Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle


Mag3 kwa mjadala na maswLi yako magumu ya kifalsafa ambayo mzee wa gerezani mudi side alishindwa kuyajibu usitegemee kitu kutoka kwa hawa ma'alkhiy, zaidi ya kuleta kejeli. Nakupindish hoja yako

Teh teh teh!! Haki Mungu JF kuna vituko.

Hii ina nikumbusha mpambano wa Muhammad Ali na Leon Spinks (1978).

 
Last edited by a moderator:
Dr. kahtaan.

Ni muendelezo wa"mikwara mbuzi" tu.

Huyu Al Munafiq hata akiota ametupiga inabidi aamke na kutuomba msamaha.
 
Last edited by a moderator:
Mag3 kwa mjadala na maswLi yako magumu ya kifalsafa ambayo mzee wa gerezani mudi side alishindwa kuyajibu usitegemee kitu kutoka kwa hawa ma'alkhiy, zaidi ya kuleta kejeli. Nakupindish hoja yako

Huyo profesa mavrigiza wako aliahidi atakuja hapa na vitu vizito! Ma akatitahadharisha tusije kimbia!
Sasa mimi na waungwana wengine hapa tumekaa stand by!
toka Paka ameingia pipani hajatoka tena!

Teh teh teh teh!
Naona kila aki google vitu anakuta message inasema" did you mean nyenyere?
Teh teh teh !
Nyie ndio mnaitwa wapambe nuksi! Kazi yenu kutoa pua mkasema neno halafu mkaingia mtini! Kama wale mjusi kafiri!
Teh teh teh
 
Mag3 kwa mjadala na maswLi yako magumu ya kifalsafa ambayo mzee wa gerezani mudi side alishindwa kuyajibu usitegemee kitu kutoka kwa hawa ma'alkhiy, zaidi ya kuleta kejeli. Nakupindish hoja yako

Remote,
Nikumbushe ni swali gani nimeshindwa kujibu...
 
Remote,
Nikumbushe ni swali gani nimeshindwa kujibu...

Salaam sheikh Mohamed Said .

Maalim wetu huyu kiruka njia Remote hajui alisemalo.
Mashaka yake ni hizo elimu za kata walizopata..

Huyu kwa hisani zako niachie mimi niongee nae huyu mtoto asiyemjua babie!
Manake mimi nimeishi na kuwalea hawa watoto wa mzazi mmoja! Nawajua vizuuuri sana.

Kwa hisani zako kaka.

Shukran.
 
Last edited by a moderator:

Gombesugu,

Tunajitahidi kuueleza ulimwengu ukweli:

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).


3. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

4. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

5. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

6. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

7. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

8. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).

9. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).

10. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).

11. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).

12. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi (Children's book).

13. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007 Nairobi.

14. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

15. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century (1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006), Kenyatta University Nairobi.

16. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006) University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International Durban.

17. Visiting Scholar University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011.

18. ''Tanzania: A Nation without Heroes'' paper presented at a seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September, 2013 Nairobi.
 

Kwi kwi kwi @ umeamua kuhamisha/kuanzisha mnakasha mwengine ndani ya mnakasha. Waswahili wanasema usilolijua ni usiku wa giza. Ila kutorefusha huu mnakasha wako kwenda mbali nakuacha na kauli ya wahenga wakisema 'BORA ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA'. Kwasababu wewe ni mswahili bila shaka utakuwa umenipata. Kanisa linaanzia wapi mamlaka yake na kuishia wapi hilo kwangu sio swali la msingi.
 
Tangazo,tangazo waislam wote kama unaipenda sana dini yako basi nenda somalia au saudiarabia maana huko ndio wenzenu bado mfumo islam umetapakaa hata kazi mtapewa cha msingi muwe waislam.
 

Teh teh teh. Dr kahtaan usiwe na wasiwasi wewe endelea kuangusha nyundo tu watanzania wapenda nchi yao wafaidike na kuijua nchi yao inatoka/ipo/inaelekea wapi. Watu wanajificha katika miamvuli ya vyama wakiviita vya demokrasia kumbe lengo ni kuuendeleza mfumo ambao wanahisi kama unatetereka.
 
Last edited by a moderator:
Huku ndiyo kuwaenzi hawa wazee wetu waliopigania uhuru.

"Uongo, kama vile nyasi juu ya maji huelea, Atafutae Lulu hana budi kupiga mbizi". ~ John Dryden
 
Dr. kahtaan.

Huyo nguchiro niachie mie.
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuwa ni binadamu lakini unatabia za ki umbwa au ukamzidi hata mbwa, ila mbwa hataingia motoni kwasababu ni hayawani lakini jibwa kama wewe la kibinadamu moto utauna tu

Huyo mbwa wa manzese namuonea huruma kwa nguvu kubwa anayotumia kupigana na haki. Haki siku zote itashinda na dhulma haitokaa ikashinda.
 
Tangazo,tangazo waislam wote kama unaipenda sana dini yako basi nenda somalia au saudiarabia maana huko ndio wenzenu bado mfumo islam umetapakaa hata kazi mtapewa cha msingi muwe waislam.
Mtu yeyote anayejitambua na anayejali heshma na utu wake, Hawezi kuandika uharo kama huu.
 


Huku ndiyo kuwaenzi hawa wazee wetu waliopigania uhuru.

"Uongo, kama vile nyasi juu ya maji huelea, Atafutae Lulu hana budi kupiga mbizi". ~ John Dryden

Cc Nguruvi3. Wengine wakiwa wanaenziwa majukwaani na wakitungiwa nyimbo zikafundishwa mashuleni, na kuchongewa masanamu yao sisi tunawaenzi wazee wetu kwakuandika na kusoma na kuvifundisha vitabu vilivyo na historia zao.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Nguruvi3 hivi kweli unategemea utapata majibu hapa ha ha ha ha wakati mwingine tumia busara za kawaida usipoteze nguvu nyingi wakati unajua unapambana na watu dhaifu sana wasiopenda kushughulisha akili zao zaidi ya kujifungia kwenye makabati ya dini.


 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ngongo hivi akili yako iko salama? unaweza kumfananisha Nguruvi3 na mzee Mohamed Said?
waarabu wanamsemo unaosema "ashfiku alaa raaasi la tushfikuu alal jabal" maana yake ni
yaani wewe upige kichwa jabali halafu unalisikitikia jabali badala ya kichwa chako:frusty:
ahsanta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…