Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Sheikh Mohamed Said,

Shukran mno kwa hidaya hii ya bayana hizi zoote zilo njema.

Wallahi,wazifanza w'end zetu soote hapa jamvini kuzidi kunawiri...nami jioni nikituama,tapitia upya haya yoote kwa utuvu.

Mola akuzidishie Ukarim.

Ahsanta.

Gombesugu,
Nyumba ile ile ya Abdu Sykes Mtaa wa Aggrey kona na Sikukuu,
varanda ile ile ambapo Abdu alikaa na Chief Kidaha kuijadili TANU
mwaka 1950 akaja Nyerere nyumba ile ile varanda ile ile Abdu
akaijadili TANU na Nyerere mwaka 1952.

Ikiwa hii ndiyo historia ya TANU iweje leo ikitajwa TANU na harakati
za uhuru atajwe Nyerere peke yake?

Iweje tuambiwe ati TANU iliundwa na Nyerere?
Maswali ni mengi sana.
 
Mag3,
Tatizo langu kueleza historia ya wazee wangu na juhudi zao dhidi ysa ukoloni?
Sijasoma popote unapoelezea historia ya wazee wetu Watanganyika, maandishi yako yote ni ya kupandikiza chuki katika jamii kwa kwa mgongo wa dini, period. Huna tofauti na hao wauaji wa Nairobi who took turns to pray, removing shoes to perform the ritual washing in a room stacked with boxes and bowed down in Islamic prayer, taking a break from incessant gunfire.

Narudia tena, tatizo si dini...ni watu kama wewe Sheikh Mohamed Said, mnaotumia kivuli cha dini kutenda maovu yenu.
Gombesugu,
Nyumba ile ile ya Abdu Sykes Mtaa wa Aggrey kona na Sikukuu, varanda ile ile ambapo Abdu alikaa na Chief Kidaha kuijadili TANU
mwaka 1950 akaja Nyerere nyumba ile ile varanda ile ile Abdu akaijadili TANU na Nyerere mwaka 1952.
Ikiwa hii ndiyo historia ya TANU iweje leo ikitajwa TANU na harakati za uhuru atajwe Nyerere peke yake?
Iweje tuambiwe ati TANU iliundwa na Nyerere? Maswali ni mengi sana.
Huu uongo hauchoki kuuhubiri? Santuri hii imechuja ndugu yangu. Mwaka 1950 hakuna kitu kiliitwa TANU, kilichokuwepo kiliitwa TAA chini ya uongozi shupavu wa Dr. Vedasto Kyaruzi. TANU iliundwa mwaka 1954 baada ya Julius Nyerere kuchaguliwa kuwa Raisi wa TAA na kumshinda mpinzani wake Abdulwahid Sykes katika uchaguzi ambao wajumbe wake wengi walikuwa ni watu wa Dar es Salaam.
 
Hajat Faizafoxy,

Salaam.

Wallahi,wanifanza nicheke pasi kiasi,jinsi unamvyomgaragaza huyu Mbondei! Kwi! Kwi! Kwi!

Kule Tanga/Chongoleani waita "wamdodosa",nako Bwagamoyo wanasema "unamkitimiza majiti ya roho" na tukirejea pale Unguja/Mwangarani wasema "unampandisha punda kimbelembele"...na hapo Mzizima wanasema unamsasambura! Kwi! Kwi! Kwi!

Ndivyo atakavyo huyu,wewe endelea kumdonyoa kiduchu kiduchu,mpaka atie akili!

Ahsanta.

Cc; Maulana Dr Kahtaan,Shariff Ritz,Ayatollah Chamviga

Tehe tehe tehe!

Wallahi mbavu zangu kwa hiki kicheko!

Nami naunga mkono huyu kiumbe tuendelee kumsasambura!

Ahsanta Aly akhiy gombesugu

Tuko pamoja wakuu japo nimezongwa kiduchu na majukumu ya kifamilia!
 
Last edited by a moderator:
Sijasoma popote unapoelezea historia ya wazee wetu Watanganyika, maandishi yako yote ni ya kupandikiza chuki katika jamii kwa kwa mgongo wa dini, period. Huna tofauti na hao wauaji wa Nairobi who took turns to pray, removing shoes to perform the ritual washing in a room stacked with boxes and bowed down in Islamic prayer, taking a break from incessant gunfire.

Narudia tena, tatizo si dini...ni watu kama wewe Sheikh Mohamed Said, mnaotumia kivuli cha dini kutenda maovu yenu.

Huu uongo hauchoki kuuhubiri? Santuri hii imechuja ndugu yangu. Mwaka 1950 hakuna kitu kiliitwa TANU, kilichokuwepo kiliitwa TAA chini ya uongozi shupavu wa Dr. Vedasto Kyaruzi. TANU iliundwa mwaka 1954 baada ya Julius Nyerere kuchaguliwa kuwa Raisi wa TAA na kumshinda mpinzani wake Abdulwahid Sykes katika uchaguzi ambao wajumbe wake wengi walikuwa ni watu wa Dar es Salaam.

Maovu gani??

