Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja mimi nisubiri Le Tamkozz kutoka kwa The BigShow kama ni kweli au sio kweli.
Jamani msilaumu sana wema kaenda kwa babu na diamond kaenda kwa bibi ngoma droo
Always mi ni mtu wa points tu sema sometime naamua ku act ujinga coz nawajibu wajinga wasio jielewa.
hahaha nani anamuonea wivu? Kumpa ushauri nako nikumuonea wivu?
Aiseee
Akiona hazungumziwi anatafuta sababu ya kuteka midomo ya watu, mbona hakutoa wakati ule ule? Anapenda attention huyu.
Ha ha ha babu we ni noma
Kaona wimbo alioutoa hauzungumzwi ndo kaamua kuachia picha ili watu wamzungumzie
Jf nako ukijifanya mstaarabu sana unaweza kukimbia wakati bado waipenda.