Is this culture of impunity? Kwani kuna tofauti gani na uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho"?

Is this culture of impunity? Kwani kuna tofauti gani na uvaaji wa mke wa "Mamadou Sakho"?

To be right or wrong ni kwa hitaji la jamii husika kwa wakati huo. Binadamu aliumbwa kuwa mnyama kama vile kuku na ng'ombe lakini je anajisaidia au kufanya mapenzi hadharani kama wanyama wengine wafanyavyo?
Sawa, nilipokuwa ughaibuni niligundua wazungu hawako strict sana kwenye swala la aina ya mavazi na mara nyingi nimeona wakienda ofisini wamevaa jeans na hata kaptula, t-shirt na viatu vya buti na sandals....je sheria za mavazi kwa watumishi wa umma na wabunge zinaashiria jambo lolote lenye tija? au ni kujaribu kuingilia uhuru wa watu wazima wanaojitambua na kujielewa......kwa maneno mengine mimi nikienda kazini nimevaa jeans, kaptula au cadet kutanipunguzia ufanisi wangu kwenye kutekeleza majukumu ya kikazi? au kwa upande wa bungeni mbunge kutokuvaa suti bungeni kunampunguzia uwezo wa kuchangia hoja zenye mashiko?
 
nilipokuwa ughaibuni niligundua wazungu hawako strict sana kwenye swala la aina ya mavazi na mara nyingi nimeona wakienda ofisini wamevaa jeans na hata kaptula, t-shirt na viatu vya buti na sandals....je sheria za mavazi kwa watumishi wa umma na wabunge zinaashiria jambo lolote lenye tija? au ni kujaribu kuingilia uhuru wa watu wazima wanaojitambua na kujielewa
Mkuu, hivi unajua kabla ya jambo lolote kutungiwa sheria huwa kuna tafiti zinafanyika ili kuangalia kama hilo jambo linaleta changamoto yoyote katika jamii husika.

Nilisoma makala moja wiki iliyopita inaeleza kwamba bunge la Afrika ya kusini linatarajia kupitisha sheria itakayomruhusu mwanamke kuolewa na wanaume wengi.

Unajua nini maana ya sheria hiyo? Maana yake ni kwamba, kwa mazingira ya SA hiyo sheria ni rafiki sana kulingana na mazingira yao lakini ikiileta kwa Tanzania inaweza kuzua migogoro ya kijamii.

Hakuna uhuru (uwe wa watu wazima ama watoto) unaokosa mipaka.
 
mimi nikienda kazini nimevaa jeans, kaptula au cadet kutanipunguzia ufanisi wangu kwenye kutekeleza majukumu ya kikazi?
Kama ni kinyume na sheria/taratibu za ofisi husika hilo ni kosa mkuu.
 
mbunge kutokuvaa suti bungeni kunampunguzia uwezo wa kuchangia hoja zenye mashiko?
Wakati alipotangaza nia ya kutaka kugombea ubunge, producer Master J alilazimika kunyoa Rasta zake kabla ya kuchukua form.

Sasa jiulize zile rasta na IQ ya mbunge zina uhusiano gani? The language of your body speaks louder than mere words of your mouth.
 
Kwa hiyo hapa unaongelea personalities, vipi mtu mweusi akivaa suti halafu mzungu akapiga t-shirt na jeans, watu weusi watamsikiliza zaidi mzungu kuliko yule mweusi mwenye suti? au mzungu ataonekana anaongea mantiki zaidi ya mweusi aliyepigilia suti...
 
Kwa hii scenario yako inategema na sheria/miongozi ya mavazi ndani ya taasisi ambayo huyo mweusi na mzungu wanafanyia kazi.
 
Kwa hii scenario yako inategema na sheria/miongozi ya mavazi ndani ya taasisi ambayo huyo mweusi na mzungu wanafanyia kazi.
Kwa hiyo utaona hapa wanaojali haiba au mwonekano ni watu wa kawaida tu ambao hawana interest na outputs au substance....na hivyo wanaweza kuweka imani kwa bogus aliyevaa suti.
 
Kwa hiyo utaona hapa wanaojali haiba au mwonekano ni watu wa kawaida tu ambao hawana interest na outputs au substance....na hivyo wanaweza kuweka imani kwa bogus aliyevaa suti.
Suala la staha ya mavazi linategema na sheria/miongozi ndani ya taasisi/ofisi husika.
 
Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
 
Back
Top Bottom