wakamruhusu kuingi pahala pale patukufu na watu hawakupiga kelele?
Ifike wakati watanzania tujifunze kusimami kanuni/sheria tulizozianzisha sisi wenyewe na sio kufanya "witchhunting" wakati wachawi ni sisi wenyewe tuliopitisha kanuni hizo. TII SHERIA BILA SHURTI.
View attachment 1805316
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Hakika mkuuWavae hata hijabu mi sijali, la msingi watumie akili bungeni
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Ukeketaji kwa mabinti pia ni mila lakini zipo kwenye kundi la zile potofu. The same applies to dressing codes. Some might be right, and others be wrong.je, ni busara kuanza kushadidia mambo ambayo hatukuyaasisi na kuacha tamaduni zetu za asili kuhusu mavazi kwa binti mwanamwali wa kiafrika?
Sasa to be right or wrong ni kwa mtazamo wa mzungu au mtu mweusi? maana hata hii misamiati ya dressing code ilikuja na meli....Ukeketaji kwa mabinti pia ni mila lakini zipo kwenye kundi la zile potofu. The same applies to dressing codes. Some might be right, and others be wrong.
To be right or wrong ni kwa hitaji la jamii husika kwa wakati huo. Binadamu aliumbwa kuwa mnyama kama vile kuku na ng'ombe lakini je anajisaidia au kufanya mapenzi hadharani kama wanyama wengine wafanyavyo?Sasa to be right or wrong ni kwa mtazamo wa mzungu au mtu mweusi?