Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
kumbuka wanawake hawapendi ukweli wa dhati lazima uongo mapenzi yananoga kweli
muone vile..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbuka wanawake hawapendi ukweli wa dhati lazima uongo mapenzi yananoga kweli
You come to love not by finding a perfect person, but seeing an imperfect person perfectly.hivi kweli kuna wanaume kama hao kwenye red???????????
wanapatikana wapi??
kama wapo PM to me plzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!
Mkuu wasifikiri everyone is perfectKamata kigongeo mkuu
The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:
CPU (Today)
no perfect human being mkuu
Ahaaaa haaaaa ahaaaaa l.o.lMimi nipo!
Kwanini umecheka Fy?Kwani uwongo?Ahaaaa haaaaa ahaaaaa l.o.l
Mkweli toka moyoni
1) Atakutafuta na kuongea na wewe mara nyingi kwa kadri atakavyoweza. Hii inawezekana kwa njia ya simu, email, barua, au hata kutuma salamu za mdomo kupitia watu wengine kama marafiki, ndugu na jamaa.
2) Atatimiza ahadi aliyokupa. Akisema atakutafuta kwa ajiri ya maongezi, kukupigia simu au ahadi nyingine yoyote atafanya hivyo kwa muda aliousema awali
3) Ataonyesha kujali kwa mambo unayoyapenda, kwa mfano kama unapenda kwenda muziki, filamu, aina fulani ya chakula, maua, au mambo mengine unayoyapenda ataungana na wewe ktk kufurahi hata kama itatokea kati ya mambo hayo sio hobi yake
4) Mwanaume wa aina hiyo atakuwa wazi kuonyesha hisia zake kwako, atakuwa wazi kwa kadri awezavyo, hii itakuwa ni pamoja na kukueleza jinsi gani anajisikia anapokuwa karibu na wewe
5) Atakufunza utamaduni wa kujenga urafiki wenye dhamira ya dhati, matumaini ya muungano imara na usiokuwa na tamati kati yenu na ukweli halisi pendo toka moyoni
Aliyekosa ukweli
1) Mwanaume asiyekuwa na nia kwanza atakuwa mgumu kutimiza ahadi alizotoa mwenyewe kwako, atakuwa na sababu nyingi na maelezo marefu yasiyolenga kukutia moyo wala nguvu
2) Wakati mwingine atakuwa mbali na wewe, hatopenda kuongea na wewe kwa kirefu, na akilazimika kuongea atafanya hivyo kwa muda mfupi tu na kukupa sababu kedekede kwanini hapaswi kuongea muda mrefu
3) Anaweza kukuambia atakuja muda fulani lakin asifanye hivyo na bado asikueleze sababu za kushindwa kuja kwake kama hutosumbuka kumuuliza
.
Ndio maana unaitwa MPENDWA
Wewe sio perfect person bwana
Wewe ni perfect wife bana
Oh come on hubby...i'm perfect bana!In all levels!Wewe sio perfect person bwana
Wewe ni perfect wife bana
mambo safi.
Kinachonipa shida wapo wasio na mapenzi ya kweli na mwanzoni mwa mahusiano wanakuwa na tabia kama za wenye mapenzi ya kweli....baada ya muda na kuwa wampiga hatua fulani ndio hasa unaweza kuona rangi zao kuwa hawana mapenzi ya kweli....na wapo wenye wasioweza kufanya hayo ya wenye mapenzi mema kutokana na circumstances fulani fulani....its complicated....thanks for guidelines!!!!!!!!!!!!
Mzima Mpendwa?Umepotea!
mi mzima sana.. sijui wewe.. ni majukumu tu ya hapa na pale! Nimezipenda hizi points za CPU..!
Yeah!Zimetulia!Mi niko pouwaa!
hapo kwenye RED. hiyo ndio sehemu gani? sisi vijana wa zamani kidogo haya maneno yanatuchanganya