Kama ni farki au uchochez mbona anafanya waz waz bil kificho??
Kila mtu anamfaham,na serikali inamtambua na jamii yote kwa ujumla,

Sema wewe hupendi na unachukizwa na hicho anachokisema,usjal sana na uko sahihi kuwa ivo na ni haki yako,

Ila huna haki wala mamlaka y kumwita mdini,mchochez n whatsoever,ukweli tupu unelezwa,kama unakuja kupinga basi karibu uje upinge kwa hoja zenye mashiko na uthibitisho pia.
 
Duh Maulana Dr. kahtaan! mara nyingi tatizo si dini, ni watu na Sheikh Mohamed Said ni mojawapo, nanukuu;

Jaribu kusoma tena uliyoyaandika...tatizo si Uislaam, tatizo ni wewe Maulana Dr. kahtaan! Tafakari...

Well kama mimi kukuelezeni andiko linavyosema ni TATIZO! basi nakubaliana na wewe na cheo hicho ntakikubali!

Nyie mnapodanganya watu kuwa mungu mzungu! Mungu watatu. Mungu kafa. Mungu kala na kunywa!
Na uongo mwingine woote juu ya MUNGU ALIYEWAPA PUMZI NA HIVYO VIDOLE MNAVYOTUMIA KUMTUKANA!
Unategemea mimi nikae kimya tu!

Manake nakuogopa wewe muheshimiwa Mag3 utaniita NINA MATATIZO!!

UZI HUU USIUCHAFUE NA KUUPINDISHA KM KAWAIDA YENU!

Nimemjibu huyo mtoto hapo juu kwa sababu kaniletea habari za damu ya yesu hapa! Wakati watu tuna twahara zetu!

Wacha ku copy and paste hapa ! Turudi kwenye mnakasha!
Mbona mpaka ujumbe huu wa 557. HAKUNA HATA MMOJA KALETA HOJA MADHUBUTI ZA KUVUNJA HOJA ZA Mohamed Said????

Why you guys running around like little sissy girls!? Try to find this and that just to avoid the TRUTH.??

Come on now!

Give us something hot! Au swahiba yetu Nguruvi3 ana dharura?
Manake ajabu ni kuwa nyie mahodaaari kuchopoa neno moja moja!
Lkn ukiletwa kwenye mnakasha wenyewe!

Mko kimya!
 
Last edited by a moderator:
Gombesugu,
Nyumba ile ile ya Abdu Sykes Mtaa wa Aggrey kona na Sikukuu,
varanda ile ile ambapo Abdu alikaa na Chief Kidaha kuijadili TANU
mwaka 1950 akaja Nyerere nyumba ile ile varanda ile ile Abdu
akaijadili TANU na Nyerere mwaka 1952.

Ikiwa hii ndiyo historia ya TANU iweje leo ikitajwa TANU na harakati
za uhuru atajwe Nyerere peke yake?

Iweje tuambiwe ati TANU iliundwa na Nyerere?
Maswali ni mengi sana.

Ndugu yangu Sheikh Mohamed Said!

Hawa watu ukweli wanaujua lakini tatizo ni hulka na mila zao za ubishi!

Hawa wanafuata mila za Mtume Paulo hawa, ndio maana kuzua na ubishi viko ndani ya damu yao!

Laiti wangefuata mafundisho alofundisha Yesu mwana wa Maria katika kitabu cha injili, basi watu hawa wangekua ni wenye kupata faida katika darsa zako!

Inshallah wakti ukifika tutazungumza lugha moja!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Sheikh Mohamed Said!

Hawa watu ukweli wanaujua lakini tatizo ni hulka na mila zao za ubishi!

Hawa wanafuata mila za Mtume Paulo hawa, ndio maana kuzua na ubishi viko ndani ya damu yao!

Laiti wangefuata mafundisho alofundisha Yesu katika kitabu cha injili, basi watu hawa wangekua ni wenye kupata faida katika darsa zako!

Inshallah wakti ukifika tutazungumza lugha moja!

Sadakta ya al habib Tayeb !
Maneno yako yanaweza mtoa nyoka pangoni!
Teh teh teh teh!

Hapa Detroit tunakupa hi 5!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Boko haram heshima sana.

Mkuu wangu sijawahi kuwafananisha au kuwalinganisha Mohamed Said na Nguruvi3 hata siku moja labda utakuwa umenisoma ndivyo sivyo.Mo ni mzee wa gerezani maandishi yake yamejikita zaidi katika siasa za Dar na vitongoji vyake hasa hasa Gerezani akienda mbali hujikita kwenye box la dini ukimwondoa katika viwanja hivyo hana tofauti na kipofu.Nguruvi3 ni mwanajamvi mwenye uwezo wa hali ya juu sana wa kuchambua masuala mbali mbali kuanzia uchumi,siasa,utamaduni na ........Ni wazi hawa ni watu wawili wasiofanana majina wala mitazamo.Unaweza kuunga mkono hoja za Mo upendavyo lakini mwisho wa siku hata nafsi yako inajua fikra zake zikifuatwa hakika Tanzania na Afrika Mashariki haitobaki salama.Kila mara hoja za Mo zimejikita katika utengano sijawahi kusoma maandishi ya Mo yenye kuunganisha jamii ya waTanzania dhidi ya uporaji wa rasilimali zake kama dhahabu,Tanzanite,gesi,ardhi,misitu na nk.Hichi ndicho kilio cha waTanzania wenye akili nzuri,wenye kufahamu uporaji wa rasilimali zetu ni sababu kubwa ya umasikini ambao hauchagui wala haubagui dini,kabila au ukanda wa mtu.Ni ujinga wa hali ya juu Tanzania ya leo tukiamua kuegemea udini au ukabila na kuacha mambo ya maana yanayoamua mstakali wetu wa leo na vizazi vijavyo.
Sikumjibu Boko haram kwasababu nilishindwa kujua nianzie wapi. Ajsante kwa kuweka vema hoja hiyo.
Kwanza sipo hapa kubishana nipo kueleza kile ninachokifahamu. Mada imegeuzwa na kuwa mimi lakini nashukuru kwasababu hoja zangu zinasimama wima dhidi ya matusi na kejeli tena kwa kutumia dini! inasikitisha.

