CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Wewe ni ktk wale fisi waliovaa ngozi ya mbuzi!
Unashusha thamani yako kwa bei ndoogo kabisa! Huna aibu kutetea dhulma wewe?
Halafu tuseme wewe na huyo nyerere ni tumbo moja! Iweje wewe unatumia maneno kama " inshallah" Mwenyezi Mungu" na mengi yatumiwayo na waungwana bila hata HAYA KIDOGO??
Hata yule maluun wa taifa hakufikia kusema inshallah!! We umepitiliza!
Unasingizia kuwa eti sisi tunataka mitaa ibadilishwe hali ukisisitiza tujenge hoja!
Mtu mzima huna aibu? Wapi ktk jukwaa hili umeskia mimi au shariff Ritz au maulana gombesugu au al akhiy Tayeb au maalim CHAMVIGA na ustaadh Boko haram na waungwana wengi tumesema hayo unayo tutilia midomoni kwetu??
Hebu onyesha hapa kama wewe si ktk wale majahill wanao tetea dhulma!
Halafu ukiambiwa wewe ni munafiq unasema unatukanwa!
Sasa labd tukae kimya! Manake kukwambia uyatayo wewe haiwezekani!!
Dr kahtaan unakubidi umzoee huyu nguruvi3 yeye anajua anachokifanya na anajua maslahi gani anayapa kwa kutetea dhulma na ukandamizaji wa Marehemu Nyerere enzi za uhai wake kama Raisi. Sina imani kama atafika sehemu na kukubali kumkosoa nyerere. Kuna wakati alishawahi kufanya mjadala na ndugu yetu zinedine na virungu vya akhy wetu vilikuwa ni vikali sana mwishoni hoja za zinedine nikawa sizioni jukwaani.
Last edited by a moderator: