Ishu za mahusiano me nimeachana nazo rasmi, ntasubiri muda ufike nioe

The choosen one1

Senior Member
Joined
Dec 13, 2023
Posts
104
Reaction score
436
Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu

Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena.

Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni ubatili mtupu"

Acha niendelee kukuza uchumi wangu, focus na mishe zangu mahusiano ya uzinzi hapana.

Niendeleze series yangu ya snowfall kama zamani, peaceful life.

Asanteni kwa miongozo mbalimbali mliyonipa kwenye nyuzi zangu za nyuma.

#D9 TUNATOKA
 
Mnachekesha


Cc: Harmful
 
Achana na mambo ya kufukuzia wanawake, focus na mambo yako tu ikitokea kajaa kwenye mfumo mkojolee na sepa zako, Yani mapenzi iwe kama vile unaokota kopo tu na unalipiga teka baada ya dakika. Usipoteze muda kutongoza mwanamke karne hii, akijileta muulize unataka nini na kwa muda gani? Akisema nataka mahusiano muambie ya aina gani? Kimapenzi mwambie twende tukafanye akisema nataka ndoa mwambie lini? Akianza sibiri tujuane basi usitumie gharama hata mia yako mpaka siku akikukaribisha kwao nenda kalipe mahari oa, kinyume chake mahitaji yake mwachie mzazi wake na kama atakusumbua basi iwe nipe nikupe.
 
Huuu ni ukweli
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…