Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Dakatri kahtaan kuna neno la shariff Ritz hapa. Je unakubaliana na hoja zake hapo juu?
Teh teh teh! Nguruvi3, mie nakujibu wewe ambaye umeuliza tuwafanyie nini hawa waze naona jibu langu limegusa mfupa unakimbilia kwa Dr. kahtaan.

Kuwaenzi hawa wazee ni kuandika vitabu kwa wingi na ili watanzania wote wawafahamu na vizazi vyetu.

Narudi nyuma kidogo mie siku zote napenda kuja na data mwaka 1985 Nyerere alipokuwa anamtunuku digrii ya heshima Basil Davidson, aliwambia pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akikisheni mnaandika hostoria ya ukweli ya Tanganyika, ukitaka kumjua zaidi mwanahistoria Basil Davidson mnaweza kugoogle habari zake.

Sasa leo hata waasisi wa TANU hawafahamiki lazima tuwaenzi Mohamed Said, kaanza na sisi tufuate.
 
Last edited by a moderator:

Al munafik.sifa ya mnafiki huwa haishi kutapata muzabizabina.

.nimejibu hoja zako page ya 11.sababu wewe ni kipofu umepita bila kuona.

xaxa unataka solution.wazee tunawaenzi kwa kudhihirisha historia yao halisi.

vitabu mashehk wetu wameandika na wanaandika

kwenye makongamano yetu elimu hutolewa

xaxa kwenye kudhirisha ukweli wa historia yao unafanya unafiki na kupinga

au unaataka tuwape utakatifu kama nyerere na kanisa

mnafiki na kafiri hawezi kuwaenzi wazee wa kiislam

xaxa ili wewe mnafiki uwaenzi inabidi ujivue unafiki usilimu na tutakupa jina la UBAY

baada ya hapo tutashirikiana na wewe kuwaenzi
 

Haya Nguruvi3 japo kuwa mimi nilikuwa sitaki kurejea haya aliyoyataja shariff Ritz , lakini amesha rejea.
Na hii ni zaidi ya mara kama 6 hivi tumetaja, namna gani tuweze kuwaenzi hawa MASHUJAA WA KWELI waliofunikwa na MFUMO KRISTO!
sasa wewe kama ulikuwa hujui solution!
Sasa umeijua!
Siku nyingine ukitaka kutunza na kuhifadhi heshima yako, basi jaribu kuwa na Msimamo ktk mnakasha!
Kurukaruka hakukufai! We mtu mzima!
Mambo ya kugeuka geuka rangi kwa hizo ruzuku za mfuko wa Nyerere zimeponza wengi!
 
Last edited by a moderator:
Are you seriously suggesting Muslims can not think to bring any better thing or development to their communities!?


I will stress my point that you will not get development by having muslim leaders from President down to Mjumbe wa mtaa and I gave examples.

Only your brain and hard work will get you out of poverty. Stop crying like babies, send your children to schools and get back to work.

If you are among those few who are using ignorance of others for your own benefit you must stop misleading others.

Your thoughts aka uninformed opinion are totally wrong and rotten,kind of popular misconception!

Show proof where I am wrong

MfumoKristo
it's not the only threat,it is the likes of you

This is JF. We analyze everything we do not buy every ---- post posted in this forum. If you bring any issue you must support it with tangible evidence. Otherwise state from the beginning that that's your opinion, we will respect your opinion.

Judgement of people who you don't know their experience and in whose shoes you have not walked...it shows lack of integrity.

I did not judge you, I judged the argument. Even If I wanted to judge you, I do not need to know you or your experience. Your actions and contributions will tell everything.


Great minds discuss issues and ideas, small minds discuss people and use personal attack to hide their weakness.

Next time ,before making and foolish statement like this,do your home work very well...you don't have to be narrow-minded! Ok!?

This is a forum where we discuss issues not emotions. If you are among those who are considered as ''Think Tank'', ''Well informed'' person for islamic advocacy then you could have done better for the sake of those who depends on you..

Good luck though..
 
