Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Watu ni wadini kwelikweli.. Kuna watu wanawashwa sana taifa hili likiwa la Ukristu, Na wengine wanawashwa liwe la kiislam.. Kwendenizenu wazandiki wakubwa nyie..angalieni Jografia ya Dunia, yapo mataifa mengi tu yanaexercise full religion regime .. Nendeni huko mkakunwe hamu zenu Tuachieni Taifa letu. Hii ni Tanzania Na sisi Ndo watanzania wenyewe

Kidumu Chama Cha Amani..
 
hakuna mtu anayemshawishi mtu awe mkristu au mwislam.Tunaelimishana michango ya wazee wetu katika historia ya Tanzania.Isipotambuliwa nasi nani atakayeitambua.
Ni bora ungeleta udhibitisho wa hayo
uliyoandika hapo juu
 
Hapa hatuko katika ubishi wa Uislaam na Muislaam, wacha kutafuta pakutokea. Hapa tunaongelea Historia ya Waislaam wa Tanzania. Na ujuwe kuwa bila Uislaam hakuna Muislaam.

Na huna hadhi ya kumsulubu Muislaam yeyote kuwa si Muislaam kwa sababu tu eti hafuati sheria.

Kumbuka "sharia" na si sheria kama utakavyo, hairuhusu mtu yeyote kumtoa mtu kwenye Uislaam kwa kauli tu eti "hafati Uislaam" basi keshakuwa siyo Muislaam.

Fikra hizo ni upuuzi wako wa kufikirika na bila kujuwa ukisemacho.

Rudi kwenye mada, mada haiko katika kuchambuwa nani ni Muislaam na nani si Muislaam na wala haipo kuchambuwa nani Mkristo na nani si Mkristo.

Unajaribu kufanya kila hila kuutowa huu mnakasha na kuupeleka usipo lakini hutoweza.

Kwa ufupi, Nyerere si muasisi wa TANU wala jina la TANU hakulitowa yeye, wala hakuanzisha harakati za Uhuru, alikuta tayari watu wana vyama na wakamkaribisha kama walivyokaribishwa wengine.

Hao waliomkaribisha Dar kina nani? aliishi wapi? alikula wapi? alivaa nini?, hayo yote hutaki kuamini kuwa ni Waislaam ndio waliyafanya kwa Uislaam wao?
FF, Sheria ni kiswahili sharia ni kiarabu. Marehemu ni kiswahili marhum ni kiarabu. Kitabu ni kiswahili kitabi ni kiarabu.
Kamati ni kiswahili committee ni kiingiereza. Bureau ni kifaransa ofisi ni kiswahili na office ni kiingereza.
Hakuna kosa hapo.

Pili, hakika nakubaliana nawe kuwa bila Uislam hakuna Waislam, lakini Uislam upo tu hata bila waislam.

Tatu, kama nisivyo na haki ya kumsulubu mtu kuwa si Mwislam, hilo nalo liwe jibu kwenu nyote mnaosema BAKWATA ni makafir. Mimi sina haki hiyo na wala sihitaji kwasababu si haki wala mamlaka yangu, nilichoshangaa ninyi mumepata haki hiyo wapi ya kuhukumu wenzenu kama Bakwata.

Nyerere ni Muasisi wa TANU kasema Mohamed Said na katoa orodha ya waasisi si mimi nisemaye. Hilo jina hakuna mahali penye nayaraka inayoeleza lilikuwepo kabla ya ya TANU, kilichopo ni hadithi taamu za inasemekana n.k kutoka kwa wasimulizi.

Harakati za Uhuru zimeanza miaka mingi. Wakati Sykes Mbuwane anakwenda kumshambulia Mkwawa kama mamluki wa Ujerumani tayari Mkwawa alikuwa anapigania uhuru. Kama tutaangalia uundwaji wa vyama mwanzilishi wake ni mtoa wazo Cecil Matola ambaye ni rais wa kwanza wa chama na si Sykes kama inavyosimuliwa.

Nyerere alikaribishwa DSM kama ilivyokuwa Tabora na wakazi wa miji hiyo. Kama ilitokea ni waislam ni jambo jema lakini alipofika pugu kama mwalimu alikuwa na nyumba yake, alikuwa amevaa nguo, alikuwa anakula n.k.
Watu wasiaminishwe alikuja uchi au alikuwa mitaani kama omba omba! no thank you

Ujio wake ulibadilisha siasa za nchi. Kwa miaka takirbani 30 hakuna aliyekuwa na utaratibu wa kuendesha chama kisomi.
Nyerere aliandika katiba ya chama na aliongoza kuelekea uhuru kwa muda mfupi sana wa chini ya miaka 12.
Ukweli huo hasemwi.

