Ishawahi kukutokea umepata aibu wakati wa mechi?

Ila wewe jamaa ni mjinga sana, Hivi unajua kinachoendelea huko bodi ya ligi au unawaza ngono tu?

Anyway hayo mambo tuwaachie GT huko.

Mimi sitasahau nilikua na ndom1 tu halafu ile napachika tu ikapasuka - Dah ilibidi niachane na mchezo maana ningejikuta nimekua baba mtoto enzi zile!!
 
Dr unatumia long way… muombe muende piemuni mbona yanazungumzika..!! 😹😹

Jirani Leejay49 msikize Dr mpk katumia capital letter ujue kuna kitu kinamchanganya juu yakoβ€¦πŸ€£πŸ˜Ή
 
Kwa akili kama hizi za hawa wapumbavu kweli nchii ina safari ndefu kwenye ukombozi wake aisee
 
😹😹😹 Halafu mnasingizia stress babu na wajukuu zako..!!

Na ile kuwahi kufika uwa inakuaje? Kuna mjukuu wako huku alichomeka tu akatoa chap kakojoa halafu anasema β€œTatizo una kibuyu km cha mtoto” 🀣🀣😹😹
Hebu elezea hapa babu, ujue simuelewi kabisaaa.!!
 
mziki ulikua mkuuubwa sasa nisijue kama wimbo hua unakata,si nkajiachia kujamba aseeee
😹😹😹 Babe wangu alinijambia nikamwambia ushaanza kunizoea?? Yani sipendi hiyo tabia na nna pua zinakamata harufu mbaya haraka sana..!!
 
unalosema ni kweli,,ila babuuuu kuna ile ya nguvu yaani unaelewa naposema nguvuu,wapangaji hawakuepo barazani tu kwakweli πŸ™ŒπŸΎ
Wee huko nyuma fyuzi zilikatika Kwani?? 😹😹
 
😹😹😹 Babe wangu alinijambia nikamwambia ushaanza kunizoea?? Yani sipendi hiyo tabia na nna pua zinakamata harufu mbaya haraka sana..!!
Hahahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ila wanasema wapenzi lazima tujambiane tena ndani ya shuka moja
 
Tumekutuma shuleni ukasome, sio kununua kisimu na kuanza kuuliza maswali ya kipuuzi
 
Dr unatumia long way… muombe muende piemuni mbona yanazungumzika..!! 😹😹

Jirani Leejay49 msikize Dr mpk katumia capital letter ujue kuna kitu kinamchanganya juu yakoβ€¦πŸ€£πŸ˜Ή
Ila TU asije nipiga na kitu kizito πŸ˜…πŸ€£ Nina mke Ila nataka nimpandishe cheo... Sasa leejay49 atanikubali πŸ₯Ί
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…