Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
1. Hio 800millions kwa PRINCE DUBE amepanga nani ? DUBE au AZAM ?
Maana hata YANGA walitaka B2.1 kwa FEI kama ambavyo AZAM wanataka M800 kwa DUBE.
2. Mkataba wa DUBE upo wapi, tuuone kwanza? na Mkataba wa FEI tuuone pia ili tulinganishe ?
3. Huenda klabu zote ziko sahihi , wenge lipo kwa wachezaji au wachezaji wapo sahihi wenge lipo kwa klabu . Hata pia huenda ikawa ni nadharia mbili tofauti.
ZINGATIA: MIKATABA TUIONE [emoji736]
Wa Feitoto uliwekwa hadharani. Yanga mlikuwa mnatakaa kukubali eti waht if wachezaji wote wakaamua kuvunja mkataba.