Ni jithada za wazee wetu wote bila kubagua zilizozaa matunda na si kikundi kinachosingiziwa
 
Kuchuja si kweli.
Juzi nimetoka Nairobi kwa mwaliko wa Wafaransa na Waingereza
na mada nimeiweka hapa jamvini.

Mada hii haijachusha ila wewe inakutisha.

Inawezekana kabisa wako wengi kama wewe wanaamini TANU ilizuka
mwaka 1954.

Hakuna ubaya kuamini hivyo.
Muhimu ni kuwa na ustahamilivu wa kusikiza lile ambalo hulijui.

TANU ikizungumzwa toka 1945 kule Burma na 1950 ikitajwa sana na
TAA Political Subcommittee.

Abdu nimeeleza hapa kaizungumza TANU na Chief Kidaha 1950.
Tuishie hapa.

Dk. Vedasto Kyaruzi...
Nakuona unapenda sana kumtaja.

Ni jambo zuri lakini unashindwa kumkamilishia historia yake.
Ukimtaja Dk. Kyaruzi huna budi umtaje na Schneider Abdillah
Plantan katika uchaguzi wa TAA wa 1950.

Ukifanya hivyo ndiyo utaipata vizuri historia ya TANU.
Mie hawa ni wazee wangu nawajua vizuri sana wao na maisha yao.

Nyerere hakuandika katiba ya TANU.
Katiba ya TANU ilinyambuliwa kutoka katiba Convention Peoples
Party ya Nkrumah.

Ukipenda tunaweza kuendelea kubadilishana taarifa za watu hawa na
historia ya TANU.

Mengine ya uchaguzi wa Abdu na Nyerere nimeona hapana haja ya mie
kujibizana na wewe kwa kuwa hujui chochote katika hilo.

Uchaguzi ule ukiutaka ujue undani wake sharti ujue na historia ya
TAA Political Subcommittee.

Ukiutaja uchaguzi ule lazima umtaje Denis Phombeah kama vile ulivyokuwa
hujui habari za Schneider Plantan.

Hawa watu wakifahamiana na baba yangu toka ujana wao na baba yangu haya
yote kayaona kwa macho yake.
Kwahiyo tukubali simulizi za baba yako tu mkiwa ukumbini kama facts.
Endapo Nyerere hakuandika katiba mbona hao waliomtangulia hawakuchua ya Nkurumah au kuwa na wazo la kufanya hivyo.

Hakuna nyaraka inayoonyesha jina limebuniwa Burma nami naweza sema jina lilibuniwa Kigamboni ikawa sawa.
 
Ala,
Ndiyo nazinduka sasa.

Kumbe mie ni mbumbumbu...
Ikiwa ni hivyo basi hata hivyo vyuo vinavyonialika navyo vina maprofesa mbumbumbu.

Iweje wasomi watoe fedha kumwalika mtu ambae si lolote si chochote wakaenae
kumsikiliza wanafunzi na walimu wao...tena mabingwa wa African History duniani
Nortwestern University, Evaston USA.

Anaujua mchujo wa kualika scholars kuja Marekani?

Asiyejua statistic! au statistics?

Mwenye akili ni yeye anetamba JF.
Huu ndiyo uwanja wake wa ''geopolitical sphere.''

Hawezi kubanduka nje ya hapo.
Ikifungiwa JF na yeye kazikwa.

Amesema kweli mie na yeye tunatofauti kubwa kati yetu.
Hajapatapo kusema kweli kama hii leo.

Haya yote kasema kajificha nyuma ya jina bandia hathubutu
kujionyesha kama Mohamed Said.

Thubutu...
Yataka mtu jasiri asiyeogopa binadamu.

Achukue changamoto hii kama yeye kweli ni jasiri anajiamini na ''statistic.''
Nacheka peke yangu.
Mohamed Said wewe huwezi kusoma kitu ninachozungumza katika meza hata kimoja.Period. Hivi unaweza kuzungumzia nini kuhusu geriatrics, limbic system, psychosomatic na jinsi vinavyohusiana na Alzhemia utajibu nini mzee wangu!

Ninasema hivi mzee Mohamed statistics(ahsante kwa masahihisho) zile basic kabisa hujui sasa tunawezaje kuongelea facts zinazohusiana na hilo.

Niliwahi kukuona umealikwa UDSM ATB kama watu wengine wanavyofanya.
 
][/COLOR]
Nyerere ni Muasisi wa TANU kasema Mohamed Said na katoa orodha ya waasisi
si mimi nisemaye. Hilo jina hakuna mahali penye nayaraka inayoeleza lilikuwepo kabla ya ya TANU, kilichopo ni hadithi taamu za inasemekana n.k kutoka kwa wasimulizi.

Kwanza rekebisha hiyo kauli, unaelezea Muasisi au Waasisi? unajichanganya au unafanya kusudi? Mohamed Said kaelezea muasisi au waasisi? njoo na nukuu ya Mohamed Said na usitake kutia maneno yako kinywani mwake. Mimi nakuwekea hapa nukuu ya Mohamed Said ambayo imo katika nyuzi hii hii, isome kisha ujione jinsi unavyojaribu kuchakachuwa:

Gombesugu,
Nyumba ile ile ya Abdu Sykes Mtaa wa Aggrey kona na Sikukuu,
varanda ile ile ambapo Abdu alikaa na Chief Kidaha kuijadili TANU
mwaka 1950 akaja Nyerere nyumba ile ile varanda ile ile Abdu
akaijadili TANU na Nyerere mwaka 1952.

Ikiwa hii ndiyo historia ya TANU iweje leo ikitajwa TANU na harakati
za uhuru atajwe Nyerere peke yake?

Iweje tuambiwe ati TANU iliundwa na Nyerere?
Maswali ni mengi sana.

Halafu hapa msome Nyerere mwenyewe na umkane:
Julius Kambarage Nyerere:Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).
Bla bla bla bla bla nyiiiingi kama kawaida yako ili kupoteza muelekeo, sitoingia kukusulubu katika hayo mengine kwa sasa bali ntakurudia kwa kila moja kwa wakati wake, hapa mimi ntakuwa nakundonyoa kidogo kidogo ili ukae kwenye mstari, na utakaa tu.
 
Kwahiyo tukubali simulizi za baba yako tu mkiwa ukumbini kama facts.
Endapo Nyerere hakuandika katiba mbona hao waliomtangulia hawakuchua ya Nkurumah au kuwa na wazo la kufanya hivyo.

Hakuna nyaraka inayoonyesha jina limebuniwa Burma nami naweza sema jina lilibuniwa Kigamboni ikawa sawa.
Nguruvi3.

Ni kweli hakuna nyaraka zozote inayoonyesha jina la TANU lilibuniwa Burma lakini Mwenyezi Mungu ni mkubwa alalijua hilo hebu chini hapa msome Nyerere mwenyewe kwenye hotuba yake ya kuwaaga wazee wa Dar es Salaam halafu tuambie wewe na Nyerere nani muongo na mzandiki kwenye hili.
Julius Kambarage Nyerere:Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).
Mlikuwa mnajua hakuna nyaraka zozote ziliandikwa kuhusu hili teh teh teh!!!! sasa maneno ya Nyerere anawavua nguo na tunayatumia kama Njiwa kula mtama wenu.
 
Mohamed Said wewe huwezi kusoma kitu ninachozungumza katika meza hata kimoja.Period. Hivi unaweza kuzungumzia nini kuhusu geriatrics, limbic system, psychosomatic na jinsi vinavyohusiana na Alzhemia utajibu nini mzee wangu!

Ninasema hivi mzee Mohamed statistics(ahsante kwa masahihisho) zile basic kabisa hujui sasa tunawezaje kuongelea facts zinazohusiana na hilo.

Niliwahi kukuona umealikwa UDSM ATB kama watu wengine wanavyofanya.

Ni vitabu gani ulivyoandika kuhusu hao vikongwe unaowashughulikia? ni vyuo vipi ulivyoalikwa kuongelea hao vikongwe wako uliotuletea na kujisifia hapo? Ni lini JF wakaongelea hayo matatizo ya vikongwe wakakunukuu wewe au ni wapi ulifunguwa nyuzi kuelezea hayo yakapata wafuasi kedekede kama zipatazo nyuzi za maudhui za Mohamed Said??

Wengi watadhani ni vitu vya maana ulivyoandika kumbe in uhudumu wa vituo vya kulelea vikongwe ndio una husika na hayo. Unanchekesha!
 
