Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Ile ilikuwa wanado kiskype. Alafu nshawaambia yule bibi ana ge..nye mshindo huwa haziishi. Yule akiona suruali tu imejazia kwa mbele ni tayari sehemu flani zinatepeta

Hule ni mziki mkubwa hakika Diamond anayo kazi!
 
Hahahahaha kwa sintah sisomi tena yule chibibi mnafiki anachuki binafsi na watu. Alafu unajua mange Ana picha za chiu wa sintah ikiwa na mapele ya topaz meusiii so yeye na zari ndo zao kusafisha nyuso alafu chiu nyeusi eeehh?

Kwi kwi ,niliona juzi kule insta mtu ka post picha ya sintah, kama mchawi, na mtumbo ule kama kameza nguruwe mwenye mimba
 

Umenena vyema. Alafu kana roho nzuri sana. Ajitahidi atafika aendapo ila tu apunguze kupigwa miti maana itamrudisha nyuma. Atafute mbuzi wake amfuge amkamue maziwa taratibu
 
Halafu bosslady na hela yote aliyonayo kashindwa kununua wembe tu wa gillete kunyoa vuzi????

Hata wax kashindwa fanya??

Kwakweli ameonesha sio msafi kabisa ni aibu!
 
Yap nakubaliana na weee

Waganda walugaluga ila wananyoooodoooooooooo

Boss minyama imemtepeta...

Eti kuna mganda aliulizwa na muwest mmoja kuhusu kiswahili akajibu hakipendi ni lugha chafu ya kishamba. Yule muwest alishangaa nilipomwambia kiswahili kinafundishwa hadi US. Alafu huyo mganda mwenyewe alivyo mchafu na mshamba sasa. Hadi Leo picha anapigia kwenye maua mekundu
 
Kwi kwi ,niliona juzi kule insta mtu ka post picha ya sintah, kama mchawi, na mtumbo ule kama kameza nguruwe mwenye mimba

Sintah nilikuwa namhusudu na kuhisi anaonewa ila kumbe ni mgomvi wa makusudi. Ndo maana amepewa sura alafu miguu km ya joti
 
Hehehehd

Ndio maana sintah anamuogopa mange siku hizi




Hahahahaha kwa sintah sisomi tena yule chibibi mnafiki anachuki binafsi na watu. Alafu unajua mange Ana picha za chiu wa sintah ikiwa na mapele ya topaz meusiii so yeye na zari ndo zao kusafisha nyuso alafu chiu nyeusi eeehh?
 
Tatizo wambea tunakuwag na uvumilivu zero, tukipata kichwa cha habar tu, story tunatunga wenyewe, inabidi tuite kikao tujadili hili suala, naona limekuwa ni changamoto kwetu, linaweza kukwamisha maendeleo ya ubuyu nchini

Haaaaaaaaaaa binamu utaniua mbavu lol... nimechekaje
 

Hivi ana Fanya biashara gani ya kumuingizia kipato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…