Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
1. Hio 800millions kwa PRINCE DUBE amepanga nani ? DUBE au AZAM ?Yanga naona wanashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze
Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote
Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma
Mbona hii ishu nyepesi sana?? Mlipieni huyo Dube hela, milion 800 mumchukue...
Wewe na wewe ni walewale, Yanga walisema anayemhitaji Feisal aende wakazungumze wakubaliane. Ajabu hakuna aliyejitokeza. Ulitaka Yanga wafanye nini?View attachment 2925784
Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze
Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote
Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma
Mbona hii ishu nyepesi sana?? Mlipieni huyo Dube hela, milion 800 mumchukue...
Usiwe na papara. Fikiria Kwanza KABLA ya kubwabwajaView attachment 2925784
Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze
Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote
Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma
Mbona hii ishu nyepesi sana?? Mlipieni huyo Dube hela, milion 800 mumchukue...
Ikiwa hana furaha si arudi kwao akapate furaha, wanaharakati tunaangaika na maisha ya watanzania kupambania vitita vipya vya NHIFView attachment 2925784
Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze
Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote
Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma
Mbona hii ishu nyepesi sana?? Mlipieni huyo Dube hela, milion 800 mumchukue...
Kwani mchezaji akiamua kuvunja mkataba ni kati yake na timu yake au ni ni kati ya timu nyingine ambayo hata haikuwepo wakati wanaingia huo mkatabaWewe na wewe ni walewale, Yanga walisema anayemhitaji Feisal aende wakazungumze wakubaliane. Ajabu hakuna aliyejitokeza. Ulitaka Yanga wafanye nini?
mshaanza miwasho,ngonjera,kutia huruma...injinia kamatia hapo mpaka makolouzdad wanye mavi ya njano na kijani,HIYO NDO HASARA YA KUSHADADIA YASIYOWAHUSU,MKIFUNDISHWA VITU MUELEWE MSILETEGE UJUAJI mwishowe mnaanza kutia tia huruma humuView attachment 2925784
Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze
Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote
Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma
Mbona hii ishu nyepesi sana?? Mlipieni huyo Dube hela, milion 800 mumchukue...
Kama kuvunja mkataba mbona alishindwa? Na bado akaambiwa aende FIFA Akashindwa. Sawa ni ishu ya mchezaji na timu pale wanapokubaliana.Kwani mchezaji akiamua kuvunja mkataba ni kati yake na timu yake au ni ni kati ya timu nyingine ambayo hata haikuwepo wakati wanaingia huo mkataba
"Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma"View attachment 2925784
Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze
Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote
Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma
Mbona hii ishu nyepesi sana?? Mlipieni huyo Dube hela, milion 800 mumchukue...
Hakuna mkataba unavunjwa kama njiti ya kiberiti.Wenye akili ni wawili, ishu ya Feisal iliendeshwa na mawakili uchwara wa tff na Feisal alifara taratibu zote za kuvunja mkataba Ila Feisal alikosea akachukua wakili wa hapa ingekuwa mchezaji wa kigeni lile swala lisingeingiliwa na rais Bali lingemalizwa na vyombo vya michezo vya kimataifa.
Azam wamemwambia Dube aweke pesa ya kuvunja mkataba.
Hivi washabiki wa Simba huwa mnawaza kutumia nini? Wewe kabisa unaona tofauti kati ya ishu ya Fei na hii ya Dube?Kwani mchezaji akiamua kuvunja mkataba ni kati yake na timu yake au ni ni kati ya timu nyingine ambayo hata haikuwepo wakati wanaingia huo mkataba
Hiyo 800M walipanga pande zote mbili Azam FC na Dube kupitia mkataba, na Azam hawajaongeza lolote nje ya mkataba. Ile 2.1B ya Yanga haikuwa katika mkataba wa Yanga na Feisal, ilitamkwa tu nje ya maandishi ili kumzuia. Kwa Yanga na Feisal mkataba ulikuwa ni sh. 112M, yaani hela ya usajili 100M na mishahara ya miezi mitatu 12M. Hizo zote 112M kijana alikuwa ameshadeposit kwenye akaunti ya Yanga, lakini Yanga wakakataa na kuzirudisha kwenye akaunti ya Feisal1. Hio 800millions kwa PRINCE DUBE amepanga nani ? DUBE au AZAM ?
Maana hata YANGA walitaka B2.1 kwa FEI kama ambavyo AZAM wanataka M800 kwa DUBE.
Kuvunja mkataba ingekuwa rahisi wachezaji wa Ulaya wangekuwa wana vunja mikataba kila kukicha, mfano mbappe yeye kwanini haja weka pesa kwenye Account ya Psg ili kuvunja mkataba"Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma"
Umeona wapi mkataba unavunjwa na upande mmoja.......? Hamna mchezaji anakurupuka tu anaweka hela kwenye acc ya club inayo mmiliki kesho anasema anaondoka hamna kitu kama hiko.
Halafu approach ya Dube na ya Fei tofauti, Fei approach yake ilikuwa ya kihuni na mpira wetu umebariki huu uhuni.
Yanga hawa kugoma kumuachia Fei,bali walikuwa wanataka taratibu zifuatwe kwenye kumsainisha Fei. Yanga tulilalamika huu uhuni mkatuona wajinga,leo Azam kesho mjiandae 5imba ni swala la muda.