FF, Sheria ni kiswahili sharia ni kiarabu. Marehemu ni kiswahili marhum ni kiarabu. Kitabu ni kiswahili kitabi ni kiarabu.
Kamati ni kiswahili committee ni kiingiereza. Bureau ni kifaransa ofisi ni kiswahili na office ni kiingereza.
Hakuna kosa hapo.

Pili, hakika nakubaliana nawe kuwa bila Uislam hakuna Waislam, lakini Uislam upo tu hata bila waislam.

Tatu, kama nisivyo na haki ya kumsulubu mtu kuwa si Mwislam, hilo nalo liwe jibu kwenu nyote mnaosema BAKWATA ni makafir. Mimi sina haki hiyo na wala sihitaji kwasababu si haki wala mamlaka yangu, nilichoshangaa ninyi mumepata haki hiyo wapi ya kuhukumu wenzenu kama Bakwata.

Nyerere ni Muasisi wa TANU kasema Mohamed Said na katoa orodha ya waasisi si mimi nisemaye. Hilo jina hakuna mahali penye nayaraka inayoeleza lilikuwepo kabla ya ya TANU, kilichopo ni hadithi taamu za inasemekana n.k kutoka kwa wasimulizi.

Harakati za Uhuru zimeanza miaka mingi. Wakati Sykes Mbuwane anakwenda kumshambulia Mkwawa kama mamluki wa Ujerumani tayari Mkwawa alikuwa anapigania uhuru. Kama tutaangalia uundwaji wa vyama mwanzilishi wake ni mtoa wazo Cecil Matola ambaye ni rais wa kwanza wa chama na si Sykes kama inavyosimuliwa.

Nyerere alikaribishwa DSM kama ilivyokuwa Tabora na wakazi wa miji hiyo. Kama ilitokea ni waislam ni jambo jema lakini alipofika pugu kama mwalimu alikuwa na nyumba yake, alikuwa amevaa nguo, alikuwa anakula n.k.
Watu wasiaminishwe alikuja uchi au alikuwa mitaani kama omba omba! no thank you

Ujio wake ulibadilisha siasa za nchi. Kwa miaka takirbani 30 hakuna aliyekuwa na utaratibu wa kuendesha chama kisomi.
Nyerere aliandika katiba ya chama na aliongoza kuelekea uhuru kwa muda mfupi sana wa chini ya miaka 12.
Ukweli huo hasemwi.

Ni jithada za wazee wetu wote bila kubagua zilizozaa matunda na si kikundi kinachosingiziwa
Nguruvi3.

Uislam kama dini una misingi yake katika uongozi sijui kama unazijua sifa za kiongozi wa kiislam hebu soma hapa chini upate darsa kuhusu BAKWATA kwa nini Waislam wanawakataa.
Uongozi katika taasisi na Juimuiya za Kiislamu nao pia lazima uendane na mwenendo bora wa Kiislamu. Mathalani, Mwalimu wa Madrasa lazima awe mfano mwema kwa wanafunzi wake. Mwalimu huyu lazima atambue kuwa yeye ni msaidizi wa karibu wa malezi ya watoto baada ya wazazi wao.
Muda wote, Mwalimu huyu achunge mipaka ya Uislamu ili watoto wamuige yeye. Kwa kuwa yeye ni Mwalimu wa Qur'an, basi watoto lazima waathirike kwa mafunzo yake ya nadharia na vitendo. Kila wanachokisoma watoto lazima waone kikitekelezwa na Mwalimu.
Huo ndio ualimu wa Mtume (saw). Kinyume chake, ni bora hata Madrasa ifungwe kuliko kuwa na Mwalimu anayekiuka mwenendo wa Mtume (saw). Ni upuuzi kuwa na Madrasa ambayo Mwalimu wake ni mfuasi wa Ibilisi, anayefanya mambo ambayo yanamdhalilisha yeye mwenyewe, yanawadhalilisha walimu wenziwe wa Madrasa, Masheikh, Maustaadh na Waislamu kwa ujumla machoni mwa wasio Waislamu.
Ni jambo la aibu Mwalimu kupatikana na kashfa ya kubaka mwanafunzi. Tunasema huu si Uislamu bali ni uhuni, na tunaomba jamii imtambue huyo anayefanya hivyo kuwa ni mwovu kama waovu wengine. Ni nafsi yake iliyomtuma kufanya hivyo.
Walimu wa Kiislamu lazima wawe wasafi kimaadili popote wawapo. Siku zote watajwe na kuzungumzwa vizuri na watu. Lazima watambue kuwa wao ni hazina ya elimu ya Kiislamu na ni sehemu muhimu ya mabadiliko na mapinduzi ya Kijamii kwa misingi ya Kiislamu. Madrasa ndizo zinazoandaa akina baba na akina mama wa baadae wa Kiislamu, ndizo zinazoandaa maimamu wa baadae katika ngazi zote.