Mimi sifafanani kwa wajihi na maudhui na MS kwa namna yoyote. Boko haram hakunitendea haki kwasababu najisikia vibaya nikiwekwa katika daraja la MS. Tofauti na MS nina uwezo wa kujadili anachokijua tena kwa mantiki na hoja.
Anafahamu hili vema. Yeye hana uwezo wa kujadili ninayoyajua, huu ni ukweli. Nikimwalika huko kwenye eneo langu, si kuwa hataweza kuchangia bali hata kutamka baadhi ya maeneno hataweza.

Boko ananifafanishaje na mtu asiyeelewa hata basic and simple statistic! Mtu asiweza kuongelea lolote kuhusu economy! socialogy, psychology or simple analysis of the world geopolitical sphere
Lakini tofauti kubwa sana ni kuwa anaweza kuzunguka duniani akisema uongo! mimi siwezi.
 
Last edited by a moderator:
Sadakta ya al habib Tayeb !
Maneno yako yanaweza mtoa nyoka pangoni!
Teh teh teh teh!

Hapa Detroit tunakupa hi 5!!

Shukran Dr kahtaan,

Hawa watu watafahamu tu, japo kua wamejawa na mbigiri kwenye makalio yao!

Tehe tehe tehe!

Tafadhali nisalimie ndugu zangu hapo Detroit!
 
Last edited by a moderator:
Matusi utakuwa umetukana wewe... hayo masanamu unayosema wewe mimi huwa siyaamini usifikiri kila mpenda Yesu ni Mkatoliki... mimi ni tofauti kabisa Msabato hutuweki sanamu wala mfano wa aina hiyo... so hilo Darsa lako kampe Pengo...

Nafahamu Nywele ni Fahari ya Mume kwani ndie anayepaswa kuziona Nywele za Mkewe ila nyie kwenu Tanzania mpo tofauti sometimes mmevaa sometimes hamvai wakati mwingine sio kuvaa hata wakati wa joto kali kwani ki afya sidhani kama ni sawa... Nimetizama picha za huko kwa wenye dini yao sio wote wanaovaa ambao ni muslim pia

Pata darsa kidogo hapa kuhusu Hijab:

