Doria Mtandaoni
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 461
- 934
Ukisoma ama kusikia maisha ya watakatifu wengi wanasifa zinazo fanana.
Ukiacha juu ya mambo ya kuipigania na kufanya ustawi wa dini.
Wengi wamekuwa ni watu wa kujitoa katika kweli, haki na wongofu wa wa watu.
Kwa nyakati zetu, tunaye huyu ndugu. Amejipambanua wazi wazi kuwa ni mtu mkweli na wa haki bila kujali anapambana na nani.
Moja ya muujiza ni yeye kuwa manusura wa kuuwawa kwa risasi nyingi. Haiwezi kuwa ni bahati tu.
Ushindi wake dhidi ya wote waliopambana naye iwe mahakami ama kwenye uchaguzi.
Walichuana na Magufuli, pamoja na kushinda wote tunajua kilichomkuta Magufuli.
Tumepata shuhuda nyingi hasa moja nikutoka kwa Pascal Mayalla tangu wakiwa shule ya sekondari.
Huyu tusimchukulie kuwa ni mtu wa kawaida tu, tusisubirie hadi amalize maisha yake hapa duniani ndipo aanze kufanyiwa utafiti wa kuwa mtakatifu.
Alama nyingi za ushindi ameziweka, ipi kubwa atakayoifanya na kukamilisha maisha yake hapa duniani kama binadamu.
Wampingaye na kupambana naye kwa nia ovu bado wananafasi ya kutafakari maamuzi yao.
Nabii Ezekiel aliambiwa na Mungu kupeleka onyo kwa mfalme wa Israel Zedekia. Mungu alimwambia afanye hivyo maana asipofanya na huyo mwovu kufa damu yake ataitaka mikononi mwake.
Rejea Ezekiel 33: 7-9.
Je, Lissu pia aweza kuwa mlinzi kwa watanzania wa nyakati hizi?