Mbali ya uongozi wa Madrasa, kuna uongozi wa Taasisi na jumuiya nyingine za Kiislamu. Viongozi katika jumuiya hizi lazima wawe vigezo vya mwenendo wa Kiislamu ili malengo ya Jumuiya zao yalingane na Uislamu.
Kuwa na Baraza au taasisi au Juimuia au shura au Kamati za Kiislamu ambazo viongozi wake wana upungufu wa sifa za Kiislamu hakutakuwa na maana. Kama vyombo hivi vinaundwa kwa malengo halisi ya Kiislamu, basi lazima viongozi wake wawe vigezo vya mwenendo wa Kiislamu.
Haipendezi kusikia kiongozi wa Chombo cha Kiislamu akitajwa kwa sifa mbaya za utapeli, uwongo, 'ujanja-ujanja', uchumia tumbo, changisha-changisha ya kutia tumboni, umimi, ubinafsi, fitna, chuki, majungu na kadhalika.
Kwa makundi ya harakati, mwenendo wa Kiislamu ndio lengo la kuunda makundi hayo. Nguvu kubwa ya mabadiliko au mageuzi yanayokusudiwa kuletwa na makundi hayo katika jamii iko upande wa maadili. Uchumi na mengioneyo ni nyenzo tu za kusaidia kujenga maadili.
Viongozi, katika makundi, lazima wawe mfano mwema wa uaminifu, uadilifu, ukweli, istiqama, hisia, saikolojia na kadhalika. Kwa ujumla, maongozi yao yazingatie mafundisho ya Qur'an kama yalivyotafsiriwa na Mtume (saw) kwa nadharia na vitendo.
Kwa ujumla hiyo ndiyo siri ya mafanikio ya harakati za Kiislamu. Ndiyo siri ya Mageuzi ya kijamii ambayo Mtume (saw) na Maswahaba waliyaleta katika dunia amb
apo athari zake zimetufikia hata sisi tuliokuja karne nyingi baada yao.
BAKWATA ni chombo kilichoanzishwa na Nyerere wala hakipo kwa kuwaendeleza Waislam ndiyo maana umeona nyie Wakirsto wote ndiyo watetezi wake wakubwa.
 
Laiti ungelijua!!!!
Kahtaan unaweza kujenga hoja bila kutukana. Kutukana kuna punguza kama si kuondoa nguvu ya hoja zako.
Hakuna gharama ya kulipa ili kuwa muungwana, lakini ipo gharama kama utauhalifu uungwana.

Kuhusu google, nimejaribu ku-google nikapata habari za Mohamed Said. Nilipoendelea nikapata habari za marehemu Kanumba, Ney wa Mitego na Wema Sepetu. Google ina mambo mengi siyo yard stick ya achievement.

Hiyo IQ ya 22% isingeweza kumfundisha Mohamed Said statistic na zinatafsiriwa vipi. Ni ndogo lakini inanisadia kuweka mkate mezani, kwangu ni kubwa! na IQ hatuuumbi sisi wanadamu anaumba mwenyezi mungu kama alivyowapa watu karama za aina mbali mbali. Hilo lisikupe tabu ndugu yangu.

KIjana unarudia kosa lile-lile ulilokwishapewa darsa na ukakiri. Vipi, umechanganyikiwa na "uper cut" moja tu?

Ni "statistics". Kuwa makini japo kidogo unajidhihirisha jinsi ulivyo mfinyu.
 
mkuu nguruvi3 usikate tamaa wape facts.. zenye logic
 
Sasa mbona unawatukana wakina Mag3 na Nguruvi3 ambao ni wakristo wenzio!

Tehe tehe tehe!

Dini au Imani zina utofauti kiasi kwani wengine wanaamini zaidi kitu fulani na mwingine anaona si sawa ndio maana kuna Madhehebu tofauti tofauti ya Wakristo wengine tunaamini Sabato ni Siku ya Saba ambayo ni Jumamosi na wengine hawaamini na kitabu tunachosoma ni kimoja.. hata kwa Nyie Waislam Kuna Shia,Sunni,Ismailia na Bohora hawa hata ukiwaweka Msikiti mmoja lazima fujo itokee na cha kushangaza Waislam wa hapa Bongo wengi hawajijui wapo dhehebu lipi kati ya hayo manne kuna wachache huwa najua ni Shia haswa Sheikh Hemed Jalala ila kwa Bakwata wana la kuwaeleza Watanzania weusi... wale weupe haswa wahindi wanajijua....
 
