Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Watu ni wadini kwelikweli.. Kuna watu wanawashwa sana taifa hili likiwa la Ukristu, Na wengine wanawashwa liwe la kiislam.. Kwendenizenu wazandiki wakubwa nyie..angalieni Jografia ya Dunia, yapo mataifa mengi tu yanaexercise full religion regime .. Nendeni huko mkakunwe hamu zenu Tuachieni Taifa letu. Hii ni Tanzania Na sisi Ndo watanzania wenyewe

Kidumu Chama Cha Amani..
 


hakuna mtu anayemshawishi mtu awe mkristu au mwislam.Tunaelimishana michango ya wazee wetu katika historia ya Tanzania.Isipotambuliwa nasi nani atakayeitambua.
Ni bora ungeleta udhibitisho wa hayo
uliyoandika hapo juu
 
FF, Sheria ni kiswahili sharia ni kiarabu. Marehemu ni kiswahili marhum ni kiarabu. Kitabu ni kiswahili kitabi ni kiarabu.
Kamati ni kiswahili committee ni kiingiereza. Bureau ni kifaransa ofisi ni kiswahili na office ni kiingereza.
Hakuna kosa hapo.

Pili, hakika nakubaliana nawe kuwa bila Uislam hakuna Waislam, lakini Uislam upo tu hata bila waislam.

Tatu, kama nisivyo na haki ya kumsulubu mtu kuwa si Mwislam, hilo nalo liwe jibu kwenu nyote mnaosema BAKWATA ni makafir. Mimi sina haki hiyo na wala sihitaji kwasababu si haki wala mamlaka yangu, nilichoshangaa ninyi mumepata haki hiyo wapi ya kuhukumu wenzenu kama Bakwata.

Nyerere ni Muasisi wa TANU kasema Mohamed Said na katoa orodha ya waasisi si mimi nisemaye. Hilo jina hakuna mahali penye nayaraka inayoeleza lilikuwepo kabla ya ya TANU, kilichopo ni hadithi taamu za inasemekana n.k kutoka kwa wasimulizi.

Harakati za Uhuru zimeanza miaka mingi. Wakati Sykes Mbuwane anakwenda kumshambulia Mkwawa kama mamluki wa Ujerumani tayari Mkwawa alikuwa anapigania uhuru. Kama tutaangalia uundwaji wa vyama mwanzilishi wake ni mtoa wazo Cecil Matola ambaye ni rais wa kwanza wa chama na si Sykes kama inavyosimuliwa.

Nyerere alikaribishwa DSM kama ilivyokuwa Tabora na wakazi wa miji hiyo. Kama ilitokea ni waislam ni jambo jema lakini alipofika pugu kama mwalimu alikuwa na nyumba yake, alikuwa amevaa nguo, alikuwa anakula n.k.
Watu wasiaminishwe alikuja uchi au alikuwa mitaani kama omba omba! no thank you

Ujio wake ulibadilisha siasa za nchi. Kwa miaka takirbani 30 hakuna aliyekuwa na utaratibu wa kuendesha chama kisomi.
Nyerere aliandika katiba ya chama na aliongoza kuelekea uhuru kwa muda mfupi sana wa chini ya miaka 12.
Ukweli huo hasemwi.

Ni jithada za wazee wetu wote bila kubagua zilizozaa matunda na si kikundi kinachosingiziwa
 
Kwahiyo tukubali simulizi za baba yako tu mkiwa ukumbini kama facts.
Endapo Nyerere hakuandika katiba mbona hao waliomtangulia hawakuchua ya Nkurumah au kuwa na wazo la kufanya hivyo.

Hakuna nyaraka inayoonyesha jina limebuniwa Burma nami naweza sema jina lilibuniwa Kigamboni ikawa sawa.
 
Mohamed Said wewe huwezi kusoma kitu ninachozungumza katika meza hata kimoja.Period. Hivi unaweza kuzungumzia nini kuhusu geriatrics, limbic system, psychosomatic na jinsi vinavyohusiana na Alzhemia utajibu nini mzee wangu!

Ninasema hivi mzee Mohamed statistics(ahsante kwa masahihisho) zile basic kabisa hujui sasa tunawezaje kuongelea facts zinazohusiana na hilo.

Niliwahi kukuona umealikwa UDSM ATB kama watu wengine wanavyofanya.
 

