Ishawahi kukutokea hii? Msaada tafadhali

kilamba lamba

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
427
Reaction score
738
Habarini wana Jamvi. Natumai mu wazima sana.

Bila kupepesa maneno .Niende moja kwa moja kwenye point.

Ewe mwanaume, ishawahi kukutokea upo faragha na ukashindwa kupata hisia kabisa na mtu uliyekuwa nae?

Huyu Ni mpenzi wangu kabisa. Lakini cha kushangaza mashine ilikuwa vizuri tu imejiandaa kwa majamboz ghafla ikapoteza muelekeo na kutulia Kama haikuwepo.. ikalala usingizi mnono kabisa.

Hii ni mara ya Pili inanitokea. Mara ya kwanza niliona Ni kawaida tu. Hii imenitia mashaka kidogo. Sasa Nawakaribisha nyinyi Kama Ndugu zangu Je, ishawahi kukutokea wewe Kama mwanaume? Au Kama mwanamke ishawahi kumtokea wa faragha wako.. ? Na Shida itakuwa Ni nini?

Msaada Tafadhali.
 
Kama ni mtu wa kupiga punyeto acha. Kama ni mtu ambaye hufanyi mazoezi basi Anza kufanya mazoezi, fanya jogging, push ups...punguza kula mavyakula yenye mafuta...kula vyakula vinavyoongeza utiririkaji wa damu kwenye uume pendelea matunda Kama ndizi mbivu, tikiti maji, au mbegu za maboga kutokana na kuwa na zinc nyingi.
 
Kama ni mtu wa kupiga punyeto acha. Kama ni mtu ambaye hufanyi mazoezi basi Anza kufanya mazoezi, fanya jogging, push ups...punguza kula mavyakula yenye mafuta...kula vyakula vinavyoongeza utiririkaji wa damu kwenye uume...pendelea matunda Kama ndizi mbivu,tikiti maji, au mbegu za maboga kutokana na kuwa na zinc nyingi.....
Shukrán mkuu kwa ushauri
 
Habarini wana Jamvi. Natumai mu wazima sana.

Bila kupepesa maneno .Niende moja kwa moja kwenye point.

Ewe mwanaume, ishawahi kukutokea upo faragha na ukashindwa kupata hisia kabisa na mtu uliyekuwa nae?

Huyu Ni mpenzi wangu kabisa. Lakini cha kushangaza mashine ilikuwa vizuri tu imejiandaa kwa majamboz ghafla ikapoteza muelekeo na kutulia Kama haikuwepo.. ikalala usingizi mnono kabisa.

Hii ni mara ya Pili inanitokea. Mara ya kwanza niliona Ni kawaida tu. Hii imenitia mashaka kidogo. Sasa Nawakaribisha nyinyi Kama Ndugu zangu Je, ishawahi kukutokea wewe Kama mwanaume? Au Kama mwanamke ishawahi kumtokea wa faragha wako.. ? Na Shida itakuwa Ni nini?

Msaada Tafadhali.
Huo ni upungufu wa nguvu za kiume. Tafuta tiba haraka sana!!!
 
Back
Top Bottom