Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Hata internet pia ililetwa na hao hao waliokuja kwa meli lakini bado tunaitegemea katika shughuli zetu leo hiimaana hata hii misamiati ya dressing code ilikuja na meli....
Sawa, nilipokuwa ughaibuni niligundua wazungu hawako strict sana kwenye swala la aina ya mavazi na mara nyingi nimeona wakienda ofisini wamevaa jeans na hata kaptula, t-shirt na viatu vya buti na sandals....je sheria za mavazi kwa watumishi wa umma na wabunge zinaashiria jambo lolote lenye tija? au ni kujaribu kuingilia uhuru wa watu wazima wanaojitambua na kujielewa......kwa maneno mengine mimi nikienda kazini nimevaa jeans, kaptula au cadet kutanipunguzia ufanisi wangu kwenye kutekeleza majukumu ya kikazi? au kwa upande wa bungeni mbunge kutokuvaa suti bungeni kunampunguzia uwezo wa kuchangia hoja zenye mashiko?To be right or wrong ni kwa hitaji la jamii husika kwa wakati huo. Binadamu aliumbwa kuwa mnyama kama vile kuku na ng'ombe lakini je anajisaidia au kufanya mapenzi hadharani kama wanyama wengine wafanyavyo?
Mkuu, hivi unajua kabla ya jambo lolote kutungiwa sheria huwa kuna tafiti zinafanyika ili kuangalia kama hilo jambo linaleta changamoto yoyote katika jamii husika.nilipokuwa ughaibuni niligundua wazungu hawako strict sana kwenye swala la aina ya mavazi na mara nyingi nimeona wakienda ofisini wamevaa jeans na hata kaptula, t-shirt na viatu vya buti na sandals....je sheria za mavazi kwa watumishi wa umma na wabunge zinaashiria jambo lolote lenye tija? au ni kujaribu kuingilia uhuru wa watu wazima wanaojitambua na kujielewa
Kama ni kinyume na sheria/taratibu za ofisi husika hilo ni kosa mkuu.mimi nikienda kazini nimevaa jeans, kaptula au cadet kutanipunguzia ufanisi wangu kwenye kutekeleza majukumu ya kikazi?
Wakati alipotangaza nia ya kutaka kugombea ubunge, producer Master J alilazimika kunyoa Rasta zake kabla ya kuchukua form.mbunge kutokuvaa suti bungeni kunampunguzia uwezo wa kuchangia hoja zenye mashiko?
Kwa hiyo hapa unaongelea personalities, vipi mtu mweusi akivaa suti halafu mzungu akapiga t-shirt na jeans, watu weusi watamsikiliza zaidi mzungu kuliko yule mweusi mwenye suti? au mzungu ataonekana anaongea mantiki zaidi ya mweusi aliyepigilia suti...Wakati alipotangaza nia ya kutaka kugombea ubunge, producer Master J alilazimika kunyoa Rasta zake kabla ya kuchukua form.
Sasa jiulize zile rasta na IQ ya mbunge zina uhusiano gani? The language of your body speaks louder than mere words of your mouth.
Kwa hii scenario yako inategema na sheria/miongozi ya mavazi ndani ya taasisi ambayo huyo mweusi na mzungu wanafanyia kazi.Kwa hiyo hapa unaongelea personalities, vipi mtu mweusi akivaa suti halafu mzungu akapiga t-shirt na jeans, watu weusi watamsikiliza zaidi mzungu kuliko yule mweusi mwenye suti? au mzungu ataonekana anaongea mantiki zaidi ya mweusi aliyepigilia suti...
Kwa hiyo utaona hapa wanaojali haiba au mwonekano ni watu wa kawaida tu ambao hawana interest na outputs au substance....na hivyo wanaweza kuweka imani kwa bogus aliyevaa suti.Kwa hii scenario yako inategema na sheria/miongozi ya mavazi ndani ya taasisi ambayo huyo mweusi na mzungu wanafanyia kazi.
Sifa na mapambioPresident Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.
Suala la staha ya mavazi linategema na sheria/miongozi ndani ya taasisi/ofisi husika.Kwa hiyo utaona hapa wanaojali haiba au mwonekano ni watu wa kawaida tu ambao hawana interest na outputs au substance....na hivyo wanaweza kuweka imani kwa bogus aliyevaa suti.
Ukubali ama ukatae, Rais Samia hana mpinzaniSifa na mapambio
Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.
Na wewe mashine ulizopigwa hutapata mumeLissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.