Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

me nalala....wema harudi kwa dai wewe...tupinge

Wema ni wa Diamond na Diamond ni wa Wema. Ukitaka kujua leta pich mbilimbli tu alizopiga na wanaodaiwa watu wake. Yaani seti tatu za picha mbilimvili ndio utakapoelewa somo.
 
kiukweli kwa huyo mdada walaaaaaa bora ungeruka na Lulu au Menina ndiyo ningesema Yes , hapo unatumika Kaka ohoooo! haya we :ranger:
 
Waliokua wanasema Halima anajipendekeza kwa Daimond heheeee Wapo wote South ama kweli kaa karibu na uwarid lazima unukieeeeeeeee

kaenda kama mpishi wao na kuwavulia nguo zao za ndani ! :director: acha projekti iendeleeee
 
Iwe itakavokua Ila Zari mzuriii!Afu dai anajua kuwakomeshaaa!!Haa pombe zitamuua binti watu!Huruma sana aisee!Ila Zari kutoa wimbo na domo...Zari once said they were little carried away!!Ha ha ha

so sad kavurugwa mno
 

basi zari si anichezee na mimi...walahi siku hiyo nitadedi..
 
Hiyo hapo kamaliza kufua hapo na Mtisherti wake Mweusi !


Mama ndomo chakubimbi looh,ye kila mwanamke atakayetoka na mwanae yupo nae mmh ataletewa na majini sasa, ka demu ukipata mama mkwe wa dizain hii jihesabie maumivu, maana mama mkwe atakachotaka mwanae kwa mda wowote na yeye anakubal, mama ndomo unatia aibu ptuu ata kama pesa za mwanao zinakufanya usiwe na sauti ila sio kihivyo, mwanao atakufa akuache , halafu akina rommy jones na halima kimwana waanze kugombea mali shaur zako
 
Diamond ni mdhaifu sana kwenye mapenzi...zero brain.
 
Si kweliiii lete pichaaa

ahahahah wapiii kuwadiii bora wa mwaka asiyekuwa na mpinzani halima kimwana, eeh na yeye alikuwa south kumbe? dah!! kama namuona mama ubaya alivyonuna vile maana walikuwa haziivi, ila ndomo alishamwambia mama ubaya kuwa hawez kuwagombanisha yeye na halima, wametoka mbali, dahhhhh halima umetishaaaaa, KUWADI FIRST CLASS kaenda south, utamuwezea wapi Dinazarde? , tukomeshe halima
 
Last edited by a moderator:
Hii movie sijui ina series ngapi tu?Ngoja tuone mwisho wake itakuaje
 
Waliokua wanasema Halima anajipendekeza kwa Daimond heheeee Wapo wote South ama kweli kaa karibu na uwarid lazima unukieeeeeeeee

Mama ubaya kanubaje?? Nyota ya zari kali maana tuzo tatu si mchezo, mama ubaya nyota yake mwisho bamaga kwa shigongo na ndio maana ndomi hakupata tuzo, ila mtoto zari ana nyota mpaka ndomo kapata tuzo tatu, mama ubaya popote ulipo ndimu zinakuhusu, pole sana aiseeh, cha msingi we njoo uku jamii forum tupige umbea tu maana huna jipya
 
mmmmmhhh mi hawa watu hta sielewi yupi wa kumsapoti...kazi ni kwaoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…