Ngoja nidadavue kiduchu mtama wa ndugu yetu Nguruvi3.
Nimesema ajitokeze mtu anithibitishie kuwa waliopigania uhuru wakiwa na majina ya kiislam wote walikuwa waislam! Hakuna aliyetokea kwasababu mnafahamu wazi kuwa kuitwa Hussein hakumfanyi mtu awe mwislam.
Mimi hapa nimeishajitokeza na kukwambia Waliopigania uhuru wengi walikuwa ni Waislam na ushahidi ninayo kama ukitaka nitakupa.
Nikaweka hoja za kwanini chuo cha Alharamaini kisiitwe Abdul Sykes, Cha Dodoma kisiitwe K.Kleist n.k. ili kuanza kuwaenzi kwanza kabla ya kwenda kwenye medani ya kitaifa. Charity begins at home.

Ukiita shule kwa jina la Al Farook ambalo ni jina la Kiarabu tu na pengine maana yake ni ndogo sana ukaacha kuita Mshume Kiyate highschool unajidhulumu kabla hujadhulumiwa.
Hii hoja yako ni dhaifu mno, hivi nani amekuambia sisi Waislam shida yetu ni majina? hii sijui umepata wapi kuwasemea Waislam na kuileta ukumbini na kuita hoja wakati umezuwa.
Nimewauliza, Nyerere amekufa miaka 14 leo hii.
Barbara ya Bagamoyo imepewa jina la Kibaki na kuua. Aliyefanya hivyo ni madiwani wa Dar, Mkuu wa mkoa wa Dar pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Kwasababu tu huwa hamna hoja ya maana mumeshindwa kuwa hold accountable wahusika mnatafuta jina la Nyerere kabuirini. Jk, Said Meshaki na madiwani wapo! kwanini mumtafute Nyerere kaburini. Waulizeni hao
.
Hii santuri yako inaendelea kupiga, nani kakuambia Waislam shida yao na majina ya barabara, teh teh teh!! huu mtama wako angalia usije kuungua na jua.
Mfumokristo ni dhana inayotengenezwa na Waislam wenyewe. Nitawaambia ukweli hata kama una umma.,
Leo watu wanasugu vichwa barbara zipewe majina!
Wenye akili wanasugua vichwa wafanye nini kuongeza shule, vyuo n.k.

Baada ya miaka 5 it's vicious circle kwasababu kuna mambo yanahitaji weledi. Huwezi kuwa Engineer au Daktari kwa kuteuliwa. Tutasikia wakilalamika JF mfumo kristo. Wamesahau kuwa hawakuwa na muda wa kupambana na mfumo, walitumia muda huo kujadili majina ya marehemu na kama yapewe mitaa! insane!
Nilikujibu huko nyuma lakini jibu langu ulilipita kasi taliweka tena hapa chini kukuonyesha kazi ya Mfumo Kristo kutoka kwa Nyerere, Masheikh wetu kufanyiwa unyama wewe unaona siyo sawa, na hawa Masheik walifungwa na Waislam wenyewe, Nguruvi3. kumtetea Nyerere kwenye dhurma dhidi ya Waislam ni sasa kiziba shimo la panya kwa mkate wa nyama.
Waislam wefanyiwa dhuruma nyingi sana wewe hauwezi kuziona wala kuzikubali sababu ya chuki zako dhidi ya Uislama. Hapa watu hawapo kwa ajili ya kumuongelea Mshume Kiyate peke yake ngoja tupanue mjadala kabla haujatumiwa PM.

Nyerere alishawakatama na kuwakeka vizuizini Masheikh wetu wengi watu tukijadili unasema tunalalamika hivi nyie Chadema mnalalamika kwa CCM kila siku.

Hawa ndiyo Masheikh walioteswa na Nyerere ambae wewe hautaki watu wamuongelee.

Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Sheikh Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Shariff Husseim Badawiy, Shariff Mwinyibaba, Shariff Adnan, Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdallah Mwamba, Sheikh Hashim Haji, Sheikh Nurdin Hussein, Sheikh Salum Abdalla Popo, Sheikh Mzee Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Mafta, Rajab Kiguu, na wengine wengi.

