Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle



Hii ni picha ya Mshume Kiyate na Julius Kambarage Nyerere.
Habari za urafiki wa wapigania uhuru hawa zinaweza kujaza kitabu kizima.

Itoshe tu kusema kuwa kuanzia mwaka 1955 mpaka uhuru ulipopatikana na
baada ya hapo Mzee Mshume Kiyate alikuwa ndiye mwana TANU katika Baraza la
Wazee wa TANU ambae alijitolea kuangalia nyumba ya Mwalimu Nyerere kuanzia
chakula chake hadi mahitaji mengine.

Mzee Mshume alisema kuwa si haki kwa TANU kumpa Nyerere kazi ya kupambana na
Waingereza na kumwachia ahangaike na mambo ya chakula na nguo za mkewe na wanae.

Mzee Mshume alijitolea kuikimu famila ya Nyerere...
Yapo mengi.
 
Wao kama wana hoja waambie waje!

JF ni jukwaa huru, wacheni kusema pembeni!

Uko mtakua mnasema uongo tu hakuna lolote la maana!
Hapana wametaka kujua kwani kulikoni? Kilichowashtua ni mvua ya matusi wakauliza hoja gani inagomba? Nikawashauri wasome nyuzi vema.
Wanaogopa kuja kwasababu hawana uzoefu wa matusi wala roho ngumu ya kupokea.
 
Tunashukuru sana kwa huduma na mchango wake kwa jamii. Sote tunauthamini sana.
Sidhani kama angelikuwa hai angeweza kusimama mahali na kusema hayo maneno.
Si kwa kuwa hakufanya bali alifanya kwa hisani na nia njema.
Tena alifanya hivyo kwa mkono wa ''kulia na kuficha wa kushoto usione''

Sijui wanajamvi wanasemaje, tumuenzi vipi mzee Kiyate? Maana shukurani haikidhi ndio maana kuna kurudia rudia sana hili suala. Hebu tuweke mambo wazi nini hasa tumfanyie mzee wetu ambaye ni mzee wa Tanganyika
 
Hapana wametaka kujua kwani kulikoni? Kilichowashtua ni mvua ya matusi wakauliza hoja gani inagomba? Nikawashauri wasome nyuzi vema.
Wanaogopa kuja kwasababu hawana uzoefu wa matusi wala roho ngumu ya kupokea.
Vumilia tu ni haina ya mjadala ulioutaka.
 
Al Akhiy Ritz, kwanza mambo ya BAKWATA yaliletwa humu na ma Al Akhiy wenzako... naomba nianze kwa kunukuu baadhi ya madai ya Al habib gombesugu katika post yake namba 199 kuhusu BAKWATA; Kiongozi Mkuu wa BAKWATA na Mufti wa Tanzania Sheikh Issah Bin Shaaban Simba, je unamtambua au humtambui?


Al Akhiy Ritz, unajisikiake anapotokea mtu na kuanza kuwabeza, kuwadharau na kuwadhalilisha vingozi wa BAKWATA na Waislaam wanaokitambua BAKWATA kama chombo chao hapa nchini kama anavyofanya Al habib gombesugu. Je ni kwa vipi unamtetea Mohamed Said anayehoji Uislaam wa wote wale wanaoutambua na kushirikiana na uongozi wa BAKWATA kama hawa hapa chini;




au hawa hapa.




 
Last edited by a moderator:

Hivi hawa wazee wetu kitaifa wanakumbukwaje?
 
Mtaacha kuzua! Juzi nilikuwa NCCR, Chadema, CCM D, mara Pro-Muungano, Mara nachukia ZNZ, sasa Bakwata ili mradi tu. Lakini bakwata ina maana si ndiko mnawaita makafir kama sikosei! Mi nshaitwa kafir tena daraja la nguruwe, sina lalam kwasababu darja bora ni zake mwenyezi.

''Ukisimama na ukweli utakuwa na maadui wengi kuliko marafiki, lakini marafiki wachache watakuwa bora kuliko maadui-babu yangu''
 
Wnajamvi mzee Mshume Kiyate huyo kaletwa na Mohamed Said, je nini wafanyiwe ili kuwaenzi? Mbona hili swali mnalikimbia? chamvinga vipi unashauri tuwaenzi vipi kitaifa.

Hadi hapa ninyi waumini na sisi nguruwe tupo njia moja, sasa tupeana majibu ili tusijepata tabu kuanzisha thread nyingine kwa jambo hili. Linajirudia kila siku hebu tushaurini jamani nini kifanyike.
 
Last edited by a moderator:
Vumilia tu ni haina ya mjadala ulioutaka.
Wala sihitaji uvumilivu, ninatembea kifua mbele kwasababu nimetanguliza ngao ya ukweli.
Kila tusi ni ushahidi hoja imepiga mfupa. Katika simu inaitwa'status report' message delivered
 
Wala sihitaji uvumilivu, ninatembea kifua mbele kwasababu nimetanguliza ngao ya ukweli.
Kila tusi ni ushahidi hoja imepiga mfupa. Katika simu inaitwa'status report' message delivered
Acha kulialia unawapangia watu vitu vya kuandika, wewe leo utaongea yote wewe tembea kifua mbele nyuma pembeni wala haituhusu.
 
