Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Diamond-Platnumz-Wema-Sepetu-Zari-the-boss-lady.jpg
 
Loh kiukweli Zari ni le mbebez mkarezzz!!
Ila wema naye ni msupu tu hata kama hafikii kwa Zari.
 
Huyu Dada zari the ladyboss anapenda sana show off kila star yuko nae unaweza kukuta hats kwa ndugu yetu anaona nyota INA ng'aa so analeta ukaribu....so mchz wetu take care sana

Mastaa karibu wote wanapenda show...huyu hsna show of za kijinga..eti kanunuliwa saa .simu anairusha.mtandaoni
 
Eeeeheeee pamoja na vyote usitegemee siku atabana nywele anasikio kubwa sijui nifananishe na nini akibana nywele uso unabadilika khafla

Etiiii...?,,,,???? Na hapa je..sikio analo but anajiamini.....she z cuuteee
Dinazarde ushawahi muona mama ubaya akibana...sijui ht km ana nywele kwi kwi
 
Attachments

  • 1417544958526.jpg
    1417544958526.jpg
    41.2 KB · Views: 621
  • 1417544970069.jpg
    1417544970069.jpg
    39 KB · Views: 597
  • 1417544980546.jpg
    1417544980546.jpg
    48 KB · Views: 592
  • 1417544992826.jpg
    1417544992826.jpg
    50.6 KB · Views: 592
Last edited by a moderator:
Etiiii...?,,,,???? Na hapa je..sikio analo but anajiamini.....she z cuuteee
Dinazarde ushawahi muona mama ubaya akibana...sijui ht km ana nywele kwi kwi

Azitoe wapiii nyweleee, alinyoa kipara kichwa kikawa kama ugali wa wakuryaa zari mzuri hilo halina ubishiii,mbona kabana hapo kapendezaa kuna picha tu hiv aliiweka mrembo maskio yamesimama hhhhhhaaaaa alipondwajee zarinah
 
Last edited by a moderator:
Azitoe wapiii nyweleee, alinyoa kipara kichwa kikawa kama ugali wa wakuryaa zari mzuri hilo halina ubishiii,mbona kabana hapo kapendezaa kuna picha tu hiv aliiweka mrembo maskio yamesimama hhhhhhaaaaa alipondwajee zarinah

hahahaha Mrembo by Nature akirudi lazima akufunge!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom