Wewe ndio hujui kitu sababu vifo haviwahusu nyie wanamsumbijiHaya mauaji yamefanyika Tanzania au Msumbiji?
Maana naona tuna changia kitu tusichokijua.
Wewe ndio hujui kitu sababu vifo haviwahusu nyie wanamsumbiji
Hata na Mimi simuelewi huyu mwenzetu anachokisema, labda kwasababu Leo ni jumapili inawezekana Konyagi ipo kichwa ni.Labda twende taratibu kijana wangu. umeielewa article kweli?
The killings took place at Quionga, a farming and fishing village in the Coastal Palma prefecture of Mozambique along River Ruvuma and just 13 kilometers to Tanzaniaโs frontier, on Wednesday 26th June 2019. The militants burnt down houses and looted shops. Intelligence reports warn that there is a major cell across the Ruvuma River and that the attackers were planning to cross the channel and join them, an indicator the group wants to deploy cells beyond the Cabo Delgado prefecture. If the cells successfully join the Tanzanian based cells, the threat in the region will multiply.
Kwhyo wale jamaa wa kibiti kumbe walikuwa ISIS[emoji1787][emoji1787]Tell them to come, we are waiting for them. Remember those who are killing people in Mozambique they started in Kibiti- Tanzania, what they get was what caused them to shift to Mozambique.
Muhimu ni kwamba tuliwashinda terribly, vipi ninyi mshindwe kuwadhibiti Alshabab kwa miaka 8 sasa?.Kwhyo wale jamaa wa kibiti kimbe walikuwa ISIS[emoji1787][emoji1787]
Kibiti wale si wahuni tu...wanajua hta rpg ni nn kwel[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muhimu ni kwamba tuliwashinda terribly, vipi ninyi mshindwe kuwadhibiti Alshabab kwa miaka 8 sasa?.
Kwhyo misifa yenu ya kijinga..santa sana..ile siku kutapigwa rpg dar za maana dar...mtahama mkoa nakwambia...mambo ni yale ya soja sojaMuhimu ni kwamba tuliwashinda terribly, vipi ninyi mshindwe kuwadhibiti Alshabab kwa miaka 8 sasa?.
๐ฒ but the nefarious acts of slaughtering innocent little angels help huh?Dont think prayers help that much
Hahahahaha, ninyi jeshi lenu ni kundi la walevi "Kenya drunken Force". (KDF)Kibiti wale si wahuni tu...wanajua hta rpg ni nn kwel[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama watu wa Tz wakija kwenu na kuuawa hatutaweza ila wasikanyage Tz .ISIS Terrorists in Mozambique Behead and Kill 11 Tanzanian Civilians
The Islamic States terrorists organizationโs branch in Mozambique, (an offshoot of Islamic States in Central Africa, ISCAP), conducted a border attack targeting unarmed Tanzanian civilians at Quionga village beheading and killing 11, S.I intelligence...intelligencebriefs.com
Majirani hii vita mtaezana nayo and you have been laughing at us?
Huwezi linganisha vyombo vya ulinzi vya Tanzania na nchi nyingine yoyote ile hapa Africa, watanzania watauliwa wakiwa nje ya Tanzania, sio ndani ya nchi yetu, magaidi wanatujua vizuri sana, ndio sababu hawawezi kutujaribuKwhyo misifa yenu ya kijinga..santa sana..ile siku kutapigwa rpg dar za maana dar...mtahama mkoa nakwambia...mambo ni yale ya soja soja
Kwa hiyo wamarekani walisema watanzania popote pale duniani wapo katika hatari ya kushambuliwa?. Tulipaswa tuwapeleke askari WETU shupavu kwenda kuwalinda watanzania popote pale walipo duniani?Walionywa na wamarekani wakadhani mzaha.....
Kumbe WAKATI WA MUNGU huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu, kila kitu huwa rahisi hata vilivyoshindikana.๐ต๐ต๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐๐๐๐๐๐Kwa hiyo wamarekani walisema watanzania popote pale duniani wapo katika hatari ya kushambuliwa?. Tulipaswa tuwapeleke askari WETU shupavu kwenda kuwalinda watanzania popote pale walipo duniani?
Pata mzinga mmoja wa Konyagi utulize akili, naona umeanza kuchanganya mafailiKumbe WAKATI WA MUNGU huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu, kila kitu huwa rahisi hata vilivyoshindikana.[emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hata na Mimi simuelewi huyu mwenzetu anachokisema, labda kwasababu Leo ni jumapili inawezekana Konyagi ipo kichwa ni.
Kama Kenya wana kiingereza kibovu sijui cha Tanzania kitaitwaje. Wale wananchi wameuliwa pale mtwara na magaidi ?Au kuna mtwara ya Mozambique na tzedi?Shida kuanzia muandishi wa article mpaka kwa wasomaji. Muandishi kaandika
ISIS Terrorists in Mozambique Behead and Kill 11 Tanzanian Civilians
it should be
ISIS Terrorists Behead 11 Tanzanians in Mozambique.
aliyeandika article hii, lazima atakuwa ni mkenya. Maana ndiyo wenye kiingereza kibovu.