kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Habarini wana Jamvi. Natumai mu wazima sana.
Bila kupepesa maneno .Niende moja kwa moja kwenye point.
Ewe mwanaume, ishawahi kukutokea upo faragha na ukashindwa kupata hisia kabisa na mtu uliyekuwa nae?
Huyu Ni mpenzi wangu kabisa. Lakini cha kushangaza mashine ilikuwa vizuri tu imejiandaa kwa majamboz ghafla ikapoteza muelekeo na kutulia Kama haikuwepo.. ikalala usingizi mnono kabisa.
Hii ni mara ya Pili inanitokea. Mara ya kwanza niliona Ni kawaida tu. Hii imenitia mashaka kidogo. Sasa Nawakaribisha nyinyi Kama Ndugu zangu Je, ishawahi kukutokea wewe Kama mwanaume? Au Kama mwanamke ishawahi kumtokea wa faragha wako.. ? Na Shida itakuwa Ni nini?
Msaada Tafadhali.