Ishi na mwanamke kwa akili

Ukishamwamini mwanamke ujue keshebeba maisha yako mkononi, uwe macho asifinyange maisha yako kwenye mkono wake. Cheza na haya maneno, "Asante, salamu na samahani". Ujue namna ya kucheza na akili yake.
"asifinyange maisha yako kwenye mkono wake."

[emoji115][emoji115][emoji115]

Anaanzaje sasa kufinyanga maisha yangu mkononi mwake? Ahsante, salamu na samahani ina apply kote kote hata kwa mwanaume kutoka kwa mwanamke pia.

Hata mwanaume ana maisha ya mke wake mkononi mwake. Akiamua kuyafinyanga ni dk 0 tu. #MutualRespect
 
Naomba niizingatie paragrafu ya mwisho, ingawa nimeshavuka hapo kitambo,ila ndio imebeba muktadha mzima wa mada.
 
Akili za shuleni haziwezi saidia kuishi na wanawake.
Be in a position to differentiate between Intelligence and wisdom.Mwanaume unahitaji kuwa na hekima( wisdom) itakayokuwezesha kuishi na mwanamke vizuri.Elimu ya shuleni pekee haitoshi.
Una degree na yeye anadegree, una kazi na yeye anakazi Mungu akuongeze akili gani hapo sasa
 
Kuna wanawake wako very smart,,,wana-jithamini,,,wanajua-kujilinda,,nawa-appreciate sana hawa wanawake ,,trust me mwanaume mwenzangu ukipata aina hii ya zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu,,,hutaendelea kuwaweka wanawake wote kundi moja.
 
Kukufinyanga ni pale atakapojua anakuweza, yaani huna cha kusema juu yake
 
Kuna wanawake wako very smart,,,wana-jithamini,,,wanajua-kujilinda,,nawa-appreciate sana hawa wanawake ,,trust me mwanaume mwenzangu ukipata aina hii ya zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu,,,hutaendelea kuwaweka wanawake wote kundi moja.
Unamaanisha kuwa ukijitambua, ukiwa smart, ukijua kujilinda, usipokuwa na shobo na ukijipenda, kuwa ni zawadi?
 
Mwanamke lazima uishi nae kitaita akicheat mmemalizana
 
Ukienda bar utakuta wanaume ni wengi kuliko wanawake hapo aliyekaribu na shetani zaidi ni nani??
Bro hiyo aimaanishi Yuko karibu na shetani wengi wao wanashinda kanisani kutafuta miujiza tu labda ya kupata mtoto , mchumba na n.k na pia ukiangalia watu wengi wanakumbaka na Majin pamojaa na mambo mengine mengi ni wanawake xo shetani utumia Zaid wanawake kuangusha wanaume coz roho ni nyepesi kiasili kuliko mwanaume.... Shetani ni rahisi kuingia kwenye nafsi ya wanamke kuliko mwanaume
 
Mungu amesema msiache kukusanyika, walipo wawili au watatu na yeye yuko katikati yao. kwa hiyo kiuhalisia unapoenda kanisani unakuwa uko karibu na Mungu na ni rahisi kutengeneza mambo yako yaani kumrudia Mungu, lakin sio rahisi kumrudia Mungu ukiwa gest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…