duuh wema anafaidi
Hapo umenena maana mwili mkubwa halafu vimiguu sasa duh!Halafu yeye anajionaga yuko poa maana bila aibu na yeye anavaaga vimini
Wema anafaidi ninii
Huyu Dada zari the ladyboss anapenda sana show off kila star yuko nae unaweza kukuta hats kwa ndugu yetu anaona nyota INA ng'aa so analeta ukaribu....so mchz wetu take care sana
Eeeeheeee pamoja na vyote usitegemee siku atabana nywele anasikio kubwa sijui nifananishe na nini akibana nywele uso unabadilika khafla
Etiiii...?,,,,???? Na hapa je..sikio analo but anajiamini.....she z cuuteee
Dinazarde ushawahi muona mama ubaya akibana...sijui ht km ana nywele kwi kwi
Dinazarde,Geniveros,Chige njooni msikie!
Azitoe wapiii nyweleee, alinyoa kipara kichwa kikawa kama ugali wa wakuryaa zari mzuri hilo halina ubishiii,mbona kabana hapo kapendezaa kuna picha tu hiv aliiweka mrembo maskio yamesimama hhhhhhaaaaa alipondwajee zarinah
hahahaha Mrembo by Nature akirudi lazima akufunge!
Jamani Dinazarde zee la michepuko limetoa amri mpya jha ha
Bora miguu yake ya wema kama mswaki ndani ya jagi