Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Wivu tu unawasumbua kisa ameopoa demu mkali bilionea Zari.
 
ngoja mimi nisubiri Le Tamkozz kutoka kwa The BigShow kama ni kweli au sio kweli.
Jamani msilaumu sana wema kaenda kwa babu na diamond kaenda kwa bibi ngoma droo

hahahahaha uknw Mimi ndio nilifanikisha hiyo project na kila kitu na ndio nilikuwa napiga picha uknw maana Mimi ni Celebrity mkubwa!
hahahahahahaha leproject
I love it
 
Jamaniiii.. Inamaana ngoma mpya ya bushoke ndo imeshabuma??
 
Hahahahhaa


Una tabia mbaya sana ujue

Umesababisha niichunguze picha

Domo linanyonya hadi kidevu....... zari akifanya masihara litamziba hadi pua ashindwe kupumua

Noma sana!
 
Ujio wa hii project na wimbo mpya wa dai umefanya tusahau uwepo wa "kiboko yangu"

Dogo angesoma marketing angetamba vibaya mnooo..

Kwani lengo lilikuwa ni kupush nyimbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…