Acha porojo bana wewe ni Chadema wala hakuna anayezua unataka niweke ushahidi?
 
Vuta subira utajibiwa tu, maswali ya kipuuzi yatajibiwa kipuuzi wala usiwe na shaka.

Hivi unaamini kweli kuna mtu anaweza kukukimbia wewe teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Simtambui, hivi mie naweza kuongozwa na Bakwata?
 
Last edited by a moderator:
Acha kulialia unawapangia watu vitu vya kuandika, wewe leo utaongea yote wewe tembea kifua mbele nyuma pembeni wala haituhusu.
Hoja ni kuwa Mohamed Said kamleta Mshume Kiyate. Chamvinga kauliza hivi hawa watu taifa linawaenzi vipi? Nguruvi3 kasema hapa ndipo pa kuanzia ili tujue tungependa hawa wazee wetu waenziwe vipi. Sasa hapo kuna swali gani la kijinga kutoka kwa Mohamed Said, chamvinga na Nguruvi3?

Wenzangu hamtaki hoja mnataka kulalama. Hapa ndipo namwalika ndugu yangu The big show kwasababu amesema watu hawalalmiki , sasa kama maswali hayajibiki tunasubiri wiki mbili nyuzi nyingine hamuoni lipo jambo.

Kwanini watu wanasita kusema mzee Kiyate na wengine wafanyiwe nini cha ziada. Medali wameshapewa lakini bado kuna manung'uniko, sasa kipi kifanyike ili tukidhi haja ya heshima kwa wazee wetu!
 
Last edited by a moderator:

Sijui nikujibuje mzee wangu Nguruvi3? Labda tuulizane wote mashujaa wetu waliopigania uhuru serikali inawakumbukaje? Mbona kila kukicha nyerere, karume na hawa wengine hatuwasikii? Wazee wetu ndio waliomwaga damu zao kutafuta uhuru wa nchi hii ila wamesahaulika, hii ni dhihaka kubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Wewe si umekuja na hoja humu kuwa Waislam wanataka majina ya mitaa uliitoa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Acha kulialia unawapangia watu vitu vya kuandika, wewe leo utaongea yote wewe tembea kifua mbele nyuma pembeni wala haituhusu.

Al muallim shariff Ritz maneno haya mujarrab! Kijana Nguruvi3 anapayuka ovyo akijipa moyo kwa ulaghai anaosema humu jukwaani.

Maneno yasio na mantiki zilizo wazi.

Huyu kijana namfananisha na wale waimba mchiriku! Hutoa maneno mabovu halafu wakajipongeza wenyewe!

Teh teh teh teh!
Ahsant.
 
Last edited by a moderator:
Wewe si umekuja na hoja humu kuwa Waislam wanataka majina ya mitaa uliitoa wapi?
Kwahiyo unakubali hoja yangu? Baada ya mashambulizi ya mvua za matusi nimedhani wenzangu mna jinsi nyingine.

Nawasikiliza, hivi hawa wazee wetu kama akina Mshume amabaye Mohamed Said kamleta na kipande cha ushahidi tuwaenzi vipi. Hawa ni wazee wetu sote jamani tuangalie namna ya kuwaenzi badala ya kuanzisha nyuzi kila uchao tukifika mahali pazuri tunakimbia.

Waungwana mnasemaje hawa wazee akina Mshume tuwape heshima gani.
Kumbeukeni sisi ndio taifa kama hutusemi nani atasema. Tusimwachie Mohamed Said mwenyewe.

Nimefarijika akina chamvinga wanatupa changamoto nzuri sana, hawa wazee tuwaenzi vipi.

Eti waungwana mnalo neno! Mimi nimesema wenzangu mkaniona Abunuwasi, wengine lah astaghafir wakaniita mnyama haram sasa nauliza wenzangu ninyi jicho na kauli zenu zipo wapi?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ilikuwa hoja yako mbona ulikuwa anawasingizia Waislam hawana akili wanajadili barabara wakati wenye akili wanadali maendeleo.
 
Last edited by a moderator:
Daktari kahtaan kuntu maneno yako dhidi yangu nami nasema radhiyaatan.

Hoja iliyoo mbele yetu ni moja. MS kamleta mzee Mshume Kiyate akimvisha Nyerere kitambi.
Kiyate ni mmoja wa wazee wetu waliosahahulika. Vipi tuwaenzi vipi zaidi ya kusoma vipande vya magazeti.
Nini kifanyike ili tusijerudi jamvini kujadili jambo hili bali twende mbele zaidi kupendekeza nini wafanyiwe.

Tukivurumisha matusi, aa! haifa si katika hekma si katika uungwana na wala adabu za mnakasha haziruhusu. Muulize maarufu Mohamed Said. Tusiangaliane kama Nguruwe na muumini, tuangalie hoja zinasema nini.
Hoja ndio hiyo,tafadhali unusuru ulimi maana umezungumziwa huo na adha zake.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…