Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Inasikitisha sanaUnafuga mjusi kumbe ni Mamba...huu mgogoro UTAVURUMUWA MENGI
Na mwisho wa yote ni lile PORI LA SIMBA KUJITANUWA
Time will tell
hiyo hata kipofu anafahamu , na inasemekana ni mtu katiri kuliko maelezo , fuatilia namna alivyoshinda ubunge 2020Kassim majaliwa ni mwongo, waje wanikamate
Neno mtukufu limetumika vibayaHii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania .
Mhanga huyu anadaiwa kusikika akimkashifu Mtukufu Waziri Mkuu huko Club House .
Taarifa zaidi itawajia baadaye kidogo
Viongozi wa ccm ni wakubwa kuliko Mungu , ndio maana tumewaita watukufu , we hujui tu .
Haya ,ukikamatwa hutasema chochote. Endelea kuropoka hapa.Kassim majaliwa ni mwongo, waje wanikamate
[emoji38][emoji38][emoji38] na bado !! mtanena kwa lughaUtawala wa madikteta.
Isaya Ni Nani katika siasa za Tanzania please! Uonevu na huko inawezekana asionekane Tena Kama BenKeyboard worriers, keep fight mkiingia 18 mnaanza kulia lia, kiongozi hatukanwi...USIMTUKANE KIONGOZI yoyote mkosoe kwa shaha
Keyboard worriers, keep fight mkiingia 18 mnaanza kulia lia, kiongozi hatukanwi...USIMTUKANE KIONGOZI yoyote mkosoe kwa shaha
Sawa na vipi tufuatilie ya chacha wangwe kidogo ili tujue kuhusu huko?!!!!hiyo hata kipofu anafahamu , na inasemekana ni mtu katiri kuliko maelezo , fuatilia namna alivyoshinda ubunge 2020
Good!Wamfile mama yako
Kwahiyo Waarabu ndio wenye haki? another idiot.Kama kakamatwa hiyo ni good news. Nchi na rasilimali sio mali ya kabila fulani. Maasai wawe na utii na waondoke kwenda Handeni pazuri zaidi. Wakikataa jasho na damu vitumike. Hakuna kubembelezana kwenye hiii.