[h=1]Questions Commonly Asked by Non-Muslims -III : Hijab for Women[/h]
zakie.jpg
[h=3]By Dr. Zakir Naik[/h] There are many non-Muslims who have studied Islam. Most of them have only read books on Islam written by biased critics of Islam. These non-Muslims have a different set of twenty common misconceptions about Islam. For instance, they claim to have found contradictions in the Qur’an, they contend that the Qur’an is unscientific etc. In this issue I shall deal with Hijab.
Question: Why does Islam degrade the women by keeping her in the veil?
Answer: The status of women in Islam is often the target of attacks in the secular media. The ‘hijab’ or the Islamic dress is cited by many as an example of the ‘subjugation’ of women under Islamic law. Before we analyse the reasoning behind the religiously mandated ‘hijab’, let us first study the status of women in societies before the advent of Islam
[h=3]I. In the past women were degraded and used as objects of lust[/h] The following examples from history amply illustrate the fact that the status of women in earlier civilizations was very low to the extent that they were denied basic human dignity:
[h=4]1. Babylonian civilization[/h] The women were degraded and were denied all rights under the Babylonian law. If a man murdered a woman, instead of him being punished, his wife was put to death.
[h=4]2. Greek civilization[/h] Greek civilization is considered the most glorious of all ancient civilizations. Under this very ‘glorious’ system, women were deprived of all rights and were looked down upon. In Greek mythology, an ‘imaginary woman’ called ‘Pandora’ is the root cause of misfortune of human beings. The Greeks considered women to be subhuman and inferior to men. Though chastity of women was precious, and women were held in high esteem, the Greeks were later overwhelmed by ego and sexual perversions. Prostitution became a regular practice amongst all classes of Greek society.
[h=4]3. Roman civilization[/h] When Roman civilization was at the zenith of its ‘glory’, a man even had the right to take the life of his wife. Prostitution and nudity were common amongst the Romans.
[h=4]4. Egyptian civilization[/h] The Egyptian considered women evil and as a sign of a devil.
[h=4]5. Pre-Islamic Arabia [/h] Before Islam spread in Arabia, the Arabs looked down upon the women and very often when a female was born she was buried alive.
[h=3]II. Islam uplifted women and gave them equality and expects them to maintain their status.[/h] Islam uplifted the status of women and granted them their just rights 1400 years ago. Islam expects women to maintain their status.
[h=4]Hijab for men[/h] People usually only discuss ‘hijab’ in the context of women only. However, in the Glorious Qur’an, Allah (swt) first mentions ‘hijab’ for men before ‘hijab’ for the women. The Qur’an mentions in Surah Al Noor: “Say to the believing men that they should lower their gaze and guard their modesty: that will make for greater purity for them: and Allah is well acquainted with all that they do.” [Al-Qur’an 24:30]
The moment a man looks at a woman and if any brazen or unashamed thought comes to his mind, he should lower his gaze.
[h=4]Hijab for women.[/h] The next verse of Surah Noor, says: “ And say to the believing women that they should lower their gaze and guard their modesty; that they should not display their beauty and ornaments except what (must ordinarily) appear thereof; that they should draw veils over their bosoms and not display their beauty except to their husbands, their fathers, their husbands’ fathers, their sons, their husbands’ sons, their brothers or their brothers’ sons, or their sisters’ sons, or their women, or the slaves whom their right hands possess, or male servants free of physical needs, or small children who have no sense of the shame of sex; and that they should not strike their feet in order to draw attention to their hidden ornaments. And O ye believers! Turn ye all together towards Allah, that ye may attain Bliss.” [Al-Qur’an 24:31]
[h=3]III. Six criteria for Hijab.[/h] According to Qur’an and Sunnah there are basically six criteria for observing hijab:
[h=4]i. Extent[/h] The first criterion is the extent of the body that should be covered. This is different for men and women. The extent of covering obligatory on the male is to cover the body at least from the navel to the knees. For women, the obligatory level of covering is to cover the whole body except the face and the hands upto the wrist. If they wish to, they can cover even these parts of the body. Some scholars of Islam insist that the face and the hands are part of the obligatory extent of ‘hijab’. All the remaining five criteria are the same for men and women.
[h=4]ii. Should not reveal figure.[/h] The second criterion is that the clothes they wear should be loose and should not reveal the figure.
[h=4]iii. Should not be transparent.[/h] The third criterion is that the clothes they wear should not be transparent such that one can see through them.
[h=4]iv. Not attract opposite sex.[/h] The clothes they wear should be not be so glamorous as to attract the opposite sex.
[h=4]v. Should not resemble the clothes of the opposite sex.[/h] The fifth criterion is that the clothes they wear should not resemble that of the opposite sex.
[h=3]vi. Should not resemble the clothes of the unbelievers.[/h] The clothes they wear should not resemble that of the unbelievers i.e. they should not wear clothes that are specifically identities or symbols of the unbelievers’ religions.
[h=4]IV. Hijab includes conduct and behaviour among other things[/h] Complete ‘hijab’, besides the six criteria of clothing, also includes the moral conduct, behaviour, attitude and intention of the individual. A person only fulfilling the criteria of ‘hijab’ of the clothes is observing ‘hijab’ in a limited sense. ‘Hijab’ of the clothes should be accompanied by ‘hijab’ of the eyes, ‘hijab’ of the heart, ‘hijab’ of thought and ‘hijab’ of intention. It also includes the way a person walks, the way a person talks, the way he behaves etc.
[h=4]V. Hijab prevents molestation[/h] The reason why Hijab is prescribed for women is mentioned in the Qur’an in the following verse of Surah Al-Ahzab: “O Prophet! Tell thy wives and daughters, and the believing women that they should cast their outer garments over their persons (when abroad); that is most convenient, that they should be known (as such) and not molested. And Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful.” [Al-Qur’an 33:59]
The Qur’an says that Hijab has been prescribed for the women so that they are recognized as modest women and this will also prevent them from being molested.
[h=4]VI. Example of twin sisters[/h] Suppose two sisters who are twins, and who are equally beautiful, walk down the street. One of them is attired in the Islamic hijab i.e. the whole body is covered, except for the face and the hands up to the wrists. The other sister is wearing western clothes, a skirt or a mini. Just around the corner there is a hooligan or ruffian who is waiting for a catch, to tease a girl. Whom will he tease? The girl wearing the Islamic Hijab or the girl wearing the skirt or the mini? Naturally he will tease the girl wearing the skirt or the mini. Such dresses are an indirect invitation to the opposite sex for teasing and molestation. The Qur’an rightly says that hijab prevents the women from being molested.
[h=4]VII. Capital punishment for rapist[/h] Under the Islamic Shariah a man convicted of having raped a woman, is given capital punishment. Many are astonished at this ‘harsh’ sentence. Some even say that Islam is a ruthless, and barbaric religion! I have asked a simple question to hundreds of non-Muslim men. Suppose, God forbid, someone rapes your wife, your mother or your sister. You are made the judge and the rapist is brought in front of you. What punishment would you give him? All of them said they would put him to death. Some went to the extent of saying they would torture him to death. To them I ask, if someone rapes your wife or your mother you want to put him to death. But if the same crime is committed on somebody else’s wife or daughter you say capital punishment is barbaric. Why the double standards?
[h=4]VIII. Western society falsely claims to have uplifted women[/h] Western talk of women’s liberalization is nothing but a disguised form of exploitation of her body, degradation of her soul, and deprivation of her honour. Western society claims to have ‘uplifted’ women. On the contrary it has actually degraded them to the status of concubines, mistresses and society butterflies who are employed as mere tools at the hands of pleasure seekers and sex marketeers hidden behind the colourful screen of ‘art’ and ‘culture’.
[h=4]IX. USA has one of the highest rates of rape[/h] United States of America is supposed to be one of the most advanced countries of the world. It also has one of the highest rates of rape of any country in the world. According to an FBI report, in the year 1990, every day on an average 1756 cases of rape were committed in U.S.A alone. Later another report said that on an average everyday 1900 cases of rapes are committed in USA. The year was not mentioned. May be it was 1992 or 1993. May be the Americans got ‘bolder’ in the following years.
Consider a scenario where the Islamic hijab is followed in America. Whenever a man looks at a woman and any brazen or unashamed thought comes to his mind, he lowers his gaze. Every woman wears the Islamic hijab, that is the whole body is covered except the face and the hands upto the wrist. After this if any man commits rape he is given capital punishment. I ask you, in such a scenario, will the rate of rape in America increase, will it remain the same, or will it decrease?
[h=4]X. Implementation of Islamic Shariah will reduce the rate of rapes.[/h] Naturally as soon as Islamic Shariah is implemented positive results will be inevitable. If Islamic Shariah is implemented in any part of the world, whether it is America or Europe, society will breath easier. Hijab does not degrade a woman but uplifts a woman and protects her modesty and chastity.

