Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

Muda huu wenzake wanasoma yeye anapiga u chawa huko Singida....ila matokeo yeye atakuwa no 1
 
Nyota ya Isack Mwigulu inazidi kung’aa, safari awa mgeni rasmi kwenye semina ya utendaji wa UVCCM kwa mkoa wa Singida.View attachment 3121864
Yaani nguvu ya Fedha za Baba anazowaibia Kutwa tu Watanzania hapo Wizarani alipo anazitumia Kumpromoti huyu Mwanae ili kumjengea Umaarufu Wewe Chawa Gegedu unakuja hapa kutudanganya kuwa Nyota ya Mwanae inakua.

Acheni huku Kujipendekeza na Kujikomba hovyo kwa Wakubwa Serikakini na Chamani kwani ipo Siku mtakuja 'Kupipidiwa' au 'Kumanuliwa' nao bure....!!

Hovyo kabisa Wewe.
 
Kizazi hicho ndio kitakutana na anguko la ccm namuonea huruma bad timing anarithishwa ujinga.
Ni bora kurithishwa ujinga pamoja na billion 4 kwenye account kuliko ujinga tuliorithishwa na maneno matupu "Soma mwanangu upate kazi nzuri" na blaa blaa zingine.
 
Yaani nguvu ya Fedha za Baba anazowaibia Kutwa tu Watanzania hapo Wizarani alipo anazitumia Kumpromoti huyu Mwanae ili kumjengea Umaarufu Wewe Chawa Gegedu unakuja hapa kutudanganya kuwa Nyota ya Mwanae inakua.

Acheni huku Kujipendekeza na Kujikomba hovyo kwa Wakubwa Serikakini na Chamani kwani ipo Siku mtakuja 'Kupipidiwa' au 'Kumanuliwa' nao bure....!!

Hovyo kabisa Wewe.
Anatupiga kamba kuwa dogo ana nyota 🤣 wakati wanatumia mpunga kumtangaza
 
Dogo haelewi uzito wa anachokifanya baba yake kwa sasa ila akifika umri wa miaka 26-30 atakuja kumshukuru sana baba yake kwa alichokuwa anamtengenezea.
Ni Mungu tuu asimame tupate kizaz Cha Gen.z kisichojua kuabudu ujinga kakama sisi ila Kwa kwel Sion naona dalili,,na nahis aliye nyuma ya Mhe.Isaki ni mtot wa mwijaku maana kila mtu anaridhi Kaz ya wazaz wake
 
Back
Top Bottom