Sasa nadhani unaona mfumo kristo ulivyoanza ilikuwa baada ya uhuru.

Wewe endelea kuamini kwa Waislama wanalalamika tu.
Mnaposhinda katika internet mki entertain frustration za Mohamed Said kutokuwa meneja wa bandari, si tu hamuitendei haki jamii bali mnazidi kuidhalilisha.
Dhiaka na kejeri kama hizi zikijibiwa ipasavyo unakimbilia kalalamika umetukwanwa na kusema watu wanatumia lugha za matusi, siyo Uislam, wewe kwa akili yako unadhani watu hawana kazi wanashinda internet, hujui kila tunapokuwa ofisini, majumbani, barabarani, kote huko watu tuna access ya internet, labda tukuuliza kuna mtu alishawahi kukuomba umnunulie Bando.

Naona baada mtama kukuishia akaamua kutafuta ufuta, mambo ya kazi ya Sheikh Mohamed Said. na bandari yamekujane tena, teh teh teh!!.
Huwezi kujadili nyuzi nzima kuhusu stupid and trivial thing halafu uka depict positive image ya society. Frustration za MS si tatizo la kitaifa ni tatizo lake, you guys you're easily drawn in.
Mnashindwa kujibu hoja kwasababu you've been drawn in like chicken.
Wake up!
Teh teh teh!!! naona unazidi kumwanga mtama wako, hivi hoja gani tumeshindwa zaidi ya haya matusi yako, Nguruvi3 yunasubiri umwage mtama wako.
 
mkuu nguruvi3 usikate tamaa wape facts.. zenye logic
Teh teh teh!!! kumbe na wewe umeona ameishakata tamaa sasa ingia wewe ulingoni umsaidie.
marquez-pacquiao-ko.jpg
 
Kijana hebu nianze kuuliza hapa!

We unamfuata yesu kama Mungu sio?

Andiko linasema;-

Mara tu Yesu alipobatizwa" (Mathayo 3: 16). Aliyembatiza ni Yohane kama ilivyo katika msitari wa 15 katika kitabu hicho cha Mathayo.

"Yohane mbatizaji alitokea jangwani…Siku hizo, Yesu alitoka kutoka Nazareti, mji wa Galilaya, akabatizwa na Yohane katika mto Yordani" (Marko 1: 4 – 9).

"Watu wote walipokuwa wamekwisha batizwa, Yesu naye alibatizwa" (Luka 3: 21).

Sasa hapa tunaona Mungu yesu anabatizwa.
Na wewe pia umebatizwa sio?
We unaenda choo na mungu yesu anaenda choo!

Nini tofauti yenu??
Mkuu mimi namchukulia Yesu Si Mungu kama yeye anavyomuita Mungu ni Baba na kwa Lugha aliyokuwa akikitumia ile Kiyahudi cha Zamani Eloi Yesu ndio Kuna aina nyingi za Tafsiri kutokana na lugha tunazozitumia na miaka aliyoishi yesu kulikuwa na watu wenye mawazo kama yako na hao waliitwa Wafarisayo wao kazi yao ilikuwa ni kuchallange tu Yesu aliishi Duniani kama Binadamu kamili.... Kwa lugha aliyotumia kumuita Mungu ni Baba na kwa Taffsiri za Lugha yetu ni yeye ni Mwana na sisi tunamfuata kwa maneno hayo pia na sisi ni Wana wa Mungu ila Kuingia Mbinguni lazima utakaswe ubatizwe na Kuamini.... Hayo Yalishatabiriwa na Manabii waliotangulia kabla ya Yesu kuwa Atazaliwa Mtoto ataitwa Emmanuel jina lenye maana ya Mungu Pamoja Nasi.... kwa Maneno hayo unapokuwa na Maneno ya Mungu ni sawa upo na Mungu...

Waislam fungueni akili zenu mfahamu mbatizwe na muamini Muende Mbinguni.... Neno la Mungu litamfikia kila mtu Dunia nzima
 
Waislam hawajachangia chochote uhuru wa Tanganyika zaidi ya Kunywa Kahawa tu na Ubishani usioisha.... ili kuwaamini na hili Watabisha
 
Donxxx,
Ingekuwa ni hivyo mambo yangekuwa mepesi sana.
Lakini ukweli ni mkubwa kuliko unavyodhania.

Ndiyo maana tupo hapa miezi nenda miezi rudi...

Wako wanaofurahi na historia ya kweli ya uhuru wa
Tanganyika na wapo wanaokereka.

