Ishu za mahusiano me nimeachana nazo rasmi, ntasubiri muda ufike nioe

🀣🀣🀣🀣 Word Vincenzo Jr Certified Hater Chuma hiki hapa
 
Hesabu kali za Mjerumani hizi..
 
Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni ubatili mtupu"

Acha niendelee kukuza uchumi wangu, focus na mishe zangu mahusiano ya uzinzi hapana
Kila Mwanaume unayemuona hapa duniani akiwa maskini sio kwamba hakupata fursa ya kupata chochote kitu.

Ni kwa sababu aliweka vipaumbelr vyake kwenye starehe ya ngono, pombe na kula bata.

Ukikutana na mzee maskini hupaswi hata kumwonea huruma.

Hizi starehe mbili zimewarudisha watu 99% nyuma kimaendeleo


Pale tu utakapogundua kuwa kipaumbele chako sio pombe na wanawake basi utaanza kuona uchumi wako ukipiga hatua moja baada ya mwingine na mwaka hadi mwaka. Baada ya hapo utapata wanawake wengi mpaka mwenyewe ukimbie, wengine watajileta kwako uwabutue ila utakuwa una ringa na kuwapuuza, watakwamnia Fulani unaringa sana yaani nakupa kitu ambacho wanaume wengine wanakililia wewe unapiga chenga? Utapigiwa simu usiku na mchana, msg kama zote, video clips za kila aina.

Vijana tuwekeze kwenye personal development ,ongeza maarifa na ujuzi, kazi na kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…