Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
1. Hio 800millions kwa PRINCE DUBE amepanga nani ? DUBE au AZAM ?
Maana hata YANGA walitaka B2.1 kwa FEI kama ambavyo AZAM wanataka M800 kwa DUBE.
2. Mkataba wa DUBE upo wapi, tuuone kwanza? na Mkataba wa FEI tuuone pia ili tulinganishe ?
3. Huenda klabu zote ziko sahihi , wenge lipo kwa wachezaji au wachezaji wapo sahihi wenge lipo kwa klabu . Hata pia huenda ikawa ni nadharia mbili tofauti.
ZINGATIA: MIKATABA TUIONE [emoji736]
Kichwa Cha mwendawazimumshaanza miwasho,ngonjera,kutia huruma...injinia kamatia hapo mpaka makolouzdad wanye mavi ya njano na kijani,HIYO NDO HASARA YA KUSHADADIA YASIYOWAHUSU,MKIFUNDISHWA VITU MUELEWE MSILETEGE UJUAJI mwishowe mnaanza kutia tia huruma humu
Azam hawataki mtu aje, wanataka mzigo kwenye akaunti kwa mujibu wa mkataba, nyie yanga mlikuwa mnalazimisha watu waje wakati takwa la mkataba fei alishalitimizaWewe na wewe ni walewale, Yanga walisema anayemhitaji Feisal aende wakazungumze wakubaliane. Ajabu hakuna aliyejitokeza. Ulitaka Yanga wafanye nini?
Nikiwaambia loopholes kwenye mkataba kati ya Yanga na Fei hawaelewi, hope hata watakuelewa.Azam hawataki mtu aje, wanataka mzigo kwenye akaunti kwa mujibu wa mkataba, nyie yanga mlikuwa mnalazimisha watu waje wakati takwa la mkataba fei alishalitimiza
Hakushindwa Yanga ndio walikuwa hawataki kumuachia hadi Rais akawaamrishaKama kuvunja mkataba mbona alishindwa? Na bado akaambiwa aende FIFA Akashindwa. Sawa ni ishu ya mchezaji na timu pale wanapokubaliana.
Kuvunja mkataba inahitaji tu kutimiza vigezo vya kuvunja huo mkataba wala sio mbambamba za kukaa mezani"Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma"
Umeona wapi mkataba unavunjwa na upande mmoja.......? Hamna mchezaji anakurupuka tu anaweka hela kwenye acc ya club inayo mmiliki kesho anasema anaondoka hamna kitu kama hiko.
Halafu approach ya Dube na ya Fei tofauti, Fei approach yake ilikuwa ya kihuni na mpira wetu umebariki huu uhuni.
Yanga hawa kugoma kumuachia Fei,bali walikuwa wanataka taratibu zifuatwe kwenye kumsainisha Fei. Yanga tulilalamika huu uhuni mkatuona wajinga,leo Azam kesho mjiandae 5imba ni swala la muda.
Kuvunja mkataba hakuna muda maalum, ndiyo maana kukaitwa kuvunja mkatabaNa inakuwaje mchezaji aombe kuvunja mkataba katikati ya msimu, tena wiki moja kabla ya Azam kucheza na Yanga?.
Kwa nini asisubiri ligi imalizike ndio aombe kusepa?
Hapa kuna mchezo unafanyika ili Dube asicheze game na Yanga na msimu ujao aende utopoloni.
Unasemaje hakushindwa wakati alishindwa kesi mara mbili TFF. Kama alitaka kuondoka angeenda kukaa meza moja na Yanga akalipa. Yanga walimuita hataki, wakaita timu zinazimhitaji zikajificha, kwa hiyo ulitaka wafanyeje.Hakushindwa Yanga ndio walikuwa hawataki kumuachia hadi Rais akawaamrisha
Mikataba ya Ulaya inaandikwa kumbana mchezaji kiasi kuwa kuuuvunja sio rahisi....Mfano Mbape ameitumikia PSG hadi mkataba wake ukaisha, sababu kwenye kuivunja ingekuwa gharama kubwa sanaKuvunja mkataba ingekuwa rahisi wachezaji wa Ulaya wangekuwa wana vunja mikataba kila kukicha, mfano mbappe yeye kwanini haja weka pesa kwenye Account ya Psg ili kuvunja mkataba
Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
5-0 utopolo bado mnaweweseka mume wenu mnyama aliwakanda"Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma"
Umeona wapi mkataba unavunjwa na upande mmoja.......? Hamna mchezaji anakurupuka tu anaweka hela kwenye acc ya club inayo mmiliki kesho anasema anaondoka hamna kitu kama hiko.