OMG, Big U turn. Sasa hutaki kwenda kuuliza watoto wa Mshume kiyate tena ! teh teh hihhi uwii, mbavu zangu.
Beating around the bush engulfed with fire amid delirium and confusion. No ground to stand!

Malengo yenu yameshindwa kwasababu hamuwezi kujenga hoja.

Kuna kitu mlitaka mnaogopa kwakujua hoja hazijitoshelezi,zitakumbana na moto na zitawaacha uchi.
Guys lazima muwe organized, mfahamu mnataka kusema nini kwa njia ipi na hoja zipi.
Lazima mcheki background na muwe well informed. Msiendeshwe na emotions tu.

Clearly hakumjibu hoja na mume back off, not bad but it is a failure.

Go back to the drawing board and reorganize.

 
Ha ha haaa! JF kiboko. Mkuu Nguruvi3, naomba nichukue nafasi hii kukushukuru kwa mchango wako kwenye huu mjadala...hata kipofu anahitaji kuupitia kidogo tu ajue mnakasha unavyokwenda, goja nitoe mfano kidogo tu;
Jibu ulilopata kutoka kwa Al Habib Al Tayeb ni hili hapa;
Tayeb said:
Wacha kuwajaza watu uongo! Toa kwanza mwiba wa tak.o wewe Muchungwaji Paulo!
Pamoja na matusi hukukata tamaa kutoa darasa;
Kama ilivyotegemewa somo halikuingia na Al Habib Al Tayeb kaingia tena JF;
Tayeb said:
Wewe ndio punda, huendi ila kwa majiti tehe tehe tehe!
Na kama kawaida Al Akhiy gombesugu akadakia;
Bila ajizi Maulana Dr. kahtaan naye hakubaki nyuma;
Kwa uvumilivu mkubwa mkuu Nguruvi3, ukaona urudishe mnakasha katika msitari;

Duh ikawa kama vile Nguruvi3 kaamsha mizimu, akaingia tena Al Akhiy gombesugu;

Kama vile haitoshi tena Al Akhiy gombesugu akaamua kutoa yote aliyo nayo moyoni;

Mnakasha, wanajamvi ndivyo unavyoendelea...mimi Mag3 sijaongezea hata neno!
Kwa upande moja wapo Al Alkhiy gombesugu, Maulana Dr. kahtaan, Shariff Ritz, Ukhti @FaizaFoxy, Ayatollah CHAMVIGA, Al Habib Al Tayeb, Al Akhiy Boko haram, Al Murid THE BIG SHOW, Al Akhiy Polite

Upande wa pili yupo Al Kidhab Nguruvi3 huku Al Munafik Mag3 akichungulia kwa mbali
Ustaarabu kweli dhahabu!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh! Hauwezi kuthubutu kuweka majibu yangu yanagusa mfupa.
 
Last edited by a moderator:
Hoja gani tena ambazo haujajibiwa au hautaki majibu yangu kwa sababu yanakusa mfupa lakini bahati nzuri majibu yangu yapo wazi nimeeleza kwingi jinsi ya kuwaenzi hawa wazee wetu wapigania uhuru wasomaji watapata faida.

Majibu yangu yamesimama wima hayana shaka ndani yake ni majibu Mubashara.

Wasoma wa huu mnakasha najua sijawapunja na hoja zangu zenye mashiko.
 
epuka mabishano ya udini ili kujenga nchimbi yako, epuka mabishano ya kidini ni hatari sana
 
nashukuru mheshimiwa kwa point ambazo ni constractive na zilizo na uzito pande zote
 

Hivi vinaitwa vicheko vya kinafiki!

Ukweli ni kuwa wewe hucheki bali unajilazimisha kucheka!

Ni nani anaegeuka geuka kama kinyonga!!?

Mimi au wewe!!??

Si wewe hapo nyuma tu ulikuwa UKIKATAA KATA KATA KUWA WAISLAMU HAWAKUDHULUMIWA NA HUYO NYERERE WAKO NI MTAKATIFU!!?

ULIPOONA HUNA POINTS UKAONGEZEA KWA KUSEMA "SIO WOTE WENYE MAJINA YA KIISLAMU NI WAISLAMU??