Source: Islamic Voice

Kama hujaridhika nieleze, ntarudi kukuongezea darsa.
 
Huwa unaandika pumba nyingi ili kuficha mchele ulio enguliwa.

Inawezekana wewe ni mtu ambae ili mradi ubishe kwa kuwa inakuuma kuona "kundi fulani" lina historia. Hilo "kundi fulani" kwanini kinakushinda kusema ni Waislaam? usiogope.

Tazama hizi historia za Mataifa makubwa, hawaogopi kuziandika na kuzisoma historia za "kundi fulani", kulikoni leo kwako iwe mwao kwa Tanganyika aka Tanzania tu?

1) Islam in America

2) BBC - Religions - Islam: History of Islam in the UK

3) Muslims in China - History of Islam in China

5) History of Islam in Russia | IslamDag.info

6) France and Islam from 732 AD to the 21 Century

7) History of Islam in Kenya

8) Islam in Ghana | Islam Story - Supervised by Dr. Ragheb Elsergany

9) How Islam Spread in India | Lost Islamic History

10) ISLAM AND POLITICS IN TANZANIA

Huna pakukwepa Historia ya Uislaam kokote uendapo, nakuona wa ajabu sana ikiwa roho inakuuma inapoandikwa historia ya Uislaam na Waislaam wa Tanganyika /Tanzania.

Sijui kwanini roho ikuume kiasi hicho. Au unaumia zaidi unaposoma kuwa Nyerere alikuta watu tayari wako kwenye harakati na hata jina la TANU hakutunga yeye na lilikuwepo kabla ya ujio wake Dar?
Historia ya Uislam ni tofauti na historia ya Waislam. Jamani lazima muelewe kuwa Uislam ni dini. Wanaofuata Uislam ndio wanaitwa Waislam, lakini je kila Muislam anaufuata Uislam? Unaweza kujiita Muislam lakini hufuati maadili, taratibu na sheria za Uislam.

Hapa hatuongelei Uislam kama dini, tunaongelea Waislam wa Tanganyika wanaosingiziwa kupigania uhuru kwasababu ya dini. Wanasingiziwa kwasababu hakuna mahali popote(Mohamed mentor wenu) aje athibitishe hapa,hakuna mahali popote palipo na nyaraka zikionyesha walifanya hivyo kwa ajili ya dini.

Zipo nyaraka zikionyesha Watanganyika wakiwa na imani zao wakiwemo waislam walipigania uhuru kumkomboa Mwafirka.Ushahidi huo upo. Hivyo Msiwazingizie kitu walichoshiriki na wenzao kwa nia ya kujikomboa mkakigeuza kwa namna mnayotaka ninyi.

Hakuna nyaraka inayoonyesha kuwa Nyerere alikuta jina la TANU officially zaidi ya masimulizi.
Upo ushahidi usio na shaka kuwa Nyerere aliandika katiba TAA jambo ambalo halikuwahi kufanyika huko nyuma.
 
Sikumjibu Boko haram kwasababu nilishindwa kujua nianzie wapi. Ajsante kwa kuweka vema hoja hiyo.
Kwanza sipo hapa kubishana nipo kueleza kile ninachokifahamu. Mada imegeuzwa na kuwa mimi lakini nashukuru kwasababu hoja zangu zinasimama wima dhidi ya matusi na kejeli tena kwa kutumia dini! inasikitisha.

Mimi sifafanani kwa wajihi na maudhui na MS kwa namna yoyote. Boko haram hakunitendea haki kwasababu najisikia vibaya nikiwekwa katika daraja la MS. Tofauti na MS nina uwezo wa kujadili anachokijua tena kwa mantiki na hoja.
Anafahamu hili vema. Yeye hana uwezo wa kujadili ninayoyajua, huu ni ukweli. Nikimwalika huko kwenye eneo langu, si kuwa hataweza kuchangia bali hata kutamka baadhi ya maeneno hataweza.

