Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

Ukweli ni kuwa siasa bongo inalipa ila wanasiasa hawawezi kukwambia hilo. Sio wanaotawala wala wanaotafuta kutawala. Hakuna mwanasiasa atakwambia siasa inalipa. Ila wanavyoandaa vizazi vyao ndio utajua. Hakuna mtoto wa mwanasiasa anaenda kuwa daktari au mwalimu mahali. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
H

Hapo wanamuamkia shikamooo mheshimiwa

Ova
Yani nyuso tu zinaonekana tu shikamoo boss, kweli mtoto wa boss ni boss mtoto 🤣
Malaki ya wananchi wa singida wameshuhudiwa Leo wakishindwa kujizuia pale walipo muona muheshimiwa sana, mgeni rasmi, kiongozi wa Baraza Taifa, kigogo, mjumbe mzito Isack mwigulu lameck nchemba.
Kmmmk walai dah 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom