keep on dreaming my friend. the level of intelligence in Tanzania is way too high my friend. just wait and see.
HIVIII!!! pale kibiti hamkufanikiwa kuwaua/kamata hata mmoja?Msijisahaulishe kwamba hawa jamaa walianzia Kibiti hapa Tanzania, tulipowashinda ndio wamekimbilia Msumbiji, hata hiki kitendo cha kuwauwa watanzania ndani ya Msumbiji ni kama kulipiza kisasa kwa kipigo walichopata wakiwa Kibiti. Kiusalama vyombo vyetu vipo vizuri sana, lazima mkubaliane na huo ukweli.
why waste my time proving to you our intelligence? just stay with your ignorance. unless otherwise you want to learn more. as you can see those attacks happened in mozambique. we dont have juridiction there. but now we are working on solving the problem. if those attacks are to haooen in the mainland we have a way of dealing with those bastards. they have tried several times in vain. so just chillax.Prove to me that your intelligence is high because I don't deal with empty words.
si ulisikia kibiti walivyotulizwa. kwanini washenzi uwakamate? washenzi ni kuwakata moto tuu. na huku sio kama kenya mnatangaza. huku huwa wanatulizwa kimya kimya.HIVIII!!! pale kibiti hamkufanikiwa kuwaua/kamata hata mmoja?
why waste my time proving to you our intelligence? just stay with your ignorance. unless otherwise you want to learn more. as you can see those attacks happened in mozambique. we dont have juridiction there. but now we are working on solving the problem. if those attacks are to haooen in the mainland we have a way of dealing with those bastards. they have tried several times in vain. so just chillax.
mnatuliza kimyakimyaaa!! afu wanaibuka upyaaa wanakula vichwa 11😡😎😎si ulisikia kibiti walivyotulizwa. kwanini washenzi uwakamate? washenzi ni kuwakata moto tuu. na huku sio kama kenya mnatangaza. huku huwa wanatulizwa kimya kimya.
Those are your words boss, sisi tunaomba msiipate hio laanaNaona Leo wakenya nao mmefurahi kusikia watz wameuliwa sisi tukifurahi mnatuita magaidi ngoja al- shababi wawa wawa jambishe tena huko Kenya tuone polisi wenu wanavyo zikimbia siraha zao kuokoa maisha yao hadi magwanda wanayavua wanakimbia na boksa ili wasitambulike
tufanye umeshinda. tanzania maboya tuu. hakuna usalama.Can I bring the list of countries with best security in Africa unionyeshe Tz hata kama iko top 10?
wamekula vichwa 11 tanzania au huko wapi sijui.?mnatuliza kimyakimyaaa!! afu wanaibuka upyaaa wanakula vichwa 11😡😎😎
Usijipige kifua sana boss, if it occured that terrorists were to target dar, im not sure you will be very successful as you complain, kumbuka hao mazombie wamekuja kufa as well
kumekuchaNakuhakikishia TZ hamna kitu, mapolisi yamekalia kuimba nyimbo za CCM, Ngoja waje ili tutest mitambo maana the only intelligency in relation to peace and security our police get is when CHADEMA is about to have a gathering
Kitendo cha Tanzania kubaki kuwa na amani ya hali ya juu katikati ya msitu WA fujo na ukosefu wa usalama ni dalili tosha kwamba vyombo vyetu ni imara.Prove to me using relevant sources that your security is better in Africa. Tanzania will forever remain good and steady in words but when it comes to actual business they are as weak as glass.
Those are your words you lazy witch. I have asked to prove it for me using a credible evidence.Kitendo cha Tanzania kubaki kuwa na amani ya hali ya juu katikati ya msitu WA fujo na ukosefu wa usalama ni dalili tosha kwamba vyombo vyetu ni imara.
Kenya nchi moja tu ya Somalia kati ya nchi zinazowazunguka, ilipoingia katika machafuko, mumeshindwa kuidhibiti hiyo hali, matokeo yake mkajiingia kwa kushindwa kuwa na intelligence nzuri katika vyombo vyenu kujua kwamba kwa kwenda Somalia hali ya amani ingezidi kuchafuka hapo Kenya.
Mara nyingi sana kumejitokeza vitendo vya kigaidi hapa Tanzania, kuanzia katika mapango ya Ambani, Kibiti, Mwanza na kule Arusha, lakini POLISI na JWTZ haraka Sana wameweza kudhibiti hiyo hali kwa ufanisi mkubwa sana, kabla havijawa " out of control".
Mfano mzuri no jinsi walivyodhibiti ujambazi hapa nchini. Kuanzia miaka ya 1998, baadhi ya majambazi toka Kenya walijaribu kuja Tanzania kufanya ujambazi, nadhani kilichowakuta bado tunakumbuka, au watu waliokuwa wanajishughulisha kuwauwa albinos, kilichowakuta tunafahamu vizuri, siku hizi ni historia kuhusu mauaji ya albino.
huna jipya wewe.Those are your words you lazy witch. I have asked to prove it for me using a credible evidence.