Boko ananifafanishaje na mtu asiyeelewa hata basic and simple statistic! Mtu asiweza kuongelea lolote kuhusu economy! socialogy, psychology or simple analysis of the world geopolitical sphere
Lakini tofauti kubwa sana ni kuwa anaweza kuzunguka duniani akisema uongo! mimi siwezi.

Ala,
Ndiyo nazinduka sasa.

Kumbe mie ni mbumbumbu...
Ikiwa ni hivyo basi hata hivyo vyuo vinavyonialika navyo vina maprofesa mbumbumbu.

Iweje wasomi watoe fedha kumwalika mtu ambae si lolote si chochote wakaenae
kumsikiliza wanafunzi na walimu wao...tena mabingwa wa African History duniani
Nortwestern University, Evaston USA.

Anaujua mchujo wa kualika scholars kuja Marekani?

Asiyejua statistic! au statistics?

Mwenye akili ni yeye anetamba JF.
Huu ndiyo uwanja wake wa ''geopolitical sphere.''

Hawezi kubanduka nje ya hapo.
Ikifungiwa JF na yeye kazikwa.

Amesema kweli mie na yeye tunatofauti kubwa kati yetu.
Hajapatapo kusema kweli kama hii leo.

Haya yote kasema kajificha nyuma ya jina bandia hathubutu
kujionyesha kama Mohamed Said.

Thubutu...
Yataka mtu jasiri asiyeogopa binadamu.

Achukue changamoto hii kama yeye kweli ni jasiri anajiamini na ''statistic.''
Nacheka peke yangu.
 
Sikumjibu Boko haram kwasababu nilishindwa kujua nianzie wapi. Ajsante kwa kuweka vema hoja hiyo.
Kwanza sipo hapa kubishana nipo kueleza kile ninachokifahamu. Mada imegeuzwa na kuwa mimi lakini nashukuru kwasababu hoja zangu zinasimama wima dhidi ya matusi na kejeli tena kwa kutumia dini! inasikitisha.

Mimi sifafanani kwa wajihi na maudhui na MS kwa namna yoyote. Boko haram hakunitendea haki kwasababu najisikia vibaya nikiwekwa katika daraja la MS. Tofauti na MS nina uwezo wa kujadili anachokijua tena kwa mantiki na hoja.
Anafahamu hili vema. Yeye hana uwezo wa kujadili ninayoyajua, huu ni ukweli. Nikimwalika huko kwenye eneo langu, si kuwa hataweza kuchangia bali hata kutamka baadhi ya maeneno hataweza.

Boko ananifafanishaje na mtu asiyeelewa hata basic and simple statistic! Mtu asiweza kuongelea lolote kuhusu economy! socialogy, psychology or simple analysis of the world geopolitical sphere
Lakini tofauti kubwa sana ni kuwa anaweza kuzunguka duniani akisema uongo! mimi siwezi.

Hapa ndipo unapo tumaliza kabisa!
Wanasema waungwana "ajisifiaye hana soko!" Ngoma upige wewe halafu kucheza ucheze mwenyewe!

We ujilinganishe na Mohamed said kwa kitu gani cha maana??
Huyo unaejaribu kusema wewe ni bora!
Anafahamika KIMATAIFA! mpaka huko kweny Google unamkuta kila mahali!
Tanzania hio nani msomi gani asiye mfahamu??

Kiasi gani cha wana forum Wakristo kwa wapagani waliotokea kua appreciate michango ya Mohamed Said ktk Fani ya uandishi!?
Watatu? Watano? . Kumi? Hamsini? Mia?
Huwezi kuhesabu!

Haya wewe kauka nikuvae! Zaidi ya hao mbulula wawili wenye 22% IQ ! nani mwingine anakujua wewe?

Eti unanikosea kunifananisha na MS!! Huna haya wewe??

We shukuru kuna jukwaa la bure kama hili! Atleast unaweza kupata ma mbulula wawili watatu wasio na elimu wakakutambua!
La si hivyo! Wewe na yale mawe ya brbrni msingekuwa tofauti!

Ahsanta.
 
Last edited by a moderator:
Historia ya Uislam ni tofauti na historia ya Waislam. Jamani lazima muelewe kuwa Uislam ni dini. Wanaofuata Uislam ndio wanaitwa Waislam, lakini je kila Muislam anaufuata Uislam? Unaweza kujiita Muislam lakini hufuati maadili, taratibu na sheria za Uislam.

Hapa hatuongelei Uislam kama dini, tunaongelea Waislam wa Tanganyika wanaosingiziwa kupigania uhuru kwasababu ya dini. Wanasingiziwa kwasababu hakuna mahali popote(Mohamed mentor wenu) aje athibitishe hapa,hakuna mahali popote palipo na nyaraka zikionyesha walifanya hivyo kwa ajili ya dini.

Zipo nyaraka zikionyesha Watanganyika wakiwa na imani zao wakiwemo waislam walipigania uhuru kumkomboa Mwafirka.Ushahidi huo upo. Hivyo Msiwazingizie kitu walichoshiriki na wenzao kwa nia ya kujikomboa mkakigeuza kwa namna mnayotaka ninyi.

