Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingependeza ingekuwa Nyota ya Baba yake Lameck Madelu.Nyota ya Isack Mwigulu inazidi kung’aa,
Sio kugaragara tu inabidi wabubujikwe na machozi ya furaha kukutana na kiongozi wao
Hapo wanamuamkia shikamooo mheshimiwaDogo yupo field
Lucas anasubiri Dogo akue awe chawa wake
H
Hapo wanamuamkia shikamooo mheshimiwa
Ova
Haha 😂 😂 😂 😂 mpaka uharo.
🤣😂🤣😂🤣😂
naskia huyo chibonge anazaidi ya b 4 benkiNyota ya Isack Mwigulu inazidi kung’aa, safari awa mgeni rasmi kwenye semina ya utendaji wa UVCCM kwa mkoa wa Singida.View attachment 3121864
mshambwa lazma atokwe na yale machozi yake yanayobubujikaka kifala