Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
FOCUS 😎
🤣🤣🤣🤣 Word Vincenzo Jr Certified Hater Chuma hiki hapaAchana na mambo ya kufukuzia wanawake, focus na mambo yako tu ikitokea kajaa kwenye mfumo mkojolee na sepa zako, Yani mapenzi iwe kama vile unaokota kopo tu na unalipiga teka baada ya dakika. Usipoteze muda kutongoza mwanamke karne hii, akijileta muulize unataka nini na kwa muda gani? Akisema nataka mahusiano muambie ya aina gani? Kimapenzi mwambie twende tukafanye akisema nataka ndoa mwambie lini? Akianza sibiri tujuane basi usitumie gharama hata mia yako mpaka siku akikukaribisha kwao nenda kalipe mahari oa, kinyume chake mahitaji yake mwachie mzazi wake na kama atakusumbua basi iwe nipe nikupe.
Mwana kasema ukweli aisee 😀 😀
Ameongea kila kitu Jamani ambacho nikutana nae naona nimekoma 🤣🤣🤣🤣.Mwana kasema ukweli aisee 😀 😀
Hesabu kali za Mjerumani hizi..Achana na mambo ya kufukuzia wanawake, focus na mambo yako tu ikitokea kajaa kwenye mfumo mkojolee na sepa zako, Yani mapenzi iwe kama vile unaokota kopo tu na unalipiga teka baada ya dakika. Usipoteze muda kutongoza mwanamke karne hii, akijileta muulize unataka nini na kwa muda gani? Akisema nataka mahusiano muambie ya aina gani? Kimapenzi mwambie twende tukafanye akisema nataka ndoa mwambie lini? Akianza sibiri tujuane basi usitumie gharama hata mia yako mpaka siku akikukaribisha kwao nenda kalipe mahari oa, kinyume chake mahitaji yake mwachie mzazi wake na kama atakusumbua basi iwe nipe nikupe.
Ukisusa wenzio wanabutua hiyo kazi usiku kucha broo, wacha hizonimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena.
Hao ndio wayunani achana nao. Watakuumiza kichwa
Kila Mwanaume unayemuona hapa duniani akiwa maskini sio kwamba hakupata fursa ya kupata chochote kitu.Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni ubatili mtupu"
Acha niendelee kukuza uchumi wangu, focus na mishe zangu mahusiano ya uzinzi hapana