WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Acha dharau wewe hata miji inawategemea hao Wamasai kwa kitoweo kizuri please acha dharau,Waarabu sii wanalipa kodi Masai wanaingiza kodi gani wakati watu Wa Kenya wamejaza huko ngombe zao usiku wanavuka mpaka wanauzwa Kenya
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania .
Mhanga huyu anadaiwa kusikika akimkashifu Mtukufu Waziri Mkuu huko Club House .
Taarifa zaidi itawajia baadaye kidogo
Acha ujinga weweHakuna uhuru usio na mipaka; uhuru wa maoni unaongozwa na sheria na taratibu za nchi yetu.
Kuna tofauti kati ya uhuru wa maoni na kukashifu/kutukana.
Uhuru wako usiingilie uhuru wa mwingine; kama amemkashifu/kumtukana kiongozi wa umma ni haki yake kuwajibishwa kama inavyopaswa. Kuna njia nyingi za kumkosoa kiongozi bila kulazimika kutukana/kukashifu
[emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio yule jamaa Diwani wa CCM?Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania .
Mhanga huyu anadaiwa kusikika akimkashifu Mtukufu Waziri Mkuu huko Club House .
Taarifa zaidi itawajia baadaye kidogo
Magazijuto[emoji38][emoji38][emoji38]
Enzi za Dr Slaa CHADEMA Arusha sijui mimi muda huu pangekuweje narudia tena sijui!Keyboard worriers, keep fight mkiingia 18 mnaanza kulia lia, kiongozi hatukanwi...USIMTUKANE KIONGOZI yoyote mkosoe kwa shaha
Leo nimekuelewa sana ndugu yangu kumbe wakati mwingine huwa una busara. Hongera.Anyee debe kama miaka 6 hivi hadi akili zimkae sawa sawa..
Wapuuzi kama Hawa ndio wanakodi Wakenya kuja kuleta vurugu Nchini, serikali isiwachekee.
Ni nani Hasa alietakiwa kukamatwa hapo?Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania .
Mhanga huyu anadaiwa kusikika akimkashifu Mtukufu Waziri Mkuu huko Club House .
Taarifa zaidi itawajia baadaye kidogo
Waliomkamata ndio wanaelewa kashfa zilizotolewaUngeandika amemkashifu Kwa namna gani.............
Akizidi kuwa mwongo mwongo tuendelee tu kumvumilia??Mambo mengine hayavumiliki aache uongo heshima yake ipo na itaendelea kuwepo.Ila sio sawa kukashifu mtu kama majaliwa heshima iwepo nikiongozi
Nilidhani nawewe ulikuwepo mkuuWaliomkamata ndio wanaelewa kashfa zilizotolewa
Mungu amrehemu marehemu. Tukio kama hili litokee Zanzibar hakika shimoni Kenya kutafurika wazanzibari.
jitoe akili hivyo hivyo huku ukiwa huna hata wa kukuwekea dhamanaAcha nidhamu ya woga, ni kweli Waziri mkuu mtu muongo sana, ni watu kama wewe wanapita tuu pale
Wanajidanganya kwa kuwa keyboard warriors.Jidanganye mkuu kwamba huku jamii forum hukumatika,nimeshuhudia jamaa wanadaka watu wanaoandika upuuzi humu tena kirahisi sana yaani chapu wamejua hadi unapopatikana kuna mmoja yeye baada ya kumdaka wakakuta ni boya tu hana ishu yoyote walimuonea huruma baada ya mkewe kwenda kuwaangukia kilio.Ni vyema kutumia mitandao ya kijamii ipasavyo kwa lengo la kupata elimu na taarifa mbalimbali na sio sehemu ya kujifanya mjanja.