Ishawahi kukutokea umepata aibu wakati wa mechi?

Ishawahi kukutokea umepata aibu wakati wa mechi?

Guys me and ke je ni aibu gani ishawai kukuta wakati wa mechi ukavunga tu ila uliona aibu yaani kifupi ni tukio lilokupa aibu je ni lipi?

Mimi nilikuwa sijui matumiz ya shanga manzi ndio ikanielekeza niliona jau ila kutokana na asili yetu shanga kwa wanawake hawavai
We si mmakonde, sasa wamakonde wepi hao hawavai shanga wakati huko ndio chimbuko la michachandu na mikachumbali… 😹😹😹🤣
 
Back
Top Bottom