Sababu ya kufurahi ni kuwa historia yao imeenziwa na
wale wenye kukereka ni kwa kuwa historia ya uhuru
iliwapita pembeni.

Hawakushiriki kama walivyoshiriki Waislam.

Ala kumbe ile kuambiwa ati Nyerere ndiye aliyeasisi TANU
si kweli vile!

Haya ndiyo matatizo yaliyopo.

Si rahisi hivyo useme kuwa waliikomboa nchi kama wazalendo
ukategemea kuwa utaachiwa na fikra hiyo.

Ukweli lazima usemwe.

Naam.

Hata kama hawaupendi wavumilie tuh,TUNAKUSOMA SANA MOH SAID.
 
Ngoja nidadavue kiduchu mtama wa ndugu yetu Nguruvi3.

Mimi hapa nimeishajitokeza na kukwambia Waliopigania uhuru wengi walikuwa ni Waislam na ushahidi ninayo kama ukitaka nitakupa.

Hii hoja yako ni dhaifu mno, hivi nani amekuambia sisi Waislam shida yetu ni majina? hii sijui umepata wapi kuwasemea Waislam na kuileta ukumbini na kuita hoja wakati umezuwa.

Hii santuri yako inaendelea kupiga, nani kakuambia Waislam shida yao na majina ya barabara, teh teh teh!! huu mtama wako angalia usije kuungua na jua.

Nilikujibu huko nyuma lakini jibu langu ulilipita kasi taliweka tena hapa chini kukuonyesha kazi ya Mfumo Kristo kutoka kwa Nyerere, Masheikh wetu kufanyiwa unyama wewe unaona siyo sawa, na hawa Masheik walifungwa na Waislam wenyewe, Nguruvi3. kumtetea Nyerere kwenye dhurma dhidi ya Waislam ni sasa kiziba shimo la panya kwa mkate wa nyama.

Dhiaka na kejeri kama hizi zikijibiwa ipasavyo unakimbilia kalalamika umetukwanwa na kusema watu wanatumia lugha za matusi, siyo Uislam, wewe kwa akili yako unadhani watu hawana kazi wanashinda internet, hujui kila tunapokuwa ofisini, majumbani, barabarani, kote huko watu tuna access ya internet, labda tukuuliza kuna mtu alishawahi kukuomba umnunulie Bando.

Naona baada mtama kukuishia akaamua kutafuta ufuta, mambo ya kazi ya Sheikh Mohamed Said. na bandari yamekujane tena, teh teh teh!!.

Teh teh teh!!! naona unazidi kumwanga mtama wako, hivi hoja gani tumeshindwa zaidi ya haya matusi yako, Nguruvi3 yunasubiri umwage mtama wako.

Nimekusoma kwa mawani ya 3D,
Nguruvi3 Ndug yangu tuendelee na pale tulipoishia,ruksa kufanya rationalization,tafwadhali
 
Last edited by a moderator:
Sikumjibu Boko haram kwasababu nilishindwa kujua nianzie wapi. Ajsante kwa kuweka vema hoja hiyo.
Kwanza sipo hapa kubishana nipo kueleza kile ninachokifahamu. Mada imegeuzwa na kuwa mimi lakini nashukuru kwasababu hoja zangu zinasimama wima dhidi ya matusi na kejeli tena kwa kutumia dini! inasikitisha.

Mimi sifafanani kwa wajihi na maudhui na MS kwa namna yoyote. Boko haram hakunitendea haki kwasababu najisikia vibaya nikiwekwa katika daraja la MS. Tofauti na MS nina uwezo wa kujadili anachokijua tena kwa mantiki na hoja.
Anafahamu hili vema. Yeye hana uwezo wa kujadili ninayoyajua, huu ni ukweli. Nikimwalika huko kwenye eneo langu, si kuwa hataweza kuchangia bali hata kutamka baadhi ya maeneno hataweza.

Boko ananifafanishaje na mtu asiyeelewa hata basic and simple statistic! Mtu asiweza kuongelea lolote kuhusu economy! socialogy, psychology or simple analysis of the world geopolitical sphere
Lakini tofauti kubwa sana ni kuwa anaweza kuzunguka duniani akisema uongo! mimi siwezi.

Nguruvi3,
Slow down,naona kama unakuja kwa hulka na silka ya dharau sasa,
Huwez jua uwezo wa mwenzako katika field mbli mbali,usiunderestimate kirahis ivo Ndug yangu.
 
Back
Top Bottom