Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

Waarabu sii wanalipa kodi Masai wanaingiza kodi gani wakati watu Wa Kenya wamejaza huko ngombe zao usiku wanavuka mpaka wanauzwa Kenya
Wengi hawajui huo mchezo wa majirani zetu.Wangelijua wasingeshadidia bali wangeipongeza Serikali kwa utekelezaji wa sheria kwa kuwekwa mipaka au kuondolewa wanaoshi hifadhini.
 
Ndio maana nazidi kusisitiza walimu wabakie kufundisha mashuleni lakini sio kuwapa vyeo vikubwa Serikalini.
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania .

Mhanga huyu anadaiwa kusikika akimkashifu Mtukufu Waziri Mkuu huko Club House .

Taarifa zaidi itawajia baadaye kidogo
Sijui ni wangapi waliomo humu JF nao wangekuwa wamekamatwa kama wangejulikana ni akina nani hasa!
Mbona jela zingejaa watu.
Tusubiri na wengine watakaomkashifu Spika?, Makamba?..., n.k., n.k.
 
Back
Top Bottom