Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?


Patamu apo, nani tena akisagana? Ubuyu mtamuuuuu, wacha movie iendeleee, sagana mama ubaya jipe raha na aunty ezekiel wako mpak mpeane mimba
 

Chezeya wambea tulioenda shule? Kiswazi kinapanda , ngeli ndo Nyumbani kwake, inshort tumejipanga kuboresha UMBEA east africa nzima, tunataka kuipeleka fani yetu kimataifa zaidi, hapana chezeya sie. We are unstoppable n untouchable forever, lets goo swry , tumekuja kuwashikaaaa.....
 

Binamu umesikia michambo ya mganda kwa wabongo? Anasema eti wabongo ma ignorant n illiteracy. Ngoja nikakariri ID nikuletee tumfuate uko uko IG, tumuonyeshe u ignorant wetu pamoja na sifa nyingine kubwa alizozisahaua za umbea na ujobless, ataomba poo manina
 
Binamu,

Malaya malaya tu

Class ni mbwembwe tu

Sema zari alichomshinda wema ni un summit tu wakati wema ni tz summit


Hampati kwa uzuri, pesa wala ukahaba, wema anajifanyaga malaya ila zari ni malaya first class, inshort wema kapigwa bao
 
Kudadadekriiii ubuyu huu ulinipita...


Diva achana nae kabisa.....
Akigongwa tu dunia lazima ijue
 
Patamu apo, nani tena akisagana? Ubuyu mtamuuuuu, wacha movie iendeleee, sagana mama ubaya jipe raha na aunty ezekiel wako mpak mpeane mimba
Bhana eh, hii dunia ukiwa mtu wa -----mind vitu wanavyofanya hata wasio ndugu zako unaweza kuugua ugonjwa wa moyo wa kujitakia manake kila siku utasikia jipya na la kuudhi vile vile... sasa yote hayo ukiyageuza na kuyafanya yawe yako au yanakuhusu kisa tu yanafanywa na mtu unayemuonaga kwenye TV... trust me, ni kujitafutia ugonjwa wa moyo wa kujitakia!
 
Kudadadekriiii ubuyu huu ulinipita...



Diva achana nae kabisa.....
Akigongwa tu dunia lazima ijue

Na anajisifia kabisa, yule hamnazo, atatembelea gar lake la viwete mpaka akome, na mkopo sijui kamalizia
 
Pengine chamillion anaweza kuvunja record afrika Tsh600,000+ per show ni hela nyingi sana kwa nchi zetu za afrika ukisikia na ukitaka kupata mfano halisi wa kutake risk basi ni show hii ya chamillion!

Yap kwa Africa Jose ameamua kujiongeza... Ila Uganda Jose yuko juu Sana nadhani atapata watu wa kutosha
 

Umeona ehh lulu ana akili sana ila ni hivyo hakuzingatia shule. Lulu angeenda mbali Sana. Ingekuwa ni level za ajira za kiinternational. Ila kuuza papuchi ndo life alochagua. Ni nzuri ila mbaya sana
 
Mwanamke usimpomkanyaga vizuri,hata umpeleke sayari ya mars,atarudi tu duniani hata bila rocket ili apate anachostahili.
 
Mhhhhhhh shoga huu mtirirko....... ungesubiri stori kamili

aliekua ana jilaveda ni boss Zarina sio Wema

Tatizo wambea tunakuwag na uvumilivu zero, tukipata kichwa cha habar tu, story tunatunga wenyewe, inabidi tuite kikao tujadili hili suala, naona limekuwa ni changamoto kwetu, linaweza kukwamisha maendeleo ya ubuyu nchini
 

Ukiona wanajiamini hivyo jua washafanya makubwa sana hiyo ni cha mtoto. Ila kwenye public lazima mtu ajidai ila moyoni km binadam mwenye damu unaumia.
Alafu caption zake hasa ya leo anajitahidi kujisafisha so still kimemuuma.
Kuna mganda anasema ile caption ya sex leak hajaandika yeye ameandikiwa na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…