Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

Kwahiyo Waarabu ndio wenye haki? another idiot.

You are Idiot number one . Mwarabu yupi huyo mnaropoka ropoka Mwarabu Mwarabu bila ushahidi na hata kama yupo mwekezaji anaeweza faida zaidi kwa Taifa na kutunza mazingira ni bora kuliko hao Masai wasio na faida wanakunya hovyo tu humo na kuua wanyama. Waondoke hakuna kukaa humo sio kwao ni kwa nature
 
Kiongozi anayethubutu kusema uwongo kwenye nyumba ya ibada..huyo kwangu sio kiongozi..na uongo wenyewe ni usiofichika..unawezaje kuficha kifo.yule jamaa either anawadharau sana watanzania au kj...
 
Kassim majaliwa ni mwongo, waje wanikamate
Jidanganye mkuu kwamba huku jamii forum hukumatika,nimeshuhudia jamaa wanadaka watu wanaoandika upuuzi humu tena kirahisi sana yaani chapu wamejua hadi unapopatikana kuna mmoja yeye baada ya kumdaka wakakuta ni boya tu hana ishu yoyote walimuonea huruma baada ya mkewe kwenda kuwaangukia kilio.Ni vyema kutumia mitandao ya kijamii ipasavyo kwa lengo la kupata elimu na taarifa mbalimbali na sio sehemu ya kujifanya mjanja.
 
Kwahiyo Sii wal rabu ndio wenye haki? another idiot.
Waarabu sii wanalipa kodi Masai wanaingiza kodi gani wakati watu Wa Kenya wamejaza huko ngombe zao usiku wanavuka mpaka wanauzwa Kenya
 
Viongozi wa ccm ni wakubwa kuliko Mungu , ndio maana tumewaita watukufu , we hujui tu .

Mtu anadanganya msikitini kwamba Rais ni mzima na anachapa kazi , huku kumbe kishakufa , unadhani ni madogo hayo ?

Haya tumekusikia Kubenea....ila ndo uwa utaratibu wa kutoa taharifa za msiba....Nyerere alikaa Hosptal ya st.Monica kwa week mbili ndo tukaja Pata taharifa ya kifo chake!!!
 
Hakuna uhuru usio na mipaka; uhuru wa maoni unaongozwa na sheria na taratibu za nchi yetu.

Kuna tofauti kati ya uhuru wa maoni na kukashifu/kutukana.

Uhuru wako usiingilie uhuru wa mwingine; kama amemkashifu/kumtukana kiongozi wa umma ni haki yake kuwajibishwa kama inavyopaswa. Kuna njia nyingi za kumkosoa kiongozi bila kulazimika kutukana/kukashifu
 
unaweza ukatueleza jinsi gani alivyo mkashifu
 
Kama kakamatwa hiyo ni good news. Nchi na rasilimali sio mali ya kabila fulani. Maasai wawe na utii na waondoke kwenda Handeni pazuri zaidi. Wakikataa jasho na damu vitumike. Hakuna kubembelezana kwenye hiii.
Uonevu huo je umewalipa hao Wamasai?
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania .

Mhanga huyu anadaiwa kusikika akimkashifu Mtukufu Waziri Mkuu huko Club House .

Taarifa zaidi itawajia baadaye kidogo
Anyee debe kama miaka 6 hivi hadi akili zimkae sawa sawa..

Wapuuzi kama Hawa ndio wanakodi Wakenya kuja kuleta vurugu Nchini, serikali isiwachekee.
 
You are Idiot number one . Mwarabu yupi huyo mnaropoka ropoka Mwarabu Mwarabu bila ushahidi na hata kama yupo mwekezaji anaeweza faida zaidi kwa Taifa na kutunza mazingira ni bora kuliko hao Masai wasio na faida wanakunya hovyo tu humo na kuua wanyama. Waondoke hakuna kukaa humo sio kwao ni kwa nature
Wewe ni mpumbavu mahali popote ulipo huna ustaarabu Wamasai wamekukosea nini,je umewalipa??? Na hao Waarabu je hawana kwao?Je wewe au Mmasai ni kosa kuzaliwa Tanzania?Si kila mwekezaji ana faida kwa nchi na wananchi wengine huja kuharibu uchumi.
 
Haya ,ukikamatwa hutasema chochote. Endelea kuropoka hapa.
Mushaambiwa msitaje majina ya watu hapa.
mnamtia matatani maxence melo.
Hamsikii
Acha nidhamu ya woga, ni kweli Waziri mkuu mtu muongo sana, ni watu kama wewe wanapita tuu pale
 
Back
Top Bottom