Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

Waarabu sii wanalipa kodi Masai wanaingiza kodi gani wakati watu Wa Kenya wamejaza huko ngombe zao usiku wanavuka mpaka wanauzwa Kenya
Wengi hawajui huo mchezo wa majirani zetu.Wangelijua wasingeshadidia bali wangeipongeza Serikali kwa utekelezaji wa sheria kwa kuwekwa mipaka au kuondolewa wanaoshi hifadhini.
 
Ndio maana nazidi kusisitiza walimu wabakie kufundisha mashuleni lakini sio kuwapa vyeo vikubwa Serikalini.
 
Waarabu sii wanalipa kodi Masai wanaingiza kodi gani wakati watu Wa Kenya wamejaza huko ngombe zao usiku wanavuka mpaka wanauzwa Kenya
Waabuduni Waarabu. Mtashikishwa ukuta tu.
 
Sijui ni wangapi waliomo humu JF nao wangekuwa wamekamatwa kama wangejulikana ni akina nani hasa!
Mbona jela zingejaa watu.
Tusubiri na wengine watakaomkashifu Spika?, Makamba?..., n.k., n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…