Halafu approach ya Dube na ya Fei tofauti, Fei approach yake ilikuwa ya kihuni na mpira wetu umebariki huu uhuni.
Yanga hawa kugoma kumuachia Fei,bali walikuwa wanataka taratibu zifuatwe kwenye kumsainisha Fei. Yanga tulilalamika huu uhuni mkatuona wajinga,leo Azam kesho mjiandae 5imba ni swala la muda.
Ukishalipa kama mkataba unavyotaka haina haja ya kukaa mezani tena mzee, ni kama Azama wamemuambia Dube lipa, uondoke hatuhitaji blah blah za mezaniUnasemaje hakushindwa wakati alishindwa kesi mara mbili TFF. Kama alitaka kuondoka angeenda kukaa meza moja na Yanga akalipa. Yanga walimuita hataki, wakaita timu zinazimhitaji zikajificha, kwa hiyo ulitaka wafanyeje.
Utopolo ni mburukenge hamna mwenye akiliNimegundua kuna wajinga wengi sana, mtu anakwambia huu ndio wakati wa Yanga kulipa kisasi kwa Azam, huku hata hajui hicho kisasi kama kuna terms za kwenye mkataba kati ya Azam na Dube kinachowaruhusu wao vyura kulipa hicho kisasi, wanaegemea tu mchezaji hana furaha.!!
Mjiulize kwanza, mapengo yaliyokuwepo kwenye mkataba kati ya Fei na Yanga, yapo kwenye mkataba kati ya Dube na Azam? Sio mnakurupuka tu kama midoli.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sasa kama alikuwa ametimiza mbona TFF alichemka mara tatu.Kuvunja mkataba inahitaji tu kutimiza vigezo vya kuvunja huo mkataba wala sio mbambamba za kukaa mezani
Nyie si juzi mmetimua mpaka kocha baada ya kula tono na kuwas imamisha wachezaji. Na mda huu Moro uwanja wa Jamuhuri mshainamishwa viwili....... na bado mwanaume anakupelekea moto.5-0 utopolo bado mnaweweseka mume wenu mnyama aliwakanda
MIKATABA TUIONE,!?Hiyo 800M walipanga pande zote mbili Azam FC na Dube kupitia mkataba, na Azam hawajaongeza lolote nje ya mkataba. Ile 2.1B ya Yanga haikuwa katika mkataba wa Yanga na Feisal, ilitamkwa tu nje ya maandishi ili kumzuia. Kwa Yanga na Feisal mkataba ulikuwa ni sh. 112M, yaani hela ya usajili 100M na mishahara ya miezi mitatu 12M. Hizo zote 112M kijana alikuwa ameshadeposit kwenye akaunti ya Yanga, lakini Yanga wakakataa na kuzirudisha kwenye akaunti ya Feisal
Yanga nani ?Wa Feitoto uliwekwa hadharani. Yanga mlikuwa mnatakaa kukubali eti waht if wachezaji wote wakaamua kuvunja mkataba.
Wewe kama nani hadi uione? Waliokubaliana ni Azam FC na Dube, wala ulikuwa humjui. Halafu leo eti unataka uuone mkataba! dube mwenyewe hana tatizo na Azam ndio maana kila wanachomtaka anakifanya maana anajua Azam wanastahiliMIKATABA TUIONE,!?
Vinginevyo sina cha kuhukumu.
Issue sio mikataba. Issue ushambiwa mchezaji ameamua kuachana na klabu. Hesabu zinapigwa kitita cha kuvunja kinatolewa mambo yanaisha. Hii ipo dunia nziima. Sasa unataka kusema nini tena. Huna haja ya mkataba. Mkataba wwte lazma ustate iwapo utavunjwa lazma hela flani ilipwe.1. Hio 800millions kwa PRINCE DUBE amepanga nani ? DUBE au AZAM ?
Maana hata YANGA walitaka B2.1 kwa FEI kama ambavyo AZAM wanataka M800 kwa DUBE.
2. Mkataba wa DUBE upo wapi, tuuone kwanza? na Mkataba wa FEI tuuone pia ili tulinganishe ?
3. Huenda klabu zote ziko sahihi , wenge lipo kwa wachezaji au wachezaji wapo sahihi wenge lipo kwa klabu . Hata pia huenda ikawa ni nadharia mbili tofauti.
ZINGATIA: MIKATABA TUIONE [emoji736]