Kwanza rekebisha hiyo kauli, unaelezea Muasisi au Waasisi? unajichanganya au unafanya kusudi? Mohamed Said kaelezea muasisi au waasisi? njoo na nukuu ya Mohamed Said na usitake kutia maneno yako kinywani mwake. Mimi nakuwekea hapa nukuu ya Mohamed Said ambayo imo katika nyuzi hii hii, isome kisha ujione jinsi unavyojaribu kuchakachuwa:


Halafu hapa msome Nyerere mwenyewe na umkane:
Julius Kambarage Nyerere:Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).
Bla bla bla bla bla nyiiiingi kama kawaida yako ili kupoteza muelekeo, sitoingia kukusulubu katika hayo mengine kwa sasa bali ntakurudia kwa kila moja kwa wakati wake, hapa mimi ntakuwa nakundonyoa kidogo kidogo ili ukae kwenye mstari, na utakaa tu.
 
Nguruvi3.

Ni kweli hakuna nyaraka zozote inayoonyesha jina la TANU lilibuniwa Burma lakini Mwenyezi Mungu ni mkubwa alalijua hilo hebu chini hapa msome Nyerere mwenyewe kwenye hotuba yake ya kuwaaga wazee wa Dar es Salaam halafu tuambie wewe na Nyerere nani muongo na mzandiki kwenye hili.
Julius Kambarage Nyerere:Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).
Mlikuwa mnajua hakuna nyaraka zozote ziliandikwa kuhusu hili teh teh teh!!!! sasa maneno ya Nyerere anawavua nguo na tunayatumia kama Njiwa kula mtama wenu.
 

Ni vitabu gani ulivyoandika kuhusu hao vikongwe unaowashughulikia? ni vyuo vipi ulivyoalikwa kuongelea hao vikongwe wako uliotuletea na kujisifia hapo? Ni lini JF wakaongelea hayo matatizo ya vikongwe wakakunukuu wewe au ni wapi ulifunguwa nyuzi kuelezea hayo yakapata wafuasi kedekede kama zipatazo nyuzi za maudhui za Mohamed Said??

Wengi watadhani ni vitu vya maana ulivyoandika kumbe in uhudumu wa vituo vya kulelea vikongwe ndio una husika na hayo. Unanchekesha!
 
Nguruvi3.

Uislam kama dini una misingi yake katika uongozi sijui kama unazijua sifa za kiongozi wa kiislam hebu soma hapa chini upate darsa kuhusu BAKWATA kwa nini Waislam wanawakataa.
BAKWATA ni chombo kilichoanzishwa na Nyerere wala hakipo kwa kuwaendeleza Waislam ndiyo maana umeona nyie Wakirsto wote ndiyo watetezi wake wakubwa.
 

KIjana unarudia kosa lile-lile ulilokwishapewa darsa na ukakiri. Vipi, umechanganyikiwa na "uper cut" moja tu?

Ni "statistics". Kuwa makini japo kidogo unajidhihirisha jinsi ulivyo mfinyu.
 
mkuu nguruvi3 usikate tamaa wape facts.. zenye logic
 
Sasa mbona unawatukana wakina Mag3 na Nguruvi3 ambao ni wakristo wenzio!

Tehe tehe tehe!

Dini au Imani zina utofauti kiasi kwani wengine wanaamini zaidi kitu fulani na mwingine anaona si sawa ndio maana kuna Madhehebu tofauti tofauti ya Wakristo wengine tunaamini Sabato ni Siku ya Saba ambayo ni Jumamosi na wengine hawaamini na kitabu tunachosoma ni kimoja.. hata kwa Nyie Waislam Kuna Shia,Sunni,Ismailia na Bohora hawa hata ukiwaweka Msikiti mmoja lazima fujo itokee na cha kushangaza Waislam wa hapa Bongo wengi hawajijui wapo dhehebu lipi kati ya hayo manne kuna wachache huwa najua ni Shia haswa Sheikh Hemed Jalala ila kwa Bakwata wana la kuwaeleza Watanzania weusi... wale weupe haswa wahindi wanajijua....
 