ULIPO SHINDWA HILO PIA,
ghafla UNATAKA TUSHAURIANE NI VIPI TUWAENZI HAO WAISLAMU?

Umeniuliza ZAIDI YA MARA 4! JE! TUFANYE LIPI KUWAFANYIA HAKI HAO MASHUJAA WA KIISLAMU!?
Nikakutizama unavyo jiuma uma! SIKUKUJIBU Nilikuwa nataka Umma wakuone ulivyo NA SURA NYINGI!!

Ghafla shariff Ritz kwa huruma zake akareje kuku kumbusha yale aliyo yaanzisha sheikh Mohamed Said .

Sasa unarudi hapa na vicheko vya kilevi!!

Huu ndio unafiki wa kigalatia! Manake hata haya huna!

Halafu ukiambiwa ukweli unaanza kuongelea puani! ohh sisi watu wa pwani ohh tuongee kiungwana!

Uungwana vitendo Nguruvi3 !
Mtu mwenye sura zaidi ya moja ABADAN HAWEZI KUWA MUUNGWANA!

And unfortunately you my friend you are not only two face! BUT 10 faces! In front of us! plus one for nyerere and his associate.

Na la kuongezea! Umesema wewe mtu wa pwani!!

Hili linanishangaza kidogo kwa sababu watu wa pwani hawana sura mbili!

Ni aidha yuko na wewe au against!

Hebu fanya mpango wa kucheki dna!
Manake hii minakasha inaweza kumfungua mtu macho! Akaona vilivyojificha miaka mingi.!!

Kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:

Teh teh teh teh!
Wallah al habib gombesugu akiitaja ile makhnatha! Mi.mbavu sina huku!
Kwi kwi kwi kwi! Manake nmuona huyo opponent wake kama wale wapiga mchiriku!
Teh teh teh teh! Laa haula!!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nikuambie mubashara mimi wa pwani kwa kila kigezo. gombesugu anafahamu Muheza na anajua vema kuwa Mjasani ndio makao achilia mbali barabara ya 11 Makorora.
Karibu sana Magila kupitia Pongwe, Mkanyageni, Lusanga hadi Muheza. Barabara ya Amani, chepuka kijiji cha Mikwamba kwa akina Kihampa.

Utafika ukivuka daraja,sisi sote twakungoja
Ngo'ngo na ngwogwe zimejaa, Tafadhali jaribu kuonja,
usisite kumsifu mwahija, kwa yako njema lahaja
Twakaribisha wageni wa haja, kahtaan kwetu ni kanjanja

Hatupendi zako tashtiti, twasubiri lako neno
usijemkosa mwasiti, nani atakupa kibandameno?
Sheria kama msumeno, soma kifuatacho kimemo.

Msimamo wangu kuhusu Nyerere haujayumba wala kubadilika. Nyerere ahukumiwe kwa kile alichokifanya na si kile kinachosadikiwa alikifanya. Kwa mtazamo huo hoja za kusadikika hazikubaliki kwa wenye fikra isipokuwa makasuku walioweka akili rehani.

Narudia kusisitiza kuwa si wote wenye majina ya kiislam walikuwa waislam kwa maana ya Uislam. Ninao ushahidi usio na shaka kuhusu hilo ndiyo maana nikasema anichokonoe mtu nimwage mtama na ndio uwe mwisho wa kuenzi wazee hao mnaowasingizia walipigania uhuru kwa imani.

Nimeuliza mara nyingi sana je wazee hao waenziwe vipi. Kusudi langu ni kutaka mtamke mlitaka nini kifanywe kwao. Mumechomoa hadi sasa mumerudi katika kuandika vitabu. Najua mna reservation ambayo hamjapata mahali pa kuitolea hoja. Mohamed Said yeye alishasema bayana babu yake aliongoza migomo bandarini na reli hajui kwanini wapewe nafasi watu wengine wakati ana damu iliyoumia ! huyu afadhali katoa duku duku, ninyi mumeweka mafundo vifuani.

