Ishara kuwa ulishaukwaa ila ngwengwe ikala besela

Ishara kuwa ulishaukwaa ila ngwengwe ikala besela

Ina chukua mda gani mdudu kuanza kushow impacts
Immediately baada ya tendo siku inayofuata ila hapa ni mpaka uwe makini na afya ya mwili wako ndipo utagundua lakini dalili haswa haswa ni wiki moja mpaka mwezi na wakati mwingine hamna dalili yeyote ile kwa hatua ya mwanzo ila ukienda katika vipimo unakuta vinasoma jumlisha. Watu wengi wenye afya njema ujigundua kuwa wanangoma baada ya kupita kipindi kisichopungua miaka 8 tokea kuambukizwa hapo ndipo magonjwa nyemelezi yanapoanza kuwa mengi kutokana na kinga kuanza kushuka (CD4) ndiyo maana twapaswa kupima mara kwa mara hata kama twajiona wazima.
 
Back
Top Bottom