Ngoja nidadavue kiduchu mtama wa ndugu yetu Nguruvi3.
Nimesema ajitokeze mtu anithibitishie kuwa waliopigania uhuru wakiwa na majina ya kiislam wote walikuwa waislam! Hakuna aliyetokea kwasababu mnafahamu wazi kuwa kuitwa Hussein hakumfanyi mtu awe mwislam.
Mimi hapa nimeishajitokeza na kukwambia Waliopigania uhuru wengi walikuwa ni Waislam na ushahidi ninayo kama ukitaka nitakupa.
Hii hoja yako ni dhaifu mno, hivi nani amekuambia sisi Waislam shida yetu ni majina? hii sijui umepata wapi kuwasemea Waislam na kuileta ukumbini na kuita hoja wakati umezuwa.
Hii santuri yako inaendelea kupiga, nani kakuambia Waislam shida yao na majina ya barabara, teh teh teh!! huu mtama wako angalia usije kuungua na jua.
Nilikujibu huko nyuma lakini jibu langu ulilipita kasi taliweka tena hapa chini kukuonyesha kazi ya Mfumo Kristo kutoka kwa Nyerere, Masheikh wetu kufanyiwa unyama wewe unaona siyo sawa, na hawa Masheik walifungwa na Waislam wenyewe, Nguruvi3. kumtetea Nyerere kwenye dhurma dhidi ya Waislam ni sasa kiziba shimo la panya kwa mkate wa nyama.
Mnaposhinda katika internet mki entertain frustration za Mohamed Said kutokuwa meneja wa bandari, si tu hamuitendei haki jamii bali mnazidi kuidhalilisha.
Dhiaka na kejeri kama hizi zikijibiwa ipasavyo unakimbilia kalalamika umetukwanwa na kusema watu wanatumia lugha za matusi, siyo Uislam, wewe kwa akili yako unadhani watu hawana kazi wanashinda internet, hujui kila tunapokuwa ofisini, majumbani, barabarani, kote huko watu tuna access ya internet, labda tukuuliza kuna mtu alishawahi kukuomba umnunulie Bando.

Naona baada mtama kukuishia akaamua kutafuta ufuta, mambo ya kazi ya Sheikh Mohamed Said. na bandari yamekujane tena, teh teh teh!!.
Teh teh teh!!! naona unazidi kumwanga mtama wako, hivi hoja gani tumeshindwa zaidi ya haya matusi yako, Nguruvi3 yunasubiri umwage mtama wako.
 
Mkuu mimi namchukulia Yesu Si Mungu kama yeye anavyomuita Mungu ni Baba na kwa Lugha aliyokuwa akikitumia ile Kiyahudi cha Zamani Eloi Yesu ndio Kuna aina nyingi za Tafsiri kutokana na lugha tunazozitumia na miaka aliyoishi yesu kulikuwa na watu wenye mawazo kama yako na hao waliitwa Wafarisayo wao kazi yao ilikuwa ni kuchallange tu Yesu aliishi Duniani kama Binadamu kamili.... Kwa lugha aliyotumia kumuita Mungu ni Baba na kwa Taffsiri za Lugha yetu ni yeye ni Mwana na sisi tunamfuata kwa maneno hayo pia na sisi ni Wana wa Mungu ila Kuingia Mbinguni lazima utakaswe ubatizwe na Kuamini.... Hayo Yalishatabiriwa na Manabii waliotangulia kabla ya Yesu kuwa Atazaliwa Mtoto ataitwa Emmanuel jina lenye maana ya Mungu Pamoja Nasi.... kwa Maneno hayo unapokuwa na Maneno ya Mungu ni sawa upo na Mungu...

Waislam fungueni akili zenu mfahamu mbatizwe na muamini Muende Mbinguni.... Neno la Mungu litamfikia kila mtu Dunia nzima
 
Waislam hawajachangia chochote uhuru wa Tanganyika zaidi ya Kunywa Kahawa tu na Ubishani usioisha.... ili kuwaamini na hili Watabisha
 


Naam.

Hata kama hawaupendi wavumilie tuh,TUNAKUSOMA SANA MOH SAID.
 



Nimekusoma kwa mawani ya 3D,
Nguruvi3 Ndug yangu tuendelee na pale tulipoishia,ruksa kufanya rationalization,tafwadhali
 
Last edited by a moderator:


Nguruvi3,
Slow down,naona kama unakuja kwa hulka na silka ya dharau sasa,
Huwez jua uwezo wa mwenzako katika field mbli mbali,usiunderestimate kirahis ivo Ndug yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…