Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

Waarabu sii wanalipa kodi Masai wanaingiza kodi gani wakati watu Wa Kenya wamejaza huko ngombe zao usiku wanavuka mpaka wanauzwa Kenya
Acha dharau wewe hata miji inawategemea hao Wamasai kwa kitoweo kizuri please acha dharau,
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania .

Mhanga huyu anadaiwa kusikika akimkashifu Mtukufu Waziri Mkuu huko Club House .

Taarifa zaidi itawajia baadaye kidogo
IMG-20220611-WA0427.jpg
 
Hakuna uhuru usio na mipaka; uhuru wa maoni unaongozwa na sheria na taratibu za nchi yetu.

Kuna tofauti kati ya uhuru wa maoni na kukashifu/kutukana.

Uhuru wako usiingilie uhuru wa mwingine; kama amemkashifu/kumtukana kiongozi wa umma ni haki yake kuwajibishwa kama inavyopaswa. Kuna njia nyingi za kumkosoa kiongozi bila kulazimika kutukana/kukashifu
Acha ujinga wewe
 
Kuna umuhimu wa raia kumiliki bunduki, serikali inaweza kugeuka jambazi wakati wowote
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania .

Mhanga huyu anadaiwa kusikika akimkashifu Mtukufu Waziri Mkuu huko Club House .

Taarifa zaidi itawajia baadaye kidogo
Ndio yule jamaa Diwani wa CCM?

Badi wacha ugomvi wa ndugu sisi tuchukue jembe tukalime.
 
Keyboard worriers, keep fight mkiingia 18 mnaanza kulia lia, kiongozi hatukanwi...USIMTUKANE KIONGOZI yoyote mkosoe kwa shaha
Enzi za Dr Slaa CHADEMA Arusha sijui mimi muda huu pangekuweje narudia tena sijui!
 
Lazima Maasai waondoke Ngorongoro. Kama hawataki wapigwe tu
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania .

Mhanga huyu anadaiwa kusikika akimkashifu Mtukufu Waziri Mkuu huko Club House .

Taarifa zaidi itawajia baadaye kidogo
Ni nani Hasa alietakiwa kukamatwa hapo?
 
Jidanganye mkuu kwamba huku jamii forum hukumatika,nimeshuhudia jamaa wanadaka watu wanaoandika upuuzi humu tena kirahisi sana yaani chapu wamejua hadi unapopatikana kuna mmoja yeye baada ya kumdaka wakakuta ni boya tu hana ishu yoyote walimuonea huruma baada ya mkewe kwenda kuwaangukia kilio.Ni vyema kutumia mitandao ya kijamii ipasavyo kwa lengo la kupata elimu na taarifa mbalimbali na sio sehemu ya kujifanya mjanja.
Wanajidanganya kwa kuwa keyboard warriors.
 
Back
Top Bottom