ISIS Terrorists Behead and Kill 11 Tanzanians.

ISIS Terrorists Behead and Kill 11 Tanzanians.

kuna video moja nimeifuta kitambo. hawa wendawazimu walishasemaga hawana tatizo na Tanzania. kuna ingine wakasema wataanzia zanzibar. sijui makorokocho gani. ila subirini muone. we know how to break hawa wendawazimu. kumbukeni tanzania hakuna ukabila wala matabaka. watu wanaongea na hakuna siri. yaani watanzania tutashirikiana na tutawafanya mbaya hawa mazombie. hawatoamini
Wakati mwingine umbea ni kitu kizuri sana. Watanzania hawawezi ficha chochote tofauti na Kenya kila mtu ana shughuli zake hataki kujua ni nini kinaendelea kwa jirani. Unaweza tembea na gaidi njiani bila kujua
 
Danganyikans should pray really hard that these zombies do not infiltrate into their country kwa sababu hawatawezana na hao
 
Wakati mwingine umbea ni kitu kizuri sana. Watanzania hawawezi ficha chochote tofauti na Kenya kila mtu ana shughuli zake hataki kujua ni nini kinaendelea kwa jirani. Unaweza tembea na gaidi njiani bila kujua

Hehehe!!! Hivyo unashauri tuige umbea wa Watanzania, duh bora tulipuliwe mara mia moja kwa siku lakini katu sitaiga huo umbea, ni laana mbovu sana.

Ninachojua kwa Tanzania, pona yao ni waoga, ndio huwa kinawasaidia, wengi hawana ujasiri wa chochote, wapo wapo tu, kwa mfano kuna kipindi walijipa mzuka nchi yote kwamba watafanya maandamano dhidi ya Jiwe na serikali, yaani huku kwenye mitandao kuliwaka moto jinsi walikua wakipaishana, maandamano yalikua yaongozwe na dada fulani, siku ilipotimia yaani wote chali....kimyaaa... barabara zote zikabaki tupu, kila mmoja akajifungia ndani.

Uwoga pia husaidia kwenye jamii, kuna msemo wa asili kwa kabila langu kwamba 'iguoya cianukire manyina'...yaani waoga kwa uwoga waliikimbia vita na kurudi kwa mama na wakapona.
 
Wakati mwingine tusidharau maneno ya Wamarekani tena walisema Masaki Jeshi letu likadai Masaki ya Dar es salaam. Kumbe masikini Wamarekani hawajui kama kuna Masaki mbili lie ya kusini mwa Tanzania. Jeshi lingekuwa sikivu tungeokoa maisha ya ndugu zetu
Na kwenyewe huko masaki ya kusini walikuwa wanawindwa wazungu?
 
Wakati mwingine umbea ni kitu kizuri sana. Watanzania hawawezi ficha chochote tofauti na Kenya kila mtu ana shughuli zake hataki kujua ni nini kinaendelea kwa jirani. Unaweza tembea na gaidi njiani bila kujua
Then your intelligence machines are doomed and paralysed and that's why Kenya Drinking Force is real
 
aisee wakenya mnajiona mna akili sana? mnatuona sisi mbumbumbu? ok. tusubiri tuone.
 
Terrorists can't even dare to try, we are very good in dealing with them.
kuna mpuuzi mmoja kati ya wale walilipua ubalozi wa marekani alijificja africa kusini,location huko. kwa miaka kadhaa. mbona alienda nyakuliwa kama kifaranga cha kuku. kiulainii. hao kenge mbona watadakwa kiulaini tuu. mmoja mmoja.
 
Terrorists can't even dare to try, we are very good in dealing with them.
Kwa maneno Tz is number one but on the ground they are zero, remember there is no country in this planet which has ever defeated terrorism. Israel is being bombed almost daily by the Gaza hata kama wako na 'iron dome', USA soldiers were killed in Somalia like chickens in what is known as "The black hawk dawn". So pray very hard hao watu wasianze "radicalization" and also setting up of "slipper cells" because that will be the end of peace in your country.
 
Sasa tumeamua kuwafuata ndani ya Msumbiji, ndani ya mwezi mmoja tutawasamvaratisha ndani ya Msumbiji. Ninajua utakuja na lugha tofauti kwamba hawa sio strong kama Alshabaab. Tatizo hamtaki kukubaliana na ukweli, ninyi mnadhani mkishindwa basi hakuna wengine wanaweza. Ukweli ni kwamba, vyombo vya ulinzi vya Tanzania no vyombo bora kabisa hapa Africa.
 
Kama Kenya wana kiingereza kibovu sijui cha Tanzania kitaitwaje. Wale wananchi wameuliwa pale mtwara na magaidi ?Au kuna mtwara ya Mozambique na tzedi?
Naona Leo wakenya nao mmefurahi kusikia watz wameuliwa sisi tukifurahi mnatuita magaidi ngoja al- shababi wawa wawa jambishe tena huko Kenya tuone polisi wenu wanavyo zikimbia siraha zao kuokoa maisha yao hadi magwanda wanayavua wanakimbia na boksa ili wasitambulike
 
Prove to me using relevant sources that your security is better in Africa. Tanzania will forever remain good and steady in words but when it comes to actual business they are as weak as glass.
Sasa tumeamua kuwafuata ndani ya Msumbiji, ndani ya mwezi mmoja tutawasamvaratisha ndani ya Msumbiji. Ninajua utakuja na lugha tofauti kwamba hawa sio strong kama Alshabaab. Tatizo hamtaki kukubaliana na ukweli, ninyi mnadhani mkishindwa basi hakuna wengine wanaweza. Ukweli ni kwamba, vyombo vya ulinzi vya Tanzania no vyombo bora kabisa hapa Africa.
 
Prove to me using relevant sources that your security is better in Africa. Tanzania will forever remain good and steady in words but when it comes to actual business they are as weak as glass.
keep on dreaming my friend. the level of intelligence in Tanzania is way too high my friend. just wait and see.
 
Kuna methari inasema KIBERA HAKUNA CHOO watz waliishindwa je wakenya mnajua maana yake ?
kule kwa vibanda wanakata gogo kwenye rambo unarusha bati ya jirani.? leo imekuwa methali.? uzuri kote huko tushazunguka.
 
Back
Top Bottom