Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

Yaani nguvu ya Fedha za Baba anazowaibia Kutwa tu Watanzania hapo Wizarani alipo anazitumia Kumpromoti huyu Mwanae ili kumjengea Umaarufu Wewe Chawa Gegedu unakuja hapa kutudanganya kuwa Nyota ya Mwanae inakua.

Acheni huku Kujipendekeza na Kujikomba hovyo kwa Wakubwa Serikakini na Chamani kwani ipo Siku mtakuja 'Kupipidiwa' au 'Kumanuliwa' nao bure....!!

Hovyo kabisa Wewe.
Sawa juma lokole unaonyesha uzoefu wako wa kupanuliwa nankubanduliwa kama huna D mbili huwezi elewa
 
Sawa sawa Baba akimiliki Mgahawa atamilikisha mtoto Mgahawa hivyo hivyo akimiliki Shamba la kijiji
Ila watz kuridhishana biashara hakuna mwisho wa kurithi ni kuuwana tu
Ila siasa sawa
Hivi na wizi kuna kuruthishana pia nimewaza tu
 
1728487011904.jpg
 
ANAFANYA KAZI Gani?

Mbona wanaotuongoza hawaoni aibu?

Mna hakika hakuna wehu walio na nyazifa serikalini?
Wehu ni wengi sana, wahuni, wezi, mafisadi. Wabakaji, walawiti na wote wanaofanana na hao! Baba yake huyo sisemi!!!!!!!!
 
Huyo bod gadi wake ana afya duni .......mwili mdogo daaa maisha hayaaaaa
 
Natafakari tu hiyo mibaba na mimama mijitu mizima kupoteza muda kwenda kukupokea hicho kitoto..
 
Safi sana kiongozi shujaa huyo tupo nyuma yake anapambana sana kuleta maendeleo.
 
Back
Top Bottom