Hakuna nyaraka inayoonyesha kuwa Nyerere alikuta jina la TANU officially zaidi ya masimulizi.
Upo ushahidi usio na shaka kuwa Nyerere aliandika katiba TAA jambo ambalo halikuwahi kufanyika huko nyuma.

Hapa hatuko katika ubishi wa Uislaam na Muislaam, wacha kutafuta pakutokea. Hapa tunaongelea Historia ya Waislaam wa Tanzania. Na ujuwe kuwa bila Uislaam hakuna Muislaam. Na huna hadhi ya kumsulubu Muislaam yeyote kuwa si Muislaam kwa sababu tu eti hafuati sheria.

Kumbuka "sharia" na si sheria kama utakavyo, hairuhusu mtu yeyote kumtoa mtu kwenye Uislaam kwa kauli tu eti "hafati Uislaam" basi keshakuwa siyo Muislaam.

Fikra hizo ni upuuzi wako wa kufikirika na bila kujuwa ukisemacho.

Rudi kwenye mada, mada haiko katika kuchambuwa nani ni Muislaam na nani si Muislaam na wala haipo kuchambuwa nani Mkristo na nani si Mkristo.

Unajaribu kufanya kila hila kuutowa huu mnakasha na kuupeleka usipo lakini hutoweza.

Kwa ufupi, Nyerere si muasisi wa TANU wala jina la TANU hakulitowa yeye, wala hakuanzisha harakati za Uhuru, alikuta tayari watu wana vyama na wakamkaribisha kama walivyokaribishwa wengine. Hao waliomkaribisha Dar kina nani? aliishi wapi? alikula wapi? alivaa nini?, hayo yote hutaki kuamini kuwa ni Waislaam ndio waliyafanya kwa Uislaam wao?
 
Matusi utakuwa umetukana wewe... hayo masanamu unayosema wewe mimi huwa siyaamini usifikiri kila mpenda Yesu ni Mkatoliki... mimi ni tofauti kabisa Msabato hutuweki sanamu wala mfano wa aina hiyo... so hilo Darsa lako kampe Pengo...

Sasa mbona unawatukana wakina Mag3 na Nguruvi3 ambao ni wakristo wenzio!

Tehe tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndipo unapo tumaliza kabisa!
Wanasema waungwana "ajisifiaye hana soko!" Ngoma upige wewe halafu kucheza ucheze mwenyewe!

We ujilinganishe na Mohamed said kwa kitu gani cha maana??
Huyo unaejaribu kusema wewe ni bora!Anafahamika KIMATAIFA! mpaka huko kweny Google unamkuta kila mahali!
Tanzania hio nani msomi gani asiye mfahamu??

Kiasi gani cha wana forum Wakristo kwa wapagani waliotokea kua appreciate michango ya Mohamed Said ktk Fani ya uandishi!?Watatu? Watano? . Kumi? Hamsini? Mia?Huwezi kuhesabu!

Haya wewe kauka nikuvae! Zaidi ya hao mbulula wawili wenye 22% IQ ! nani mwingine anakujua wewe?
Eti unanikosea kunifananisha na MS!! Huna haya wewe??We shukuru kuna jukwaa la bure kama hili! Atleast unaweza kupata ma mbulula wawili watatu wasio na elimu wakakutambua!
La si hivyo! Wewe na yale mawe ya brbrni msingekuwa tofauti! Ahsanta.
Laiti ungelijua!!!!
Kahtaan unaweza kujenga hoja bila kutukana. Kutukana kuna punguza kama si kuondoa nguvu ya hoja zako.
Hakuna gharama ya kulipa ili kuwa muungwana, lakini ipo gharama kama utauhalifu uungwana.

Kuhusu google, nimejaribu ku-google nikapata habari za Mohamed Said. Nilipoendelea nikapata habari za marehemu Kanumba, Ney wa Mitego na Wema Sepetu. Google ina mambo mengi siyo yard stick ya achievement.

Hiyo IQ ya 22% isingeweza kumfundisha Mohamed Said statistic na zinatafsiriwa vipi. Ni ndogo lakini inanisadia kuweka mkate mezani, kwangu ni kubwa! na IQ hatuuumbi sisi wanadamu anaumba mwenyezi mungu kama alivyowapa watu karama za aina mbali mbali. Hilo lisikupe tabu ndugu yangu.
 
Sasa mbona unawatukana wakina Mag3 na Nguruvi3 ambao ni wakristo wenzio!
Tehe tehe tehe!
Hapana almaarufu Tayeb. Mimi sidhihaki imani ya mtu. Nikipta nikaona mtu chini ya mbuyu anatekeleza imani yake nitapita bila kumbughudhi. Nikikumona mtu anaabudu ng'ombe sitamsemea neno.
Imani ni jambo la mtu binafsi ndio maana limekuwa siri kati ya anayelitekeleza na anyayetekelezewa.
Tuheshimu imani za watu maana ukizunguka dunia hii utashangaa. Dunia ina mengi muhimu ni kutoa nafasi kwa kila mmoja kutenda atendalo bila kumuathiri mwingine.
 
