Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania .

Mhanga huyu anadaiwa kusikika akimkashifu Mtukufu Waziri Mkuu huko Club House .

Taarifa zaidi itawajia baadaye kidogo
 
Neno mtukufu limetumika vibaya

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Keyboard worriers, keep fight mkiingia 18 mnaanza kulia lia, kiongozi hatukanwi...USIMTUKANE KIONGOZI yoyote mkosoe kwa shaha

Uko sahihi kabisa kutokumkutana kiongozi au mtu yoyote yule. Je hao viongozi wakikosolewa kwa staha wanajali? Ndio maana tunasisitiza viongozi waingie madarakani kwa haki, unapoingia madarakani kwa haki unakuwa unastahili kuheshimiwa, lakini kiongozi anayeingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi, inakuwa ni ngumu kupata heshima inayostahili.
 
Kama kakamatwa hiyo ni good news. Nchi na rasilimali sio mali ya kabila fulani. Maasai wawe na utii na waondoke kwenda Handeni pazuri zaidi. Wakikataa jasho na damu vitumike. Hakuna kubembelezana kwenye hiii.
 
Back
Top Bottom