Ishawahi kukutokea umepata aibu wakati wa mechi?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Guys me and ke je ni aibu gani ishawai kukuta wakati wa mechi ukavunga tu ila uliona aibu yaani kifupi ni tukio lilokupa aibu je ni lipi?

Mimi nilikuwa sijui matumiz ya shanga manzi ndio ikanielekeza niliona jau ila kutokana na asili yetu shanga kwa wanawake hawavai
 
Tusaidie na Sisi wengine huo uzoefu WA matumizi ya shanga ili na sisi yasitukute
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Niliichapa vibaya mno mpaka mtoto akaanza kulalamika ya kwamba nimemuumiza!, mpaka nafsi yangu ikaanza kuniambia "Babu haya ni mapenzi sio kilimo!".
Nilijisikia vibaya sana nikajiona mimi mshamba nisiejua mahaba!, kuanzia siku hiyo nikaanza kuichapa kisomi bila kutumia nguvu, kistaarabu na kitaalamu...
 
Now mbobezi
 
Back
Top Bottom