Kwabahati mbaya sana ukajikuta ukishauri watu waende kuuliza watoto wa Mshume Kiyate. Familia ya Mshume Kiyate haina deni na taifa hii kama ilivyo kwa familia ya Nyerere, Cecil Matola, Kyaruzi n.k.
Uzalendo hauna malipo ya kurithishana, ni kujitoa muhanga, Ni uzezeta kudhani kuwa familia ya Kiyate inalidai taifa hili chochote zaidi ya heshima tu kama zilizvyo familia za wapigania uhuru wengine.

Na mwisho, tafadhalini sana mkome kuwasingizia wazee waliopigania uhuru. Hakuna mahali penye kumbu kumbu ya wao kudai uhuru kwajili ya imani. Zipo kumbu kumbu za wao kudai uhuru kuwakomboa waafrika.
Uislam hautaki uzushi au urongo, nawauliza ninyi mnasimamia hilo kwa msingi gani?

 
Last edited by a moderator:

Nadhani lugha pia ni tatizo kwako!
Sijasema kuwa huishi pwani rather umenitia hofu ktk hizo tabia zako!
Na nimekupa ushauri wa kijamaa kuwa ukienda kucheki hio Dna unaweza kuona maajabu!
We huenda ukawa mzanaki na mdigo!

Na sio mpaka uchokolewe kusema ya haki!
Leta ulichonacho hapa! Wacha longolongo!
Tunasubiri!!
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa sina haja ya kukujibu nimerudi baada ya kuon umeishiwa hoja umeamua kuleta msuto eti tukome mkome, eboo! Tuache kuelezea unyama waliofanyiwa Masheik wetu kisa Nguruvi3. hataki kusikia teh teh teh! Baada ya swali lako kufinyangwa finyangwa na kukosa mashiko unalazimisha uulizwe swali ambalo umelitengenezea majibu, teh teh teh!

Hakuna anayesema uhuru wa Tanzania umepiganiwa na Waislam peke yake sijui hii umeipata wapi, Walichofanya Waislam ni kuwaleta Waislam waliopigania uhuru ambao walifutwa kwenye historia.

Ndio maana Sheikh Mohamed Said, akaandika vitabu kuwafahamisha Watanzania kuwa uhuru wetu sehemu kubwa umepiganiwa na Waislam na kuonyesha dhuruma walizofanyiwa uzuri wa kitabu kipo wazi kinaitwa.

"Historia iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika"

Kupitia kitabu hicho watu wamejua mengi sana kuhusu historia yetu.

Kama wewe unapinga Waislam na wazee wa Dar es Salaam hawakuwa mstari wa mbele kwenye harakati kutafuta uhuru wa Tanganyika leta hapa jamvini tujadili.
 
Last edited by a moderator:

Akhiy Polite huyu mgalatia umempiga msumari kwenye kidonda!
Huyu mzanaki haoni hata aibu kuwa na sura nyingi!
An tapatapa huku na kule! Wale majaaluta wenzake km kawaida yao wamemuacha peke yake! Hutoa pua zao mara mara halafu wakarudi kwenye vichuguu!

Teh teh teh teh!

Amma majaaluta wako wengi humu!
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3.

Nimejitokeza mimi kukuchokonoa na kukwambia Waislam na Wazee Dar es Salaam ndiyo walikuwa mstari wa mbele katika harakati za kupigania uhuru kutoka kwa Waingereza.

Hakuna mtu yeyote aliyekuambia kila mwenye jina la Kiislam ni Muislam hiyo ni hoja yako dhahifu ambayo haina mashiko.

Mwaga mtama wako na mimi nifungulie njiwa wangu kutoka kwenye mabanda.

Usilete mikwara mbuzi.

Karibu sana hoja kwa hoja.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna anayesema uhuru wa Tanzania umepiganiwa na Waislam peke yake sijui hii umeipata wapi, Walichofanya Waislam ni kuwaleta Waislam waliopigania uhuru ambao walifutwa kwenye historia.
Ahsante. 'Mkwara mbuzi' unasaidia. Leo umekiri kuwa wapo wengine, mashallah jao kidogo yatia moyo.
 
Mkiwa tayari mnitaarifu, lakini msijekimbia !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…