Historia ya Uislam ni tofauti na historia ya Waislam. Jamani lazima muelewe kuwa Uislam ni dini. Wanaofuata Uislam ndio wanaitwa Waislam, lakini je kila Muislam anaufuata Uislam? Unaweza kujiita Muislam lakini hufuati maadili, taratibu na sheria za Uislam.

Hapa hatuongelei Uislam kama dini, tunaongelea Waislam wa Tanganyika wanaosingiziwa kupigania uhuru kwasababu ya dini. Wanasingiziwa kwasababu hakuna mahali popote(Mohamed mentor wenu) aje athibitishe hapa,hakuna mahali popote palipo na nyaraka zikionyesha walifanya hivyo kwa ajili ya dini.

Zipo nyaraka zikionyesha Watanganyika wakiwa na imani zao wakiwemo waislam walipigania uhuru kumkomboa Mwafirka.Ushahidi huo upo. Hivyo Msiwazingizie kitu walichoshiriki na wenzao kwa nia ya kujikomboa mkakigeuza kwa namna mnayotaka ninyi.

Hakuna nyaraka inayoonyesha kuwa Nyerere alikuta jina la TANU officially zaidi ya masimulizi.
Upo ushahidi usio na shaka kuwa Nyerere aliandika katiba TAA jambo ambalo halikuwahi kufanyika huko nyuma.
Hii nayo sijui umeipata wapi anayefuata Uislam ndiyo Muislam.

Nguruvi3. Teach yourself Islam every Christian should know about Islam.

Mtu yeyote atakaye tamka shahada basi huyu ni Muislam kutokufuata kweke Uislam wala hakumtoi kwenye Uislam.

Ukishakuwa Muislam kisha ukajipinda kwa Allah kwa ajili ya kufanya ibada na kumcha yeye basi unaingia kwenye "darja" la Muhumini.
 
Last edited by a moderator:
Sijasoma popote unapoelezea historia ya wazee wetu Watanganyika, maandishi yako yote ni ya kupandikiza chuki katika jamii kwa kwa mgongo wa dini, period. Huna tofauti na hao wauaji wa Nairobi who took turns to pray, removing shoes to perform the ritual washing in a room stacked with boxes and bowed down in Islamic prayer, taking a break from incessant gunfire.

Narudia tena, tatizo si dini...ni watu kama wewe Sheikh Mohamed Said, mnaotumia kivuli cha dini kutenda maovu yenu.

Huu uongo hauchoki kuuhubiri? Santuri hii imechuja ndugu yangu. Mwaka 1950 hakuna kitu kiliitwa TANU, kilichokuwepo kiliitwa TAA chini ya uongozi shupavu wa Dr. Vedasto Kyaruzi. TANU iliundwa mwaka 1954 baada ya Julius Nyerere kuchaguliwa kuwa Raisi wa TAA na kumshinda mpinzani wake Abdulwahid Sykes katika uchaguzi ambao wajumbe wake wengi walikuwa ni watu wa Dar es Salaam.

Kuchuja si kweli.
Juzi nimetoka Nairobi kwa mwaliko wa Wafaransa na Waingereza
na mada nimeiweka hapa jamvini.

Mada hii haijachusha ila wewe inakutisha.

Inawezekana kabisa wako wengi kama wewe wanaamini TANU ilizuka
mwaka 1954.

Hakuna ubaya kuamini hivyo.
Muhimu ni kuwa na ustahamilivu wa kusikiza lile ambalo hulijui.

TANU ikizungumzwa toka 1945 kule Burma na 1950 ikitajwa sana na
TAA Political Subcommittee.

Abdu nimeeleza hapa kaizungumza TANU na Chief Kidaha 1950.
Tuishie hapa.

Dk. Vedasto Kyaruzi...
Nakuona unapenda sana kumtaja.

Ni jambo zuri lakini unashindwa kumkamilishia historia yake.
Ukimtaja Dk. Kyaruzi huna budi umtaje na Schneider Abdillah
Plantan katika uchaguzi wa TAA wa 1950.

Ukifanya hivyo ndiyo utaipata vizuri historia ya TANU.
Mie hawa ni wazee wangu nawajua vizuri sana wao na maisha yao.

Nyerere hakuandika katiba ya TANU.
Katiba ya TANU ilinyambuliwa kutoka katiba Convention Peoples
Party ya Nkrumah.

Ukipenda tunaweza kuendelea kubadilishana taarifa za watu hawa na
historia ya TANU.

Mengine ya uchaguzi wa Abdu na Nyerere nimeona hapana haja ya mie
kujibizana na wewe kwa kuwa hujui chochote katika hilo.

Uchaguzi ule ukiutaka ujue undani wake sharti ujue na historia ya
TAA Political Subcommittee.

Ukiutaja uchaguzi ule lazima umtaje Denis Phombeah kama vile ulivyokuwa
hujui habari za Schneider Plantan.

Hawa watu wakifahamiana na baba yangu toka ujana wao na baba yangu haya
yote kayaona kwa macho yake.
 
Al akhy polite huyu mtu achana nae mwenyezi mungu anasema ukimuona mtu anabishana na wewe mambo ya dini halafu anatukana achana nae mwisho mtaingia kwenye kufru

Al akhy boko.waleykum salaam.sikuwepo jf.nimeingia na kuanzia kule kwa pengo.nimekuelewa nimeachana nae.
 
Back
Top Bottom