ISIS Terrorists Behead and Kill 11 Tanzanians.

ISIS Terrorists Behead and Kill 11 Tanzanians.

Wewe ndio hujui kitu sababu vifo haviwahusu nyie wanamsumbiji

Labda twende taratibu kijana wangu. umeielewa article kweli?

The killings took place at Quionga, a farming and fishing village in the Coastal Palma prefecture of Mozambique along River Ruvuma and just 13 kilometers to Tanzania’s frontier, on Wednesday 26th June 2019. The militants burnt down houses and looted shops. Intelligence reports warn that there is a major cell across the Ruvuma River and that the attackers were planning to cross the channel and join them, an indicator the group wants to deploy cells beyond the Cabo Delgado prefecture. If the cells successfully join the Tanzanian based cells, the threat in the region will multiply.
 
Hata na Mimi simuelewi huyu mwenzetu anachokisema, labda kwasababu Leo ni jumapili inawezekana Konyagi ipo kichwa ni.
 
Hata kama ni msumbiji, huoni ni watz wameuliwa? Ama u cant read in between the lines?
 
Tell them to come, we are waiting for them. Remember those who are killing people in Mozambique they started in Kibiti- Tanzania, what they get was what caused them to shift to Mozambique.
Kwhyo wale jamaa wa kibiti kumbe walikuwa ISIS[emoji1787][emoji1787]
 
Muhimu ni kwamba tuliwashinda terribly, vipi ninyi mshindwe kuwadhibiti Alshabab kwa miaka 8 sasa?.
Kwhyo misifa yenu ya kijinga..santa sana..ile siku kutapigwa rpg dar za maana dar...mtahama mkoa nakwambia...mambo ni yale ya soja soja
 
Majirani hii vita mtaezana nayo and you have been laughing at us?
Kama watu wa Tz wakija kwenu na kuuawa hatutaweza ila wasikanyage Tz .
 
Kwhyo misifa yenu ya kijinga..santa sana..ile siku kutapigwa rpg dar za maana dar...mtahama mkoa nakwambia...mambo ni yale ya soja soja
Huwezi linganisha vyombo vya ulinzi vya Tanzania na nchi nyingine yoyote ile hapa Africa, watanzania watauliwa wakiwa nje ya Tanzania, sio ndani ya nchi yetu, magaidi wanatujua vizuri sana, ndio sababu hawawezi kutujaribu
 
Kwa hiyo wamarekani walisema watanzania popote pale duniani wapo katika hatari ya kushambuliwa?. Tulipaswa tuwapeleke askari WETU shupavu kwenda kuwalinda watanzania popote pale walipo duniani?
Kumbe WAKATI WA MUNGU huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu, kila kitu huwa rahisi hata vilivyoshindikana.🎵🎵🎶🎶🎶🎶🎶😍😍😍😍😍😍
 
Kumbe WAKATI WA MUNGU huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu, kila kitu huwa rahisi hata vilivyoshindikana.[emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Pata mzinga mmoja wa Konyagi utulize akili, naona umeanza kuchanganya mafaili
 
Hata na Mimi simuelewi huyu mwenzetu anachokisema, labda kwasababu Leo ni jumapili inawezekana Konyagi ipo kichwa ni.

Shida kuanzia muandishi wa article mpaka kwa wasomaji. Muandishi kaandika

ISIS Terrorists in Mozambique Behead and Kill 11 Tanzanian Civilians

it should be

ISIS Terrorists Behead 11 Tanzanians in Mozambique.

aliyeandika article hii, lazima atakuwa ni mkenya. Maana ndiyo wenye kiingereza kibovu.
 
Kama kitu haukijui bora usicomment...nashangaa kenya wanasema isis imeua ndani ya TANZANIA wakati wenzetu watanzania wameuwawa nje ya tanzania,yaan msumbiji...sio kila kitu ushabiki.
 
Shida kuanzia muandishi wa article mpaka kwa wasomaji. Muandishi kaandika
ISIS Terrorists in Mozambique Behead and Kill 11 Tanzanian Civilians
it should be
ISIS Terrorists Behead 11 Tanzanians in Mozambique.
aliyeandika article hii, lazima atakuwa ni mkenya. Maana ndiyo wenye kiingereza kibovu.
Kama Kenya wana kiingereza kibovu sijui cha Tanzania kitaitwaje. Wale wananchi wameuliwa pale mtwara na magaidi ?Au kuna mtwara ya Mozambique na tzedi?
 
Back
Top Bottom